Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Just imagine wale waafrika waliokuwa wanapewa pipi na vizawad vidogovidogo kama nguo ndio haohao waliwageuka waafrika wenzao kwa kwenda kuwakamata na kuwakusanya kwa kumfanyia kaz mzungu kisha kaz ya mzungu ikawa simple tu kuwaoakia bandarini au kwenye matren na kuwapeleka huko kwao.
Hvyo kama ni utumwa tulijiuza sisi wenyew kwa ujinga wetu tukawa tunauzana wenyewe kwa wenyewe, hv utaasema hyo ni akili au matope.[/QUOTE]

@CHATTER MASTER UMESEMA MENGI TU YENYE POINT,KWANZA UMATAKA TUTOKE VIPI KTK MAKUCHA YA HAWA WAZUNGU NA MABEBERU?

PIA TUPE MAANA YA NENO AFRICA AU UNAJUA NINI INAPOTAMKWA NENO AFRICA AU NENO AFRICA ILITOKANA NA NINI?
 
Mwanasayansi wa Marekani aliyetembea mwezini afariki dunia akiwa na miaka 87
7 Januari 2018.

John Young alifanya safari yake ya kwanza na Gemini 3 mwaka 1965
Mwanasayansi wa safari za anga za juu raia wa Marekani John Young ambaye alisafiri kwenda mwezi mara mbili na kuhudumu kama kamanda ya chombo cha kwazza cha safari za anga za juu amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87.

Young alikuwa mtu pekee kuwahi kushiriki safari za anga za juu za Gemini, Apollo na Space Shuttle.

Wakati mmoja pia alipata umaarufu kwa kusafirisha kisiri nyama kwenda safari ya anga za juu kwa wanasayansi mwenzake kama zawadi.

John Young, alikuwa rubani wa chombo cha kwanza mwaka 1981
Young alistaafu mwaka 2004 baada ya taaluma ya miaka 42. Nasa wanasema kuwa alifariki siku ya Ijumma kutokana na ugonjwa wa kichomi.

Baada ya kuzaliwa huko San Francisco mwaka 1930 alipata shahada ya uandisi kutoka taasisi ya Georgia Institute of Technology na baadaye kuhudumu kama rubani wa jeshi la wanamaji wa Marekani.

Alijiunga na Nasa mwaka 1962 na mara ya kwanza kusafiri kwenda anga za juu mwaka 1965 wakati wa safari ya Gemini 3.
Mwezi Mei mwaka 1969 Young alikuwa miongoni mwa wanasayasansi waliosafiri kwa chombo cha Apollo 10 kama jaribio la safari ya kwenda mwezini kwa chombo cha Apollo 11 miezi miwili baadaye.

Young baadaye alitembea kwa miguu mwezini mwaka 1972 kama kamanda wa safari ya Apollo 16.

John Young ametajwa na Nasa kama mwanayasanyi mwenmye ujuzi wa juu zaidi.
 
5385311969beddd26f08d550-1334-876.jpg
 
Taratiibu mkuu, unataka kusema universe ina expand day to day?
Au ni kwamba binadam kutokana na uelewa wake mdogo ukijumlsha na technolojia ya vifaa ndio alishndwa kuyajua haya mapema
Binafsi naamini ina expand kila siku lakini hata tungekuwa na technology kama ya sasa tangu enzi za nuhu bado vyombo hivi visingeuona mwisho ndio maana kila tunachoona kinaonekana kimekuwapo mabilioni ya miaka
 
Binafsi naamini ina expand kila siku lakini hata tungekuwa na technology kama ya sasa tangu enzi za nuhu bado vyombo hivi visingeuona mwisho ndio maana kila tunachoona kinaonekana kimekuwapo mabilioni ya miaka
Impongo nice to see you bro.
 
View attachment 714600 Rest in Space Stephen..
Ulemavu wake haukumzuia kufanya mumbo makubwa. Nakumbuka ule mradi alioshirikiwa wa STARSHOT wa akina Mark Zuckerberg & Yuli Milner ni project ya ajabu sn kupeleka chombo ktk nyota ya ALPHA CEUNTARI iliyo 25 trillion miles (4 LY) kwa miaka 20 ni maajab makubwa snsn
 
Back
Top Bottom