Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
14,938
Reaction score
36,289
Kwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?

Angry Lmao GIF by Showmax.gif

  • Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?

  • Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitokea kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?

  • Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?
 
Kwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?

View attachment 3684908

  • Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?

  • Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitokea kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?

  • Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?
Wanaume tumekuwa tukiongozwa na hisia siku hizi kama wanawake. Ni vema tuka chukua muda kutafakari suala la sisi kuacha kutumia hisia na kutumia akili, Hekima, busara, logic nk
 
Mara nyingi tukiwa pamoja na wifi yako, nikiwa na jazba au hasira au nazinguana na watu, wife huwa ananicalm down

One day, my daughter did the same thing akanicalm down. Honestly, nilijiona mdogo sana siku hiyo

Ndivyo tulivyo wanaume sio suala la hisia wala kutotumia akili

Jela zimejaa wanaume, vituo vya polisi kesi nyingi za wanaume, mahakama bila wanaume zingedoda
 
Mara nyingi tukiwa pamoja, nikiwana jqzba au hasira au nazinguana na watu, wife huwa ananicalm down

One day, my daughter did the same thing akanicalm down. Honestly, nilijiona mdogo sana siku hiyo

Ndivyo tulivyo wanaume sio suala la hisia wala kutotumia akili

Jela zimejaa wanaume, vituo vya polisi kesi nyingi za wanaume, mahakama bila wanaume zingedoda
Kwahiyo kwenye hisia mnakubali nyie ni dhaifu kuliko wanawake?
 
Unakuta mwanaume mke wake kaliwa na mwanaume mwingine anapandwa na hasira. Hasira za nini wakati alimkuta mwanamke na mbunye yake ikiliwa na watu wengine? Mbunye ya mke wake itaendelea kuliwa na wengine atake asitake, hata kama aliizindua yeye mkewe atataka kuonja mipiko ya nje ina ladha gani, mwanaume awe mpole tu maisha yaendelee
 
Sio udhaifu mkuu
Wanaume Huwa tunatoa hukumu baada ya kufanya uchunguzi sana wa jambo, likishapatikana jibu ndio utamjua mwanaume ni nani akiamua kufanya maamuzi baada ya kujiridhisha na uchunguzi wake.
Tofauti na wanawake chochote atakachokiskia muda huo huo kinakua habari
 
Kwahiyo kwenye hisia mnakubali nyie ni dhaifu kuliko wanawake?
Mara nyingi hasira ya wanaume huonekana zaidi kwa sababu kadhaa:

  • Hormones: Testosterone inaweza kuchangia tabia za ushindani na aggression, ingawa si chanzo cha moja kwa moja cha hasira

  • Male socialization: tangu tukiwa wavulana mara nyingi hufundishwa kutokuonyesha huzuni au udhaifu, hivyo hisia kama kuumia, hofu au frustration zinaweza kujitokeza kama hasira

  • Namna ya kueleza hisia: Wanawake kwa wastani huripoti na kueleza hisia mbalimbali zaidi, wanaume wanaweza kuelekeza frustration kwenye ukali au vitendo.

  • Mazingira: Stress ya kazi, fedha, mahusiano au majukumu inaweza kuongeza irritability kwa mtu yeyote haya yanatukumba sana wanaume kuliko wanawake

  • Perception: Hasira ya mwanaume inapokuwa ya wazi sauti kubwa, confrontation, body language huonekana zaidi kuliko frustration ya mtu anayenyamaza hasa wanawake
Huo sio udhaifu ungeumbwa mwanaume ungeelewa niliyoandika hapo
 
Ni nature au nyie jinsia ya kiume ni dhaifu kuliko sisi?
Hivi nikuulize swali leo nikupe kitu cha kufikiri mara 3 hivi mwanamke anatembea na kengele chini au hana kengele?

Elewa maana ya neno kengele, sasa usichokijua au km umebahatika kuzaa mtoto wa kiume zile kengele hua zinazunguka sasa zinapozunguka na huku mtu kashatifuliwa ubongo zinakoroga zaidi hapo ndio utamuona mwanaume kakunja pua km muwindaji kakamatwa na mnyama aliekua anamwinda
 
Ni kweli, je kuna tolerance nyingine yoyote ambayo kwa wanaume iko juu zaidi kuliko kwa wanamke?
Nimejibu sababu ya kwanini tunaonekana aggressive sababu hilo suala limeonekana ni General..

But kwa mambo mengine inategemea mtu na mtu kitu nachoweza ku tolerate mimi ni tofauti na Juma,James and Vice versa
 
Kutodhibiti hisia ni udhaifu mkubwa sana,mwanaume au mtu yoyote mwenye nguvu ni yule ambaye anaweza kudhibiti hasira anapo kasirika na kinyume cha hapo ni weakness

Ukijiona jambo dogo tu linakukwaza na kutaka kufanya maamuzi ya ajabu you are weak

Kibaya zaidi sisi ndio kichwa cha familia halafu tupo very weak

Wanaume tubadilike kabla hujafanya anything stupid just think big tutaepuka na mengi period
 
Back
Top Bottom