Hata kama nilileta za uongo.. Ulitumwa uje ulete? Wewe ni mbea na mnafiki juu.hili halikuwa na maana kwenye kuweka sawa nilichoweka. Ni zamu yako kusema... na niwanafiki walininafikia kwangu lipo wazi.
Daby ni mbeya kwa lipi? Labda kwa tafsiri yako akilini mwako na sio akilini mwangu. Pm nilikuita au uliniita? Nani mbeya kati yangu na wewe. Uliyeniletea taarifa za uongo au niliyesema ukweli.
Nani kasema alishutumiwa kwa ajili yako. Ulikuja kusema mtuhumiwa atakuwa na press cha Ajabu hakutokea na watu walikuwa wanasubiri. Sasa huoni ulikuwa na cha kujibu? Ulitoa feedback gani baada ya mtuhumiwa kutokuja?
Huruma za nani? Ili iweje? Kuna wa kunihurumia humu? Naona hauna pointi zaidi ya kulalamika kutajwa palipostahili wewe kutajwa.
namna ipi? Namna zako na namna zangu ni lazima ziwe sawa ili iweje? Na wewe una namna yako ya kujitetea jitetee.
Hata kama nilikufuata na kukuambia uongo .wewe kama mwanaume hauna kifua cha kumeza jambo ukaacha lipite??
Yaani mfano wa wanaume wasio na siri ,wanafiki, wambea jf daby wewe ni wa kwanza.
Mwanaume unakuwa mropokaji kama mwanamke .
Kweli wanaume wamevamiwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
