The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,935
- 117,235
Makobaz hamjawahi kumiliki akili timamu, kwamba ukiwa kobaz ndio garanti ya kufanyaje?Hamia kwenye uislamu kabla mauti hayajakukumba.
Miezi uliyobakisha mrudie muumba wako na umkiri Mtume Muhammad S.A.W kuwa ndiye mtume pekee wa mwenyezi Mungu na hakuna apasaye kuabudiwa isipokuwa Allah S.W.T
Ni yule yule.Huyu mtoa mada ni huyu huyu Joanah wa siku zote au?
Ametoa picha kwenye id yake hvy nashindwa kuelewa.
Asante sana kunieleweshaNdo huyu ila picha ya joannes katoa kwenye avatar yake
Ww khuma tuu 🖕Ni dhambi kufa kwenye ukafiri.
Uwe unatumia akili ila kama unazo tu,Makobaz hamjawahi kumiliki akili timamu, kwamba ukiwa kobaz ndio garanti ya kufanyaje?
Ushamake peace na nafsi yako so wala hujachanganyikiwa...Kwa hizi essay mimi marehemu nitapumzika kweli?
Utani pembeni hapa nilipo i feel lost .
Nipo katikati ya mshangao,huzuni na ajabu wakati huo huo nipo excited kufa ...sijui nipo sawa ama nimeshaanza kuchanganyikiwa
Kuhusu kuambia watu wangu hapana, mwenzangu tu hana anachojua sitaki kupanikisha watu
JF kuna ungese sana aisee, WTF is this?Daah kwa hiyo mi mdada?
Mnatuchanganya na majina yenu kudadeki zenuDaah...am getting very emotional
Mwambie sasa atumie mifumo gani hiyo?Pole sana. Tumia mifumo mingine. Dunia haiongozwi tuu na Sayansi
Ww nae ndo wale wale 🗑️Uwe unatumia akili ila kama unazo tu,
Kwa hiyo huyo mtu mmoja uliyemquote ndio anawakilisha waislamu wote?
Kama wewe unamiliki akili ungelitambua hilo kwanza.
Ukiitaka Profile picha yake niambie ili VAR ikuletee.
Avatar yake n mdada mwenye rasta hv? Ambayo ndio ameitoa?Ni yule yule.
Nilijua tu huwezi kua na akili ya kujibu nilichokuuliza zaidi ya kujiuma uma vidole tu kwa aibu.Ww nae ndo wale wale 🗑️
Naamini majina yenye n moja ni ni mtu mmoja tu!So hao n watu watatu tofauti?