Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kuonyesha una likes 19 inanisikitisha sana, maana umeandika upuuzi tu, wajinga wenzako wakaunga mkono, na inaonyesha ulisoma ukaishia form 2 alafu ukakimbia sayansi ukaenda masomo mepesi. Kila ulichopinga kinaelezeka, sitotaka kudiscuss hili maana ni 2017 hakuna mtu mwenye muda wa kubishana kama dunia ni duara, hilo lilijulikana miaka zaidi ya 500 iliyopita kama bado unabisha hadi leo basi ishi ufe kivyako ila ujinga wako usijaribu kuwapa watu wengine, ukiwa na watoto peleka shule wasome wakupite akili, usiwabane wawe kama wewe maana tutakua tunaongeza wajinga duniani.

Samahani kama utahisi lugha niliyotumia ni kali lakini ni ukweli. We hata ukiwekwa kwenye rocket ukarushwa kutoka nje ya dunia ujionee mwenyewe utarudi kusema labda walikupa madawa ya kulevya wakudanganye. Cha kushangaza unaamini JF ipo, hujui internet inafata principle hizi hizi tunazotumia kujua kua dunia ni duara. Nadhani tatizo ni ego tu.
Umemaliza mkuu
Mi mwenyew nimemshangaa sana huyu jamaa. Na hao waliomoa likes nimewashangaa sana
 
Taratiibu mkuu, unataka kusema universe ina expand day to day?
Au ni kwamba binadam kutokana na uelewa wake mdogo ukijumlsha na technolojia ya vifaa ndio alishndwa kuyajua haya mapema
Yaah ulimwengu unaexpand more than speed of light hii inapingana na relativity law ya Einstein,dark matter zinahusika na utanukaji wa universe kwahy universe is vast and still expanding so we will never see the end!
 
Wasiwasi huu ndio unaowapata Wanasayansi waliobobea.
Kila siku wanawaza kuwa ikitokea hitilafu yoyote katika haya maumbo makubwa ya kwenye ulimwengu huu nani ataweza kuizuia ?
Mfano Jua likiisha nguvu yake na kupoteza Nuru yake nani atalikarabati lirudi katika hali yake ya kawaida ?
Sayari zikipoteza mwelekeo na kugongana nani atazuia maafa yanayotarajiwa ?
Nakadhalika na kadhalika mambo hayo ni ya kutisha sana.
Ndio maana unawaona Wanasansi wengi hasa Wazungu ambao ni wanatafiti sana hali ya mambo ya ulimwengu huu, wanaishia kwenda Kanisani kumwomba Mingu ili hali utulie hivyo hivyo kama ilivyo.
Isingekuwa hii hali ya utisho wa Ulimwengu, usingemwona Mwanasayansi hata mmoja Kanisani akiomba fadhila toka kwa Mungu.
Jua likiisogelea maili chache tu Dunia yetu itaungua na kuwa jivu.
Jua likisogea mbali na Dunia viumbe wote watakufa na baridi.
Jua likipoteza uasili wa Nuru yake mimea yote itakufa na haitaota mingine na kuharibu uhai wa viumbe wote.
Hivyo vimbunga vya El Nino na La Nina tu vinawazidi nguvu.

Tuzidi kumwomba Mungu hali iendelee kuwa kama ilivyo sasa.
Sizani kama upo sahihi unaposema wanasayansi wanaenda kanisani kusali, fuatilia haya mambo vzuri na kwa mapana yake. Usikae ukasoma au ukasimuliwa stor na mtu fulan hafu ukaiamin jumla.
Tambua kuwa wanasayans hasa wa anga hawapo marekan tu-zipo nchi kama urus, china, india, korea kaskazn n.k. wanapambana kila sku ktk uvumbuz ila hawaamin mungu kabsa na wanagundua mambo meng tu
 
Sasa wewe unabishana na wakati huna uhakika na hoja zako wenzako wanaweza wakaprove wanavyo visema. Wengine wametia mguu kabisa mwezini [emoji23]
Mi huyu jamaaa nimemwambia aache kubisha bila scientifc evidence, anatia aibu
 
mada imeenda mbali zaidi mpaka uharibivu wa mazingira na magonjwa.
lakini kule kwenye ulimwengu, galaxy, na dunia bado kuna mengi ya kujiuliza.

