Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Binti wa zamani miss you dear 🥹
I have missed you too kipenzi 🤗
Kila binadamu ni mbinafsi kwa namna yake lakini hii gender imejimegea pande kubwa la ubinafsi

Mwanaume anaamini yeye kusaliti ni tamaa tu ambayo anailemba kwa kusema kwamba tamaa ni asili yake eti mwanaume kutamani ni jambo lisiloepukika

Na makosa mengine mengi wanayalemba kwa mtindo huo

Mwanaume anataka kumuumiza mwanamke huku akilazimisha kusamehewa

Lakini yeye hataki kuumizwa kabisa, na anaweza kwenda mbali zaidi na kufanya matukio makubwa akihisi ameumizwa

Yeye mwanaume hujiona bora zaidi yeye ndiye mwenye moyo, yeye ndiye mwenye uchungu mkali
The double standards are insane.
Anasahau kwamba mwanamke naye ni binadamu kama alivyo yeye
Ana hisia, anaumia, anakasirika na ana mipaka yake pia
Sasa mbona yeye mwanamke anajizuia huoni kama wanaume wanateswa na ego?
Wengi wao wanateswa na ego na uhitaji wa kuprove kwa wanaume wengine kwamba they are men enough.
My dear, baadhi ya wanaume ni wabinafsi kupindukia
Ndiyo maana hata kwenye ile post ya yule dada aliyeuawa wanaume baadhi yao wanajaribu kuhalalisha huo unyama kwa kusema, Eti mwanaume alifanya vile kwa hasira
Nimesoma zile replies nikakosa cha kusema, unawezaje kutetea mauaji? hata kama ni hasira, unawezaje kufanya kitendo kama kile? pia bila hata kujali kwamba watoto wako pia wanaishi hapo?
Na angefanya vile mwanamke wangeanzisha magenge ya kusema kataa ndoa
Kusalitiwa au kuumizwa iwe issue ya pesa hakumpi mtu ruhusa ya kuua, kutesa au kumuumiza mwingine
Sheria zinaweza kufatwa kama hakuna uwezekano wa kusamehe
💯📌
Hawa watu I mean wanaume baadhi yao wana roho mbaya sana na Ego ipo juu mnoo kwa kuona mwanamke kama kitu au bidhaa
Facts 💯
 
Legend, mnataka tuanze kutafuta kamusi kujua maana ya udhaifu?

Wanaume mna nguvu za mwili, biologically misuli yenu imetengenezwa hivyo (misuli ya juu, nguvu za miguu) tofauti na wanawake, neno “wanaume ni strong” ndio lilipopatikana.

Lakini upande wa emotional intelligent, mko chini sana, Sasa tuwafanyaje hamtaki kubadilika, hamtaki kuwa expressive, hamtaki kulia 😅 ili kurelease anger, tuwafanyaje? Au tuwaache tu muendelee kuwa violent muishie ma gerezani, Like we want better for you people! 😩
Ni vyema pia wanawake hasa mabinti wa mjini wakashauriwa kupunguza utapeli wa mapenzi wanaowafanyia wanaume
 
"..nipige kama kweli wewe ni mwanaume".

Wewe ungekuwa ndiye huyo mwanaume hapo ungefanyaje?
Ningetumia akili
Ni katika harakati za kuukataa unyonge ama kuthibitisha uanaume ndiyo tunajikuta tumebutua watu.😀
Kwanini una uhitaji wa kuthibitisha uanaume wako? na unathibitisha kwa nani?
 
Ni vyema pia wanawake hasa mabinti wa mjini wakashauriwa kupunguza utapeli wa mapenzi wanaowafanyia wanaume
Binafsi naogopa wanaume Yoda 😂😂 Kuna msemo unasema katika masaa 24, tumia masaa 23 na nusu kuogopa wanaume 😀

Ngoja mabinti waje.

Jokes aside, waathirika wa hasira za kiume sio mabinti tu, wanaume na watoto pia wamo tena kwa wingi.
 
Mwanadamu anakuzwa kwenye mambo makuu matatu.

1)Kimwili-Kumesahauliwa.

2)Kiakili-Kumeachwa kama shamba la bibi.

3) Kiroho-Huku kumeingiliwa.

Wapeleke kwenye martial arts kule kuna mafunzo maalumu ya kujiongoza na kuhimili shinikizo kwenye mazingira yoyote.

Ikishindikana waambie wawe wanafanya mazoezi mbalimbali hasa ya kukimbia coz lili jasho hupunguza sumu mbalimbali zikiwemo za kisaikolojia.

Nb: Wote humu tupende kufanya mazoezi yanasaidia kuituliza akili plus kuondoa msongo.Sehemu za kiroho plus shule zimekuwa corrupted.
Asante Enzo, nimeupokea ushauri 🙏
 
Binafsi naogopa wanaume Yoda 😂😂 Kuna msemo unasema katika masaa 24, tumia masaa 23 na nusu kuogopa wanaume 😀

Ngoja mabinti waje.

Jokes aside, waathirika wa hasira za kiume sio mabinti tu, wanaume na watoto pia wamo tena kwa wingi.
Naungana na wewe hapo kwenye kuogopa wanaume 😂.
Literally, they terrify me.
 
Binafsi naogopa wanaume Yoda 😂😂 Kuna msemo unasema katika masaa 24, tumia masaa 23 na nusu kuogopa wanaume 😀

Ngoja mabinti waje.

Jokes aside, waathirika wa hasira za kiume sio mabinti tu, wanaume na watoto pia wamo tena kwa wingi.
Sasa kuna vibinti vya mjini huwa vinaona ni sawa tu kula pesa za wanaume kiholela huku waki wa lead on au kuwa na michepuko kiholela bila kuchukua tahadhari.

Nawashauri wanawake wa Tanzania wachukue sana tahadhari wanapokuwa na michepuko, wanaume wengi wa Africa hasa bongo ni conservative sana na bado wanaamini high level patriarchy, kupiga mwanamke kwao ni jambo la heshima na sio la aibu.
 
Tukiachana na arakati au elimu nafsi, akili na hisia,, mwanaume huwa anafanya maamuzi baada ya hisia kuamua na sio hasira kuamua, kwahyo kuna nafasi ndogo yakupata mchakato wa kutafakari maamuzi baada ya matokeo, na hii ni kwakuwa ubongo wa mwanaume umejaa heka heka nyingi ni kama chupa ya Coca-Cola iliyotikiswa vizuri ikiwa imetulia ukifungua kwa pupa lazima gesi itajibu. Muhimu hatuwezi kukwepa changamoto zinazo fanya mwanaume kuitwa mwanaume ndiomana imepatikana mada maalumu ya kuchambua hayo.
 
Sasa kuna vibinti vya mjini huwa vinaona ni sawa tu kula pesa za wanaume kiholela huku waki wa lead on au kuwa na michepuko kiholela bila kuchukua tahadhari.
Tutalia na kuandika RIP.

Nawashauri wanawake wa Tanzania wachukue sana tahadhari wanapokuwa na michepuko, wanaume wengi wa Africa hasa bongo ni conservative sana na bado wanaamini high level patriarchy, kupiga mwanamke kwao ni jambo la heshima na sio la aibu.
Ushahidi upo kwenye comment section, kuna mtu amecomment mahali, mnasema mtatumaliza, tutawamaliza kweli 😂

Wamejipanga kutumaliza baba tuhurumie 😂😂
 
Back
Top Bottom