Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 2,001
- 4,787
Dah sa unataka kujiuaFamilia yangu hakuna anyejua naumwa nini
Nataka nife kimya kimya kama ikiwezekana before mwisho wa wiki inayoanza, sitasubiri miezi miwili
Dah sa unataka kujiuaFamilia yangu hakuna anyejua naumwa nini
Nataka nife kimya kimya kama ikiwezekana before mwisho wa wiki inayoanza, sitasubiri miezi miwili
pole, hebu aseme yupo wapi tukamchambe saivi kwanza
Kwa kweli nashindwa kuelewa
Waombe wasiweke ID yako RIP, ikibidi Ifute.Huwa inasemwa
Kwa hiyo mtu akifa hatutakiwi kulia kwa sababu sisi pia tutakufa?Wabongo bhana,utafikiri wao wataishi milele,
Kifo ni jambo la kawaida tu,sema tunatofautiana tu ujasiri,
Kwani humu hakuna asiyejua kua ipo siku nae atakufa?
Sasa cha ajabu ni nini hapa? Eti mtu anatuma ki emoji cha kulia utafikiri yeye ataishi milele.
tunakuja😅Nipo kazini hapa na wagonjwa wangu 😂
Waombe wasiweke ID yako RIP, ikibidi Ifute.
Atleast tusijue kilichoendelea kuliko Label ya RIP.
mimi msinichekeshe jamani 😅Kwa hiyo mtu akifa hatutakiwi kulia kwa sababu sisi pia tutakufa?
Labda ume pewa dispensaryNimetoa taarifa niliyopewa leo/jana
Sasa kama nawaigizia hiyo ni nyie na nafsi zenu
tunakuja😅
Labda ume pewa dispensary
Usicheke nipo kwa hii thread sielewi kitu. Nitakuwa wamwisho kuamini unachotuhabarisha hapa. Nimebumbwa
Watu wengine kuongea pumba wanaona sifamimi msinichekeshe jamani 😅
Kumbe yule jamaa bado yupo!!🤨Kuna mtu anaitwa Barikiwa 2019 alituaga anakufa mpaka leo mungu kasema hafi.Hauotokufa amini haotukufa,2027 utakuwepo humu.
Japo wanaweza wakagoma, unaweza submit request ya Kuchange Jina.Nimewaomba hiki kitu , waifute nisiwepo tena