kama ilivyosemekana kwamba mwanga ndio husafiri kwa mwendo kasi zaidi kuliko chochote, na kama ilivyosemekana kwamba ziko galaxy nyingi katika ulimwengu na zinagarimu miaka bilion nyingi kuzifikia tena kwa kasi ya mwendo wa mwanga!
na hapo tunaona bado darubini hazija weza kuona mwisho wa ulimwengu, au ilipo mbingu makao makuu ya Mwenyezi Mungu.

sasa, kama kutoka katika galaxy ya kwetu ambayo pia ni ndogo kuliko nyingine inagarimu miaka milion kadhaa, je huko kwa Mungu ambako kuna binadamu waliwahi kusema wamefika mbingu ya 3 kati ya 7 walitumia muda kiasi gani?
kwamaana nataka kuamini mbingu ya kwanza mpaka hio ya saba ni nje ya ulimwengu.

Au Bwana Yesu alipo paa mbinguni kam ya semavyo maandiko huenda mpaka leo hajafika!!
tuchukue mwendo wake ni mara 100 ya kasi ya mwanga bado inagarimu mamilioni ya miaka!

mtazamo wangu kuna sehemu hatuambiwi ukweli kati ya sayansi na dini.
lakini Mungu atukuzwe maana hakuna kama yeye.
Ok naona mkuu umevutiwa na mahusiano kati ya uwepo wa mungu na jins Science inavotuambia.
Kifupi ni kuwa mambo ya mungu yanaenda kwa njia ya roho(isiyotambulika ktk mwili) ndiomana Yesu kutoka hapa duniani hadi mbinguni inaezekana ilikuwa fraction of second tu kwasabab huo ni ulimwengu wa roho.
Ila ss tunajadili mambo yanayotambulika physically ndiomana science ipo na ndio inayotuongoza.

Usichanganye dini na science hitaelewa kamwe. We tambua yupo muumba wa hv vtu vyote ila jukumu la kutambua mazingira yetu na jins ya kuyakabili ni la kwetu wenyewe
 
Ni kweki ndugu pia nimejifunza kitu hapa kwamba Mungu hafungwi na wakati au muda yeye ndie muanzilishi wa nyakati na alikuwepo kabla ya nyakati hivyo muda hauwezi kumzuia au kumpangia chochote.

Pia mwanadamu akili yake inapogotea ndipo akili ya Mungu inapoazia. Kwahio Mungu anauwezo kuliko mwanadamu, na kwenye mada hii kunasehemu inasema mwanadamu na vifaa vyake wamefika kikomo katika tafiti zake, sasa kikomo cha mwanadamu ndio mwanzo wa Mungu.

Ninachojiuliza labda kuna nguvu shindani dhidi ya Mungu ambayo pia ni nje ya mwanadamu
 
Shida ya Zenjbar anataka kutumia dini tu bila tafakari
Alichotakiwa ajifunze ni kwanini nyota zilizo umbali usioweza kuhesabika tunaziona jibu ni kwamba mwanga tuuonao ulisafiri mabilioni ya miaka kutufikia
Kama anaamini dini abaki na dini yake, kumbe ndiomana anaongea vtu havieleweki kumbe anachanganya mambo
Na asizani kuna siku dini na science vitaelewana kama anavotaka
 
Unajibu ki-layman sana
we ni mpinzani usiye na hoja (scientific evidence)
Unaongozwa na unachokiamin na sio ulichokitafiti

mkuu naona umeniandama sana hahaha,mimi nnayo elimu ya university level lakini sipendi kujinasib na elimu hata kidogo wala siiwachi elimu ikanifunika macho na akili na wala siiwachi elimu kunipa mitazamo ya uhalisi wa kila kitu,binaadamu tuna hisia za kuishi hapa dunia ambazo tunaziamini katika maisha yetu ya kila siku,huwezi kuvuka barabara bila ya hisia zako wala huwezi kuendesha gari bila ya hisia na unaziamni kwa maisha yako kila siku na zinatuweka hai mpaka hapa tulipo.

