Kwaherini JF

Kwaherini JF

Status
Not open for further replies.
Da Joanah pole.
Maisha ya kila binadamu yana mwisho
Jikubali na kubali ukweli kwamba mwisho wako umefika.
Tumeishi pamoja kwa furaha na utani hapa jf, lakini muda wa kuachana ukifika hakuna namna.
Fanya ibada sana, muombe Mungu sana akupokee akiwa radhi nawe.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom