Laaa unauliza maswali km hayo ktk ulimwengu wa ss? Swali km hilo angetakiwa aulize babu yetu wa miaka 1800 naaa huko. Kwani unapopiga jau picha kwa camera huwa unapigaje? Namaanisha ukijipiga picha huwa unapigaje? Mf Camera ya huble huwa inasafiri na ku zoom ndipo ufanya utafiti wa kile kinacholengwa ndipo upiga picha husika.Hayo yaweza kuwa ni mambo ya kimpyuta wenye fani wanaita ni "simulation".
hereni ni utamaduni wetu mbonaAngevua kwanza hizo hereni kutoka masikioni mwake ndio angeongea hayo aliyoongea kuonyesha yanatoka kweli moyoni mwake.
hereni ni utamaduni wetu mbona