kwahio nikiambiwa kuwa dunia inazunguka lakini hisia zangu haziwezi kuhisi hapo pana tatizo,nikiambiwa jua lipo 150mil km na macho yanaliona jua lipo juu ya utosi kila siku hapo pana tatizo,nikiambiwa gravity ndio inayotugandisha hapa tusipeperuke lakini mabofu na yanakwenda hewani hayazuiwi na wepesi wake hapo kuna tatizo,tukiambiwa dunia ni duara lakini hatuoni mpindo hapo hapako sawa kwa mtazamo wangu

tafauti yetu mimi na wewe ni imani tu,wewe unaamini kuwa ulinwengu uliofundishwa na science ni uhalisi na mini siamini kama huo ndio uhalisi na hakuna proof ya jambo lolote kila kitu ni faith based, hakuna picha ya dunia ya kweli,dunia haizunguki wala haina motion yeyote badala ya earth quake,katika mazingira yetu na uhalisi wa hapa duniani maji hayawezi kuganda nje ya tufe la dunia(sijui nje ya hapa duniani maji yangekuwaje) lakini hapa duniani maji yana sifa zake na haziwezi kuwa tafauti na sote tunalijua hilo lakini bado tunaamini maji yameganda nje ya tufe la dunia,maji ni lazima yawe level popote yalipo,na pia hakuna mtu hata mmoja aliewahi kuuona mpindo wa dunia iliofanya iwe tufe,ndege ziruka angani zote zinaweka cruising speed na zinatembea straight,hatujawahipo kuziona ndege zikizunguka tufe hata siku moja,na kama ndege zinaruka juu ya tufe safari za anga zisingewezekana kabisa

mambo ni mengi sana labda ungezipitia post zote nlizochangia hapa pengine kuna vitu ungekwenda kuvitazama mwenyewe kisha uje na maoni yako binafsi na uweke pembeni maandiko ya vitabu vya science
 
Picha kama hii inanipa faraja sana,pamoja na changamoto zinazotukuta tuzaane kwa wingi.
View attachment 635589
sizani kama ni sahih sana, kikubwa ungekazana wazaliwe wenye IQ kubwa. Kuzaliana wengi halafu mambumbumbu ni hopeless.
Hiv ushawah kiuliza vinchi vya ulaya mf. uingereza ni vdogo sana ila vinarun dunia toka enz hizo hata sasa. Hiv unafikiri swala ni wing au akili
 
Tumefanywa "guinea pigs" wa Pharmaceuticals companies,very sad,kama wanasiasa na wanataaluma wetu wangejua bigger picture huenda wangekomaa.
Sio kwamba hawajui, ila ni ile kukosa uzalendo na kujawa ubinafsi - pia kuna kitu kingine cha ushamba wa mambo yaan mtu kupandshwa ndege mara kadhaa kufika new yock bas akil inamvuka anaona akitetea ukwel safar zitadoda na kibarua pia
 
Ni kweki ndugu pia nimejifunza kitu hapa kwamba Mungu hafungwi na wakati au muda yeye ndie muanzilishi wa nyakati na alikuwepo kabla ya nyakati hivyo muda hauwezi kumzuia au kumpangia chochote.

Pia mwanadamu akili yake inapogotea ndipo akili ya Mungu inapoazia. Kwahio Mungu anauwezo kuliko mwanadamu, na kwenye mada hii kunasehemu inasema mwanadamu na vifaa vyake wamefika kikomo katika tafiti zake, sasa kikomo cha mwanadamu ndio mwanzo wa Mungu.

Ninachojiuliza labda kuna nguvu shindani dhidi ya Mungu ambayo pia ni nje ya mwanadamu
Nimependa hapo uliposema akil ya mwanadam pale inapoishia mungu ndio anajidhihirisha.

Kuhusu swali lako la mwisho kuwa "Ninachojiuliza labda kuna nguvu shindani dhidi ya Mungu ambayo pia ni nje ya mwanadam"
Jibu lake ni kuwa ukitaka kuelewa haya mambo vizur bila shida lazima ufaham somo la "THE SUPERNATURAL POWER" - hili linakuelekeza kujua what is EVIL and what is GOOD. and who is governing them.
Kiufup ni kuwa ipo nguvu ya asili ambyo ndio inayoongoza each and everythng ikijumlisha na all Universes zinazozungumzwa hapa. Hii nguvu bafo ni siri kwetu kuijua kuwa nini chanzo chake na inafenyejefenyeje mambo ila by definition ni kuwa "Its an independent supernatural power that control each and everythng that exist(physically&spiritually) on its own way"

Sasa hapa haijalishi inacontrol mabaya tu au mazur tu.. noo noo... It means mambo yote ikiwemo na science zote. Hapa inamaana kwa upande wa mambo mazur ndio wanadam wametengeneza image ya mungu na mabaya ni shetani.

N.B - wapo wanaoamin kuwa mungu anayeenezwa na dini zetu yeye ndio muasisi wa mazur na mabaya. Ila zipo pia din nyingne haziafiki hilo zinasema mazur ndio ya mungu na mabaya ni ya shetani... Sasa ukiwauliza reference ya uzur ni nn na ubaya n nn,,,, sijui kama watakuwa na majibu ya kuridhisha

Anywy tuishie hapa kwanza
 
mkuu naona umeniandama sana hahaha,mimi nnayo elimu ya university level lakini sipendi kujinasib na elimu hata kidogo wala siiwachi elimu ikanifunika macho na akili na wala siiwachi elimu kunipa mitazamo ya uhalisi wa kila kitu,binaadamu tuna hisia za kuishi hapa dunia ambazo tunaziamini katika maisha yetu ya kila siku,huwezi kuvuka barabara bila ya hisia zako wala huwezi kuendesha gari bila ya hisia na unaziamni kwa maisha yako kila siku na zinatuweka hai mpaka hapa tulipo.

kwahio nikiambiwa kuwa dunia inazunguka lakini hisia zangu haziwezi kuhisi hapo pana tatizo,nikiambiwa jua lipo 150mil km na macho yanaliona jua lipo juu ya utosi kila siku hapo pana tatizo,nikiambiwa gravity ndio inayotugandisha hapa tusipeperuke lakini mabofu na yanakwenda hewani hayazuiwi na wepesi wake hapo kuna tatizo,tukiambiwa dunia ni duara lakini hatuoni mpindo hapo hapako sawa kwa mtazamo wangu

tafauti yetu mimi na wewe ni imani tu,wewe unaamini kuwa ulinwengu uliofundishwa na science ni uhalisi na mini siamini kama huo ndio uhalisi na hakuna proof ya jambo lolote kila kitu ni faith based, hakuna picha ya dunia ya kweli,dunia haizunguki wala haina motion yeyote badala ya earth quake,katika mazingira yetu na uhalisi wa hapa duniani maji hayawezi kuganda nje ya tufe la dunia(sijui nje ya hapa duniani maji yangekuwaje) lakini hapa duniani maji yana sifa zake na haziwezi kuwa tafauti na sote tunalijua hilo lakini bado tunaamini maji yameganda nje ya tufe la dunia,maji ni lazima yawe level popote yalipo,na pia hakuna mtu hata mmoja aliewahi kuuona mpindo wa dunia iliofanya iwe tufe,ndege ziruka angani zote zinaweka cruising speed na zinatembea straight,hatujawahipo kuziona ndege zikizunguka tufe hata siku moja,na kama ndege zinaruka juu ya tufe safari za anga zisingewezekana kabisa

mambo ni mengi sana labda ungezipitia post zote nlizochangia hapa pengine kuna vitu ungekwenda kuvitazama mwenyewe kisha uje na maoni yako binafsi na uweke pembeni maandiko ya vitabu vya science
Ofcoz nakubaliana nawewe kuwa mtu binafsi tuna utashi wa kohoji mambo na kuamua lipi sahih kwetu. Namm naipongeza sana hyo mentality ya independent mind maana ndio chanzo cha ugunduzi mwingi.
Infact hakuna wagunduzi mahiri ambao ni wafwata mkumbo, bali huwa wana misimamo ya kitofauti na yenye tija.

Tukirudi kwako ni kwamba tumejionea ukitoa uchambuzi usiozingatia tafit za kisayansi bali umekuwa unaleta ubishi usio na hoja zenye mashiko. Mfano unavosema tusisimamie utafit wa kisayansi uliopo Je ww una utafit gan wa kisayans wenye enidence ambao unaweza kitupa na tukauverify.. ?

