Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

naona mhenga mimi ndo nimebakia kutumbuliwa hapa[emoji1] [emoji1] [emoji1]

sent from motorola bapa and nokia jeneza
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aaah!! Mhenga ww nyota yako
Safi bhana haina madoadoa

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Dhoo!!! Wahenga wanasema
Ukimnyoa,mwenzio na zako
Tia maji

[Color= yellow]Triple A[/color]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimevaa boxer nakunywa bia yangu...


Msije namm mkanisangaraisha namna hii siku moja....rubii wangu anachekea chooni tu nw
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] looohhh...!!!

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ya leo kali mhenga wewee...ni wa kwenye matukio tuu!!!mhimu tuu

sent from motorola bapa and nokia jeneza
Wamezidi tabia. Mhenga tukiwapata wanaume wa hivi Mara moja moja mbona wataacha umbea tuu.
Waliowahi kum private massage wajiandaa kuja kuvuliwa nguo hadharani .
Midume minafiki hii ndiyo dawa yao lazima uwachane direct.
 
Jf kila mtu ni stranger . au wewe ni mwenyeji?
Ha ha ha ha ha bado sana nitakuquote mpaka nichoke dunia ijue ulivyo mbea..
Nikufuate unifuate haihusiani na wewe kuwa chakubimbi..
Kwani kuna sheria gani inayosema kwamba watu Fulani ndiyo wanatakiwa wawe wa kwanza kufuata watu pm.?
Acha tabia za kike

Sent using Jamii Forums mobile app
heeee....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom