Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

images (31).jpg
 
elimu ya science ya ulimwengu ni elimu ya kusadikika haina ukweli wowote wala haiingii akilini kama tutakuwa na uwezo wa kufikiri,binadamu hatuwezi kuishi kwenye dunia yenye shepu ya chungwa,na kama ingekuwa kweli tungekuwa tunaweza kuishi kwenye milima mikubwa kwa kuganda pembezoni mwa milima bila ya kuanguka.

dunia haiwezi kuwa duara na maji kuganda nje ya dongo la dunia na kisha iwe inaruka angani kwa speed na masafa tunayoambiwa hii haiwezekani kabisa,katika uhalisi wa maji hayawezi kupinda kufata umbo la nje la kitu chochote,maji popote yalipo ni lazima yawe level hio ndio sifa kuu ya maji,na ndio mana tunatumia lever za maji kujengea majumba ili kupata usawa wa nyumba

jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa na umbali wake kutoka ardhini ni sawa sawa kama tunavyoviona,pia kama utaangalia jua na mwezi utakuta vipo ndani ya wingu la blue havipo umbali wanaosema,pia mwezi hauna ardhi ya watu kwenda kutua,tukiwa hapa tunauona kuwa mwezi ni kitu kinapitisha mwangaza(transparent),utazame mwezi mchana utaliona wingu la buluu kwenye mwezi na usiku utaona wingu jeusi kupitia kwenye mwezi.

tumefundishwa gravity ndio inayotuzuia tusipeperushwe na speed ya dunia hiki ni kichekesho kikubwa,kwanini gravity haiwezi kuzuia mabofu na mifuko ya plastic na ni vyepesi sana, kwa ufupi hakuna gravity ni vitu vizito vinabaki ardhini na vyepesi vinakwenda angani

hatuwezi kufahamu kila kitu lakini upo uwezekano kuwa ukubwa wa dunia ndio hauna mwisho(infinity) wala sio duara na haizunguki wala kuruka,uhalisi ni kama tunavyoona kila siku dunia ipo tuli imetulia.
Mi nawasikitikia waliokupa likes-hii inaonesha ni jns gan tulivo na wajinga wengi..
Hem nipe kiwango chako cha elimu halafu ndio tuendelee na mada
 
1. ki uhalisia sayari nyengine sio kama tufe wala hazina udongo wa kwenda kutua kama ilivyo hapa duniani,wengi wetu hatujapata kuziona sayari kwa macho yetu,mara zote tunaziona kwenye computer tv na kwenye vitabu,hizi picha zote huo sio picha halisi ni michoro tu, lakini kama utaviona kwa telescope yako mwenyewe havipo kama tufe ni maduara tu.

2. kupatwa kwa jua na mwezi, kwa kweli mimi sijui jua linapatwa na nini lakini haioneshi hata kidogo kuwa ni mwezi ndio unakwenda kati baina ya jua na dunia, mara nyingi tukitazama kupatwa kwa jua tunatazama kwa mitazamo ya mafundisho tulopewa ndio mana tunahisi ni mwezi ndio unaingia kati kulipata jua.
lakini kama utaangalia kwa jicho lisilo na mafundisho utakuta mwezi haupo kabisa katika eneo la kupatwa kwa jua,mwezi hauonekani ukiingia au kutoka kwenye usawa wa jua,kinaonekana kivuli tu kinaliziba jua,kama mwezi ndio unalipata jua na mwezi ni tufe kubwa kama dunia ilivyo basi tufe lingeonekana linaingia kwenye usawa wa jua na kutoka lakini hivyo sivyo inavyo onekana,panakuwa na kivuli ambacho kimo ndani ya jua lenyewe kinaliziba jua na kivuli kinaondoka mwezi hauonekani kabisa kuingia kwenye anga za jua na kutoka
Unajibu ki-layman sana
we ni mpinzani usiye na hoja (scientific evidence)
Unaongozwa na unachokiamin na sio ulichokitafiti
 
Dunia inamwisho ila space its infinity,mpaka sasa hakuna mwisho wa universe na wanasayansi wanasema kwamba its expanding into the space at speed of light,like Bible said God stretches out heaven like curtain
Taratiibu mkuu, unataka kusema universe ina expand day to day?
Au ni kwamba binadam kutokana na uelewa wake mdogo ukijumlsha na technolojia ya vifaa ndio alishndwa kuyajua haya mapema
 
yani we jamaa ni kilaza kweli , alafu kibaya zaidi hujijui kama wewe ni kilaza.

hivi haujui kama jua ndo smallest star.
Huyu ni kilaza kwelikwel, yaan mi kuona comment yake ya kwanza nikamuukiza ana elimu gan - hajanijibu hadi sasa
He is so poor in thnking
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom