Nakubaliana na wewe kabisa. Hii dunia ina siri kubwa sana na inawezekana kabisa dunia sio "duara" kama tulivyofundishwa. Kuna maswali mengi sana ya kujuiuliza ambayo hayana majibu kama kweli dunia ni duara. Kwa mfano;
1. Kama dunia ni duara na inajizungusha kwenye muhimili wake, kwanini basi ukiruka juu, unatua pale pale uliporikia na dunia haikuachi?
2. Kama kweli dunia ni duara, kwanini watu wote duniani, popote pale walipo, wakiangalia juu wanaona anga hilo hilo?
3. Kama kweli dunia ni duara, kwanini watu walio upande wa pili wa hili duara hawaanguki?
Acha uzwazwa unaqoute uzi wotd ili kuandika hivyo vipumba vyakoWe jamaa ujinga wako ni wa kiwango cha kipekee kabisa..!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
UmeaminijeKweli nimeamini Jahannam ipo. Mungu tunusuru na huo moto
Umequote uzi mzima kuandika huo upuuzi.jibu ni hakuna kitu hicho cha kufikirikaMkuu bila kusaha hayo yoote yanaeleaa katika arshii ya Mungu je arshii ya Mungu inaukubwa gani?
Yesu anawezaAllah akbar
Mzungu katengeneza hizo galaxy?Mzungu achana nae asee wacha atuone ngedere du tu waafrika
Mimi sipingani na wewe ndugu island , Kama dunia ni duara kama wanavyosema, bado kuna maswali ambayo hayana majibu mpaka leo. Na kama dunia ni tambarare pia bado kuna maswali mengi tu ambayo hayana majibu. Vyovyote ilivyo; duara au tambarare, ni zaidi ya "sayansi" dunia kuwa kama ilivyo. Ni muujiza mkubwa sana uliofanywa na YEYE aliyeiumba!Na mimi nikuulize mkuu
1. Kama dunia siyo duara tuseme mfano ni tambarare je mwisho wake ni upi ? Nchi gani ipo mwisho wa dunia
2.Kama ni tambarare labda tuseme kama block na haielei je upande wa pili wa dunia kuna nini ? Au haina mwisho ? Imeenda mpaka wapi?
3.Mbona jua linazama na kurudi asubuhi ina maana linaenda then usiku linarudi fasta bila kuonekana na kuanza safari upya?
4. Kama dunia ni tambarare kwa nini china pawe usiku tanzania kuwe mchana ?
Mkuu unadhani viongozi wa kiafrica wana msukumo ktk haya maana wamejikita ktk siasa wengi wao wamelewa madaraka hawajui hata nini kinaendeo!Kuna haja ya kuzishawishi serikali zetu kuhusu haya,tuwe na udhibiti wa NGOs ambazo zinajifanya zina lengo zuri kumbe ni Trojan horses,(kufuta Uzazi wa mpango kumbuka tuna maradhi mbalimbali uzazi wa mpango wa nini) kutokuwaamini hao wanaojifanya kutusaidia,AU ianzishe kitengo maalumu kupambana na haya mashambulizi dhidi ya jamii yetu.