Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Tangu niwe member wa JF mwaka 2014 nilikuwa naanza kumtongoza binti mmoja akanidharau na kunikataa baas nikachill.

Hiyo ya kukataliwa au kulala na mdada halafu unamtangaza ni inatokana na Ulayoni, Ungumbaru na Utahira wa mtu.

Halafu si bure huyo anayefanya hivyo sio mwanaume wa Dar.

Si ni maajabu hayo?
Pole sana my kaka, kudharauliwa kunauma.
 
Tangu niwe member wa JF mwaka 2014 nilikuwa naanza kumtongoza binti mmoja akanidharau na kunikataa baas nikachill.

Hiyo ya kukataliwa au kulala na mdada halafu unamtangaza ni inatokana na Ulayoni, Ungumbaru na Utahira wa mtu.

Halafu si bure huyo anayefanya hivyo sio mwanaume wa Dar.

Si ni maajabu hayo?
hii tabia ni ya wote wa dar na huko mikoani kwenu

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
sana tu
mi hata PM naangalia nani wa kumjibu na nani wa kumdiss...

unaweza tuma PM kwa id mbili tofauti maana wengine wanakutega

mimi sa hv najibu walewale wahenga tu ...wapya siwahitaji

sent from motorola bapa and nokia jeneza
Id mbili ndio mbaya sana....kuna mtu kanitega nikasema yani hata huyu mrembo nae ananijaribu utu wangu namna hii....
 
kweli kabisa kuna watu nawafahamu humu na sijutii kuwajua
natamani ningewajua mapema kabla ya hapo

sent from motorola bapa and nokia jeneza
JF ina watu wengi wazuri kuliko wasiojielewa. Binafsi nilikutana na watu ambao walibadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa sana! Muhimu ni kuwa makini on what select...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Id mbili ndio mbaya sana....kuna mtu kanitega nikasema yani hata huyu mrembo nae ananijaribu utu wangu namna hii....
hajui kama wewe mjanja wa town

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Teh teh teeeeeeh!!!
Mie nafurahi tu namna kila mtu ananawa mikono na kujiweka safi. Sasa najiuliza hao wanaotuhumiwa ni akina nani!!!! Au kuna members majini humu!!!
Jf bwana!!
Hata mahakamani watu wanakataa kuwa walifanya madhambi, hakuna anayependa kuonekana guilty lakini roho yake itamsuta na threads za namna hii zitamrudiaha kwenye mstari(kama ni mwelewa)
 
Back
Top Bottom