Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

We unaenda kumtongoza mtu kama Karucee wakati kingereza chenyewe kama changu tu...unategemea nn
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Tangu niwe member wa JF mwaka 2014 nilikuwa naanza kumtongoza binti mmoja akanidharau na kunikataa baas nikachill.

Hiyo ya kukataliwa au kulala na mdada halafu unamtangaza ni inatokana na Ulayoni, Ungumbaru na Utahira wa mtu.

Halafu si bure huyo anayefanya hivyo sio mwanaume wa Dar.

Si ni maajabu hayo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom