Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
Wachache watakuelewaHuo sio uanaume
Kwanza kwenda tu pm kutongoza ni ushamba na ujinga... unatongozaje usiemjua wakati mtaani mademu wakali wengi tu
Wachache watakuelewaHuo sio uanaume
Kwanza kwenda tu pm kutongoza ni ushamba na ujinga... unatongozaje usiemjua wakati mtaani mademu wakali wengi tu
Shunie hako ka avatar kako poaWachache watakuelewa

Mmh ndio unaiona leo jamanShunie hako ka avatar kako poa![]()
Upo wewe?? Mambo mambo?Wewe umemaliza kuongea mtu anajulikana hata kabla hamjafika mbali
Kwa kawaida humu nikama mtaani tu tabia zinatofautiana
Nipo kimya kimya sijui wewe na mgonja wetu?Upo wewe?? Mambo mambo?
U,I wenyewe umepoteza radha yoteeee. Umefutwa pages zimebaki 2 tumuulize maserati au ringson ulikuepo jukwaa la malalamiko na ulifungwa tatizo cuzoo unapotea sana jf
shenz* hawa.Umepotea kweli.Nipo kimya kimya sijui wewe na mgonja wetu?
Nipo sana tu tunapishana hasa midahii ya wanga napatikana zaidiUmepotea kweli.
Kanaendelea vizuri kabinti kangu
Aiseee!Labda uwaambie wewe kaka Eli maana hali sio nzuri humu, dume zima kukaa kwenye vijiwe vya wadada na kunyanyua kidole halafu anaenda kutangaza eti na wao wanajiita vidume. Kilichobaki tuwape Madera tu..
Halafu wanakuwa mstari wa mbele kulaumu wengine wakati wanajipeleka wenyewe na kujiingiza mkenge wenyewe.
Last bt not the least,umaarufu wa jf usikulevye,ukilogwa tu na umaarufu wa jf huchomoki.ila ni sehemu nzuri sana ya kupata mainfo.mie hadi boss wangu anajua mie ni member humu,ingawa hajui id yangu,sometimes kukiwa na news imesikika ananiuliza huo mtandao wenu vijana unasemaje?ni ya kweli haya?so jf ina heshma yake hata kwa wakubwa especially kwenye ishu za kisiasa,watu wachache wasiharibu sifa hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani...Hiyo stage ya kutongozana mi na wewe tumeshaivukaHivi we jirani unampango wa kunitongoza lini jamani? Mbona unachelewa asee
We hauchelewi kunianika...Mana sio kwa kunipania hukoLile tongozo bado nalisubiri, unanichelewesha ujue!!! Nakupa nusu saa lasivyo nakuja kukutongoza mwenyewe.
Ungekuwa hupewi attention au hutongozwi hap jf si ungenuna miaka 100000?Wachache watakuelewa
We unaenda kumtongoza mtu kama Karucee wakati kingereza chenyewe kama changu tu...unategemea nnha ha haha pole yako siitaki mzee
Nanunaje sasa wengine wana wana nyota ya kutongoza ningetongoza mwenyewe mwanaumeUngekuwa hupewi attention au hutongozwi hap jf si ungenuna miaka 100000?