Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Last bt not the least,umaarufu wa jf usikulevye,ukilogwa tu na umaarufu wa jf huchomoki.ila ni sehemu nzuri sana ya kupata mainfo.mie hadi boss wangu anajua mie ni member humu,ingawa hajui id yangu,sometimes kukiwa na news imesikika ananiuliza huo mtandao wenu vijana unasemaje?ni ya kweli haya?so jf ina heshma yake hata kwa wakubwa especially kwenye ishu za kisiasa,watu wachache wasiharibu sifa hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Latoya, hivi umaarufu wa jf ndio ukoje? Do people seek for jf popularity? Mtu akiwa maarufu humu ana incentives zozote, manake nitachangamkia hiyo fursa
 
Iko hivi si lazima uutafute,weza tokea member flan akawa maarufu miongon mwa wengine,hakuna incentives zozote.
Ila umaarufu wowote unalevya,it's like a drug,haijalishi walipwa au haulipwi.
Na its just human nature.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume fanya makosa yote, lakini usipende kwenda pm na wadada kuchat issues za wengine, kuna siku tu utaumbuka.

Labda uwaambie wewe kaka Eli maana hali sio nzuri humu, dume zima kukaa kwenye vijiwe vya wadada na kunyanyua kidole halafu anaenda kutangaza eti na wao wanajiita vidume. Kilichobaki tuwape Madera tu..
Halafu wanakuwa mstari wa mbele kulaumu wengine wakati wanajipeleka wenyewe na kujiingiza mkenge wenyewe.
 
Last bt not the least,umaarufu wa jf usikulevye,ukilogwa tu na umaarufu wa jf huchomoki.ila ni sehemu nzuri sana ya kupata mainfo.mie hadi boss wangu anajua mie ni member humu,ingawa hajui id yangu,sometimes kukiwa na news imesikika ananiuliza huo mtandao wenu vijana unasemaje?ni ya kweli haya?so jf ina heshma yake hata kwa wakubwa especially kwenye ishu za kisiasa,watu wachache wasiharibu sifa hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ukiwa maarufu hata habari zako zinabadilika zinakuwa za kusisimua na sio habari tena.
 
Back
Top Bottom