Uliofungwa si ule wa kipindi kileUlifungwa kumbe. Duh!!! Lakini nyie wahenga wabaya. Hata kunitag jamani.
dark angel geniveros Shunie nawafungulia Uzi na nyinyi,nawachamba hamuniiti huko huko kwenye maeneo. Nyie wahenga wabaya kwelii
Inasikitisha sana jaman![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ule uz mhhh majaanga
[Color= yellow]Triple A[/color]
Yaani shikamoo dark angelSalute kwa dark angel
Siku nyingi kweli my dear, ukisikia naanzisha uzi baadaye wa talaka usishangae naona wanaume tumebadilishana nao jinsia siku hizi.
wee...ukae huko huko hakuna kuachika
NdioooWamezidi tabia. Mhenga tukiwapata wanaume wa hivi Mara moja moja mbona wataacha umbea tuu.
Waliowahi kum private massage wajiandaa kuja kuvuliwa nguo hadharani .
Midume minafiki hii ndiyo dawa yao lazima uwachane direct.
![]()
wee...ukae huko huko hakuna kuachika
vita dhidi ya wanaume haijawahi kutuacha salama...we komaa tu kulala wazi![]()
![]()
sent from motorola bapa and nokia jeneza



mi nilikuta ushafungwaaUlifungwa kumbe. Duh!!! Lakini nyie wahenga wabaya. Hata kunitag jamani.
dark angel geniveros Shunie nawafungulia Uzi na nyinyi,nawachamba hamuniiti huko huko kwenye maeneo. Nyie wahenga wabaya kwelii
Unajikuta mchambuzi mzuri poyeeeeeeee. Huu ni ubuyu anakula kila mtu ndiyo maana uliweka Uzi public.
Nilifuatilia vizuri ile skendo usinione wa kuja.
Baada ya wewe kusema cute alikufuata pm watu pale ndiyo wakaanza kuuliza ahaaa kumbe cute dem wa mshikaji.
Watu usiojuana nao hata pm? Ulitaka kila unayegombana naye aje pm ujuane nae kwanza?
Jipaaaangeee Leo ni ubuyu tuu mwanaume kashikwa umbea
Sema ujue dunia ni sehemu ya ajabu sana, mnaweza mkaishia kuja kuwa wapenzi ninyiWaliowahi kuprivate? Unajua wapo wangapi?
Watu sampuli yenu ndiyo mtaongea juu yangu haya maana tunaqoutiana Humu tu hamnijui japo 20%.
Na wanakusoma hapa wanakushangaa. Endeleeni kujimwaya mwaya na shoga ako.....
Wanaamsha dude Hata muda ya watoto kabla hawajalalawatu wanaamsha madudeee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Atakufa kifo kibaya anaeuwawaHapa leo aliyeua nae auwawe...
Naona Geni leo umeamua.... Ha ha ha ha ha....... Tatizo moja tu... UTOTO.Salaam jf members
Hivi inakuaje watu wazima wenye familia zao,wanakua wanashindwa kua na busara,hekima na uvumilivu?
Hivi jf hapa ni kama nyumbani kwetu sisi ni wanafamilia moja au majirani tunaoishi pamoja kama ndugu.
Sasa nashangaaa na kupatwa na bumbuazi haswaa nikiona wanajamii moja tunashindwa kustiriana kama ndugu au marafiki wa dhati kwa kweli inaumiza sana na kustaajabisha.
Yaani humu sisi sote ni watu wazima,wasomi na wasio wasomi,lakini leo hii watu wa humu wengine tuna mambo ya ajabu ajabu mpaka yanatia aibu
Kutongozana ni jambo la kawaida sana katika jamii kama hii,lakini sasa humu mwingine akimla 'nyama'msichana basi ndo anajutaa atamtangaza mpaka ajutee..unabaki kua topic tena miaka mia
Mdada nae akitongozwa basi anakuja kumlipua mwanaume wa watu loohh...!!!
Wengine mnawateta watu PM siku mkilipuana mnaumbuana yoootee..
Wengine mnakutana PM,mnapena contacts mnakutana hukoo baadae mnaanza kuwacompare na kuwacontrast kama bidhaa vile
Na wengine msiojijua na kujielewa sasa yaani nyie ndo shida tupu!!ninyi ndo vichaa nashindwa hata kuwaweka kundi lipi...
Unapewa picha ya mtu 'either PM or whasaap'then unaexpose kwa wengine wasiomjua yule mtu..na kuwaambia yule ni nani...!!
Wengine tena wakiwa na mahaba tunajua jf nziima siku wakiachana wanatoleana ya moyoniii yooote looo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
...
Kuna wengine ni waongo balaaa yaani kusambaza umbea tu usiomhusu na unaomuhusu...
Jamani tuweni na hekima na busara binadamu ni kiumbe mwenye mapungufu lakini sasa yakizidi ni shidaa...
Tuheshimiane sana tukilana,kukimbiana gesti,kukopana tuuchune tu jamani kibingwa kwani shilingi ngapi...hata tukikataliwa pia tujifunze kupiga kimyaa tu...!!
Hata kama ninyi ni wapenzi msijipambanue saana vile maana dah!mkiachana mwingine akapata"goma"lingine humu mnatupa shida sana kunnua bando la kusoma umbea![]()
![]()
.
Ni hayo tu kwa leo!!!Mengine mtaongezea
sent from motorola bapa and nokia jeneza
![]()
![]()
changamsha bwegeee
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Valentina kanisani kulikunogea leo, humu tangu asubuhi tunakunywa kahawa ya moto.Kuna nini kimetokea kwani?
Mie mgeni hapa Nazareti sielewi chochote
Ha ha ha ha ha ha ha... Mzee mwenzangu tatizo moja tu.... UTOTO. Mtu mzima na akili zake anatangaza mambo kama hayo ili iweje?Kwanza mvujisha taarifa na mvujishwaaji wa hizo taarifa wanatakiwa wajitathimini wote. Wengi wao huwa ni matahira wote.
Mtu mwenye busara atatongoza mwenye busara. Asiye na busara mara nyingi atatongoza matahira wenzake.
Wewe mwanamke/mwanamme unashindwa kumsoma mtu hata kwenye chatting. Basi za jukwaani umeshindwa je za pm. Au ukishafika pm haraka haraka mnapeana location na namba mambo yamekwisha.
Kuna nini kimetokea kwani?
Mie mgeni hapa Nazareti sielewi chochote