Kadhalika unavosema et sayans ni imani, hapa unakosea sana maana wenzako wametunga vitabu na kuweka formulas kibao ambazo ukizitumia unapata majibu ya maswali yako yote.
Hv unavyoona magorofa marefu sana na ya ajabu yanajengwa tena mengine kwa teknolojia za hal ya juu kabsa na wala hayaanguki hv ulishawah jiuliza ni formula gani zimetumia kuyajenga au ndo utasena ni imani.
Haya mfano mwingne ni huo wa ndege angan, hv kama sayans ni iman za kufikirika je hv kwel unajua ili ndege iruke inafuata vipimo gani?
(Kwa ufup ni kuwa ndege inavoruka ina-obey law ZOTE za gravitation forces pamoja na umbo la duara la dunia likihusisha latitude na longtude ambazo zimewekwa ktk mfumo wa GPS na ndiomana ndege ni vgumu kupotea maana inaongozwa kwa sayans ya juu sana.
Anywy tusiende mbali sana ila tambua kuwa hata hao wanaoenda mwezini na hata mars huwa wana-obey huu ukweli tunaousema hapa ndiomana wanazidi kufanikiwa na wanazid kuvumbua ---NAOMBA NIKUULIZE SWALI, HV KWELI KAMA HZ SAYANSI ZINGEKUWA NI ZA UONGO SI TUNGEKUWA TUNASHUKUDIA MAJANGA MAJANGA KILA SIKU.?

Sasa we unaesema ni za uongo hembu tupe hizo formula zako za ukweli halafu upaishe ndege kwa kilomita moja tu na upeleke roket mwezini... Halafu uende anga za mbali utuletee hzo picha zako za ukweli...

Tunachokwambia ni kuwa SCIENCE inapingwa na SCIENCE. utafiti unapingwa na utafiti.
Yan wenzako wamegundua mambo kibao na yametestiwa na yamefanikiwa halafu unakuja kusema et ni uongo.
 
Kama mlienda vile kumbe mnagugo na kukopy toka kwny makala acheni upuuzi muwe na akili.
Mzee vp mbona kama umevurugwa,
We mwenye akili hemu tupe maarifa sahihi.. Tuwekee hapa tuyasome.

Ukishindwa kuweka hayo maarifa basi wew ndio utakuwa huna akili zaidi.
 
Mkuu ktk hoja za awali za kisayansi tupo pamoja maana ulikuwa unaweka facts, ila hapa katikati umeingiza mambo ya racism
Ubaguzi wa rangi ni kweli ni mojawapo ya majanga yanayotuandama kama waafrika ila nakusihi usibaki na hyo mentality ya kuamini hivyo tu kuwa et umaskini wetu na IQ zetu ndogo zimesababishwa moja kwa moja na racism - ukiamini hvyo unakuwa umepotoka.

Tunachokisema ni kuwa hiyo ni factor moja tu tena minor ..
Ila factor kubwa ambayo ni major one ni uwezo wetu mdogo wa kiasili wa kiakili. Hv unavosema mzungu/mwarabu alikuja akatutawala na kuchukua mali zetu, hv kwann kama ss tulikuwa na akili kwann tusingeenda huko ulaya/uarab kisha tukawatawale??
Wao walikwishaendelea ndiomana wakawa wanazunguka dunia nzima huku na huku kutafuta malighafi za kuendesha viwanda vyao. Wakat huo mababu zetu wanachezea almasi na dhahabu mtoni. Kumbe mzungu kuja akaiona na kuwalaghai kwa kuwapa pipi na nguo kisha wao wakaachia kila kitu. Na ukitaka kujua sio tu mababu zetu walikuwa hewa kichwan angalia hata sasa viongoz wetu bado wanaingia mikataba ya kijinga kabsa ya kumpa mzungu/mwekezaji 97% na nchi inapata 3%. Hv mkuu unavolalamikia wazungu hv kwel hapa lawama ni kwa mzungu au sisi.

Mi nakubali kuwa huko amerika waafrika waliteswa utumwani, ila lazima tujiulize kwann walienda huko na kwannn waliweza kufanywa watumwa... Kwann wasingekataa.
Ukijijibu hapo ndio utaona kweli sisi ni less competent kiakili na pia kinguvu.

Just imagine wale waafrika waliokuwa wanapewa pipi na vizawad vidogovidogo kama nguo ndio haohao waliwageuka waafrika wenzao kwa kwenda kuwakamata na kuwakusanya kwa kumfanyia kaz mzungu kisha kaz ya mzungu ikawa simple tu kuwaoakia bandarini au kwenye matren na kuwapeleka huko kwao.
Hvyo kama ni utumwa tulijiuza sisi wenyew kwa ujinga wetu tukawa tunauzana wenyewe kwa wenyewe, hv utaasema hyo ni akili au matope.
 
Back
Top Bottom