Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Wamezidi tabia. Mhenga tukiwapata wanaume wa hivi Mara moja moja mbona wataacha umbea tuu.
Waliowahi kum private massage wajiandaa kuja kuvuliwa nguo hadharani .
Midume minafiki hii ndiyo dawa yao lazima uwachane direct.
Ulimpa uchi au?
 
Weye nakuaminia. Kuna uzi mmoja hapa siku chache zilizopita naona siku hiyo uliamua maana karibu uvunje mbavu zangu kwa majibu yako mubashara bila kupindisha. Nadhani uliona likes za kutosha kutoka kwa BAK ila nilicheka sana aisee.
Asante mkuu niliona. Mi tutongozane hapa hapa kwa kweli..pm panaogopesha!
 
Haya banaa huu utaitwa mtongozo live khe kheee kheeeee. Kama ule wa beberu na mrembo wake mara kamchezea mbavu mara kabinua midomo yake kama anataka uhakiki wa kinywa chake kama kisafi wakati huo mrembo anajibaraguza kama anataka kukimbia lakini haendi kokote. Kumbe anasikia raha hadi kumoyo mara tu beberu kapewa go ahead haya chukua papuchi kwa raha yako lol! Mambo yote hadharani.

Asante mkuu niliona. Mi tutongozane hapa hapa kwa kweli..pm panaogopesha!
 
Hapo kumsoma mtu tena umsome kwa umakini mkubwa sana vinginevyo utauvaa mkenge. Kuna watu wazuri sana humu kama binadamu ambao unaweza kabisa kuwakaribisha hata nyumbani kwako kwa mlo au kupiga story tu au wao kukualika kwao. Pia kuna watu wabaya sana humu wa kuogopa kama UKOMA. Ukiwa makini basi hata siku moja hutajutia kumfahamu mtu humu vinginevyo itakula kwako.
kweli kabisa kuna watu nawafahamu humu na sijutii kuwajua
natamani ningewajua mapema kabla ya hapo

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Back
Top Bottom