Usicheke nipo kwa hii thread sielewi kitu. Nitakuwa wamwisho kuamini unachotuhabarisha hapa. Nimebumbwa
Japo wanaweza wakagoma, unaweza submit request ya Kuchange Jina.
Utakuwa umetupatia Ahueni kubwa sana.
Tuna kuonya amna kufa ume sikiaLabda
Hey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Naumia lakini sina jinsi
We ni binadamu sikatai kama unavyokazia kuwa ndio hivyo namimi nakazia kuwa nitakuwa wa mwisho kuamini. Kwa hili mimi ni tomaso mbobevu niliekubuhu. Napenda kukuona ukiendelea kuwepoMimi ni binadamu
Kuamini nachosema ni 100% possible
Good death (Euthanasia) bongo haipo mkuuFamilia yangu hakuna anyejua naumwa nini
Nataka nife kimya kimya kama ikiwezekana before mwisho wa wiki inayoanza, sitasubiri miezi miwili
Kwanini unatumia neno "Tusijue?" Umeamua kutuwakilisha sisi wote kwenye jambo ambalo unalolitaka wewe tu?Waombe wasiweke ID yako RIP, ikibidi Ifute.
Atleast tusijue kilichoendelea kuliko Label ya RIP.
Good death (Euthanasia) bongo haipo mkuu
Hilo ni kosa kisheria
Si ndo yule alikua zenji, alikua mtaalamu wa IT au sio huyo mmmh huyo bado. Yupo kwelli? Na yeye ilikua kansaKumbe yule jamaa bado yupo!!🤨
We ni binadamu sikatai kama unavyokazia kuwa ndio hivyo namimi nakazia kuwa nitakuwa wa mwisho kuamini. Kwa hili mimi ni tomaso mbobevu niliekubuhu. Napenda kukuona ukiendelea kuwepo
Wamejiwekea kinga kama zote haoBongo marais wenu wenyewe ni wavunja sheria 😁
Itakuwa mimi niliyejichukulia sheria isiyo na madhara kwa mtu?
Sure.....Yeah, kubadili jina itakuwa ni nzuri pia kama wakikataa kufuta
Kwamba wewe siyo mdada kumbe nani?Daah kwa hiyo mi mdada?
Wamejiwekea kinga kama zote hao
Nakupa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kinyeo unanipa hunipi?
Mimi na familia yangu tusijue, hao ndio nawawakilisha ( Wanatumia JF pia).Kwanini unatumia neno "Tusijue?" Umeamua kutuwakilisha sisi wote kwenye jambo ambalo unalolitaka wewe tu?
Kwamba wewe siyo mdada kumbe nani?
Mi pia Nanuaga ni mdada furani unakaribia ushangazi.
Kama ni mumama tujurishe mkuu
Mkuu nimekuuliza kwa userious tu usichukulie tofauti... nilitaka tu kufaham ni kansa ya aina gani ya damu, ngozi au ya ndani?Ya hapa hivi