Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Bila shaka kuna sehemu nyingine yenye viumbe pengine vya ajabu sana
Ni kweli kuna viumbe ambavyo hata fikra zetu wanadamu haziwezi kufikiri vimeumbwaje ila vipo, sio lazima tuvione kwa macho.
 
ISS iki orbit juu ya strait of Giblatar(Jebel tarik)
images.jpg
 
Mkuu nimekusoma ila kuna kitu kingine kinatuhusu sie wanadam kuja kutuumiza haswa vizazi vijavyo,bidhaa za
GMO/GEO, kifupi cha maneno ya kiingeraza yani Genetically Modified Organisms na Genetically Engineered Organisms.

Hapa napo kwa modified hizi hata ktk utunzaji wa mazingira hakuna tena kwani mazao/bidhaa uharibu ARDHI NA MWANADAMU pia.
 
Hapa napo kwa modified hizi hata ktk utunzaji wa mazingira hakuna tena kwani mazao/bidhaa uharibu ARDHI NA MWANADAMU pia.
Wanachosema kuwa kutokana na population inavyo ongezeka hizi genetic modifications zitasaidia kuongeza chakula..no no noo!! Ukweli ni kwamba nature ya mwanaadamu ni tamaa, mimi naamini kabisa HIV virus wametengenezwa ili kutula haswa sisi watu wa Afrika,eti idadi kubwa ya watu wenye AIDS wako huku.haiwezekani ni wakati wa kuamka kutoka usingizini.
 
images.jpg
Ziwa Tanganyika na Rukwa yakionekana kutoka kwenye space mungu anajua kuremba.
 
mada imeenda mbali zaidi mpaka uharibivu wa mazingira na magonjwa.
lakini kule kwenye ulimwengu, galaxy, na dunia bado kuna mengi ya kujiuliza.

kama ilivyosemekana kwamba mwanga ndio husafiri kwa mwendo kasi zaidi kuliko chochote, na kama ilivyosemekana kwamba ziko galaxy nyingi katika ulimwengu na zinagarimu miaka bilion nyingi kuzifikia tena kwa kasi ya mwendo wa mwanga!
na hapo tunaona bado darubini hazija weza kuona mwisho wa ulimwengu, au ilipo mbingu makao makuu ya Mwenyezi Mungu.

sasa, kama kutoka katika galaxy ya kwetu ambayo pia ni ndogo kuliko nyingine inagarimu miaka milion kadhaa, je huko kwa Mungu ambako kuna binadamu waliwahi kusema wamefika mbingu ya 3 kati ya 7 walitumia muda kiasi gani?
kwamaana nataka kuamini mbingu ya kwanza mpaka hio ya saba ni nje ya ulimwengu.

Au Bwana Yesu alipo paa mbinguni kam ya semavyo maandiko huenda mpaka leo hajafika!!
tuchukue mwendo wake ni mara 100 ya kasi ya mwanga bado inagarimu mamilioni ya miaka!

mtazamo wangu kuna sehemu hatuambiwi ukweli kati ya sayansi na dini.
lakini Mungu atukuzwe maana hakuna kama yeye.
 
Ok. Hayo uliyouliza yapo kiiman zaid ila,kumbuka kuwa kwa Mungu hakuna lisilowezekana. Kuna kisa ktk Biblia soma Daniel 6 yote ile utaona kisa cha Daniel ktk shimo la simba baada ya kutupwa ktk lile shimo la simba na wale simba kushindishwa njaa walipofunguliwa ili wamtafune Daniel,kisa kinasema Mungu alimtuma malaika aje awafunge makanwa wale simba wasimdhuru Daniel.

Kwa ufafanuzi zaid ni kuwa wakat Daniel anatupwa ndan lile shimo ndipo yule maila nae anapewa amri ya kwenda kuwafunga wale simba makanwa yao. Ss tafakari distance ya juu ya shimo mpk chini palipo na wale simba,kisha linganisha na distance ya kutoka ktk kit cha enzi cha Mwenyezi Mungu wapi palipo mbali na kt ya mdomo wa lile shimo mpk palipo wale simba na umbali wa kiti che enzi cha Mungu na palipo wale simba. TAFAKARI. Asante.

Pia kuna kisa cha malaika moja kutoka ktk ibada ya kusujudia Mwenyezi Mungu na kurudi nyuma kisha kuanza safari ya kutaka kujua mwisho wa makao ya Mungu,unaambiwa alisafiri miaka 500 mpk mbawa zake zikachakaa akuona mwisho. Speed ya malaika ni km kufumba na kufumbua
 
Ok. Hayo uliyouliza yapo kiiman zaid ila,kumbuka kuwa kwa Mungu hakuna lisilowezekana. Kuna kisa ktk Biblia soma Daniel 6 yote ile utaona kisa cha Daniel ktk shimo la simba baada ya kutupwa ktk lile shimo la simba na wale simba kushindishwa njaa walipofunguliwa ili wamtafune Daniel,kisa kinasema Mungu alimtuma malaika aje awafunge makanwa wale simba wasimdhuru Daniel.

Kwa ufafanuzi zaid ni kuwa wakat Daniel anatupwa ndan lile shimo ndipo yule maila na


ndio maana nikasema hapo mkuu kuna mahali hapako sawa ama dini au sayansi.
lakini sifa ziwe kwake yeye aliebuni hayo yooote yaani Mungu.
 
Pia ni sehemu nzur kutalii ukiiona dunia nzima uku ikitembea. Nenda kule youtube andika the view from space clip ya kwanza tu ndo hiyo.
Hakuna kilichofichwa labda tunajinyima kufaham kwa uzembe/ubishi wetu kitu ambacho akitujengi. Mara nyingi ushahid umeletwa mahali lakin tukawa wagumu kuelewa au kujifunza kwa wenzako
 
Going back in time,tunaiangalia Andromeda katika muda uliopita sasa hivi itakuwa imesogea.ushahidi wa kugongana kwa galaxy upo, kugongana ni sehemu ya uumbaji,kama vile matetemeko,tsunami,volcano.haya matukio yanayotokea ni sehemu ya uumbaji sio laana.
Its important ukijua sio kila janga ni natural! Btw hakuna janga kama hilo wanalolisema la galaxy kuponda dunia, ila wameandaa "invasion" ili ionekane kwamba kuna viumbe kutoka "outerspace" vinavamia hivo dunia nzima iunganike na kuwa kitu kimoja kwa maana ya kwamba dini moja, sarafu moja, siku za/ya kuabudu moja, n.k
 
kama ulimwengu ni mkubwa kiasi hicho, je yesu alipokuja hapa duniani kwa lengo la kuokoa huo wokovu ni kwaajili ya dunia tuu ama ulimwengu mzima?
Mkuu Ulimwengu ni inje ya kufikiri kwetu fikiri kuna billions of galaxies na ktk galalaxy moja kuna billions za nyota (Jua) na katika kila nyota kuna makumi ya Sayari (Planet) Dunia hapa ulimwenguni ni nyingi zisizoweza kuhesabika kwa hiyo inje ya sayari lazima kuna maisha ya viumbe wengine ingawa sijui ni viumbe wa namna gani ila ni viumbe wa Mungu.
Mungu wetu ni mkuu

15 ambako yeye kwa majira yake atakudhihirisha, yeye aliyehimidiwa, Mwenye uweza peke yake, Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana;
1 Timotheo 6 :15

16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
1 Timotheo 6 :16
 
Back
Top Bottom