imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,436
Mbona imeeleweka yaani majirani zetu ambao usiku wanaonekanahyo doti ya njano ni nyota tyu ambazo unauwezo wa kuziona kati ya mabilioni ya nyota
Mbona imeeleweka yaani majirani zetu ambao usiku wanaonekanahyo doti ya njano ni nyota tyu ambazo unauwezo wa kuziona kati ya mabilioni ya nyota
elimu ya science ya ulimwengu ni elimu ya kusadikika haina ukweli wowote wala haiingii akilini kama tutakuwa na uwezo wa kufikiri,binadamu hatuwezi kuishi kwenye dunia yenye shepu ya chungwa,na kama ingekuwa kweli tungekuwa tunaweza kuishi kwenye milima mikubwa kwa kuganda pembezoni mwa milima bila ya kuanguka.
dunia haiwezi kuwa duara na maji kuganda nje ya dongo la dunia na kisha iwe inaruka angani kwa speed na masafa tunayoambiwa hii haiwezekani kabisa,katika uhalisi wa maji hayawezi kupinda kufata umbo la nje la kitu chochote,maji popote yalipo ni lazima yawe level hio ndio sifa kuu ya maji,na ndio mana tunatumia lever za maji kujengea majumba ili kupata usawa wa nyumba
jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa na umbali wake kutoka ardhini ni sawa sawa kama tunavyoviona,pia kama utaangalia jua na mwezi utakuta vipo ndani ya wingu la blue havipo umbali wanaosema,pia mwezi hauna ardhi ya watu kwenda kutua,tukiwa hapa tunauona kuwa mwezi ni kitu kinapitisha mwangaza(transparent),utazame mwezi mchana utaliona wingu la buluu kwenye mwezi na usiku utaona wingu jeusi kupitia kwenye mwezi.
tumefundishwa gravity ndio inayotuzuia tusipeperushwe na speed ya dunia hiki ni kichekesho kikubwa,kwanini gravity haiwezi kuzuia mabofu na mifuko ya plastic na ni vyepesi sana, kwa ufupi hakuna gravity ni vitu vizito vinabaki ardhini na vyepesi vinakwenda angani
hatuwezi kufahamu kila kitu lakini upo uwezekano kuwa ukubwa wa dunia ndio hauna mwisho(infinity) wala sio duara na haizunguki wala kuruka,uhalisi ni kama tunavyoona kila siku dunia ipo tuli imetulia.
Mkuu, jamaa anafikra ya 1D wakati watu wako 3D.Akili za kuambiwa cha nganya na zako,Maisha yatakwenda tuu!.
Kumbuka ukiangalia juu anaenda back in time huangalii sasa hivi kwa sababu ya vast distances jua lenyewe likisogezwa mbele mara mia bado tutaliona tu.likizidi kupelekwa mbali ndio utaseme aaa....kumbe lilikuwa NYOOTAAA AAISIII...swali linakuja hapa
katika nyota zote zilizo angani ambazo tunaziona,iliyo karibu sana ni 4.2 light years away
ikiwa tungeshindwa kuliona jua kwa umbali wa 40 lights minutes away, tunaziona vipi vyota zilizo na umbali wa 4.2 light years away
Kwa iyo ina maana kwamba Alpha Centauri Ikilipuka leo, tutaendelea kuiona kama ilivyo Mpaka mwaka 2021 NdioKumbuka ukiangalia juu anaenda back in time huangalii sasa hivi kwa sababu ya vast distances jua lenyewe likisogezwa mbele mara mia bado tutaliona tu.likizidi kupelekwa mbali ndio utaseme aaa....kumbe lilikuwa NYOOTAAA AAISIII...
Sijafanya calculation ila kama uko sawa ndio maana yake, kuna baadhi ya maeneo likitokea leo tukio hatuwezi kulishuhudia katika maisha yetu hata ya vitukuu na vilembwe vyetu.kuna matukio yalitokea wakati dinosaurs wakiwepo ndio leo yako njiani au ndio tunaoyaona.Kwa iyo ina maana kwamba Alpha Centauri Ikilipuka leo, tutaendelea kuiona kama ilivyo Mpaka mwaka 2021 Ndio
Tuutafahamu Supernova ilitokea..!? Mnh! Niwekeni Sawa wakuu
Poa MkuuSijafanya calculation ila kama uko sawa ndio maana yake, kuna baadhi ya maeneo likitokea leo hatuwezi kulishuhudia katika maisha yetu hata ya vitukuu na vilembwe vyetu.kuna matukio yalitokea wakati dinosaurs wakiwepo ndio leo yako njiani au ndio tunaoyaona.
Ndugu hawatufichi bali wanachunguza vitu hivyo ndio maana umetuma picha hiyo,unayoonyesha hapo km sio VOYAGER 1 tusingeijua kwa no matokeo yake kurudisha picha dunian kutoka ktk jua.Mvugumizo mkubwa wa Corona kutoka kwenye jua haya matukio yanazidi kuongezeka,hivi vitu ndio NASA wanajaribu kutuficha ili kuondoa hofu.
This is our Galaxy ulishahesabu kuna galyx ngapi kwenye universe. Tumekuwa tunaangalia tunaona different milk ways lakini hatujui ngapi? Kuhusu Saturn ukiiangalia usiku ukaona jinsi rings zake na miezi yake livyojipanga unajua kuna maajabu hapo ndo swali linakuja Mungu aliumba nini na kipi hakuumba?Be first to reply
Mita 2000 kutoka usawa wa bahari ina maana ukipanda mlima kilimanjaro unayagusa mawinguElimu hii nimeipenda sana sasa naomba kuuliza hvi mvua hua inatengenezwa kwa umbali gan kutoka usawa wa ardhi yetu