We enda uko akuna cha garaxy wala malashi dunia haina mwisho af ni kama zuria jua hivyoNinakushukuru kwakutupatia ufahamu kuhusu Galaxy yetu, ambayo kwa kiswahili inaitwa Kilimia. Na hiyo inatufanya sisi binadamu tujione kuwa duni sana hata kama tunajiona tumevumbua mambo mengi. Na hiyo inatulazimisha kuamini kuwa Yehova Mungu Aliyeumba mbingu na ARDHI YUPO
Ulishaitumia iyo darubin au umeiona kwenye tv na kuishia kuisoma tu?!Hyo ni Huble space telescope iko angani inachukua hizo picha,ni kama darubini Kali yenye uwezo mkubwa ,mambo ya kujua nyota ziko umbali gani mainly wana deal na mwanga unaotolewa na nyota wakat mwingine nitaandaa Uzi mwingine haya mambo yanahitaji ufafanuzi,so wait...
Sawa baba endelea kutulisha matango tunakula vizuri sanaGalaxy kwenye observable universe yaani ulimwengu unaonekana ziko bil 400 ambayo ni umbali wa 93 light years,ila ukizungumzia ni ulimwengu usiojulikana wajuzi wanasema ziko kama trilioni 2
Utu tupicha utu ndo tuna imanisha wadg zetu ndomana mimi home mpka leo madg wanaamini zile picha za mjanja wa kizungu ni yesu.
Acheni uongo bwana embu kuweni asee mnasikitisha sana,mnaendelea kuchezewa kama midori mpka leo daah...Kwa bahati mbaya chombo hiki mwisho wake ni 2018 yaani mwakani sijui kama watapewa bajeti(Nasa) ya kuki service chombo hichi ukizingatia ikulu imeshikwa na wafanya biashara,kinazidi kuvutwa na earth gravity ambayo wasipo kiboost kita angukia kwenye bahari ya pasific..tukiombee mungu chombo hichi kipate bajeti ya kukiboost kiendelee kutupa mwangaza kutoka mbaaaliii.inshaalah
Kwa hiyo huu ndo mwezi huu pole sana kijana.View attachment 616895 View attachment 616896
Kama madai yako ni kweli hizo impact craters mbona zinakuumbua,hilo wingu jeusi likowapi
Kama una tutoto kwako embu kazana kuwalisha iz picha aseeBila Hubble Telescope tusingepata picha clear kama hizi,ambazo zinaonyesha nyota zikizaliwa katikati ya vumbi na gesi katika Eagle Nebula
View attachment 616971 s
Acha uongo banaa mnataka tutumie viboko?!Itatengeneza Gold
Kama mlienda vile kumbe mnagugo na kukopy toka kwny makala acheni upuuzi muwe na akili.Hii Nebula inapatikana katika constellation ya serpen 7000 light years away. Katika hizi stellar distances ni karibu.kama dar chalinze ilivyo katika ukubwa wa dunia.
Acha nikutus fala wwHapa nyota inapokaribia umauti halafu inapolipuka na kufa View attachment 617173