Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Andromeda na miliky-way zinatembea kwa 402,000 kilometers per hour, na li zipate kukutana ajab ni kuwa kila moja haiwez ruhusu zikutane. Hat ikitokea kukaribiana itachukua miaka 4 bill ijayo si iliyopita
 
Andromeda na miliky-way zinatembea kwa 402,000 kilometers per hour, na li zipate kukutana ajab ni kuwa kila moja haiwez ruhusu zikutane. Hat ikitokea kukaribiana itachukua miaka 4 bill ijayo si iliyopita
Ila zitakutana sio lazima sisi tuwepo.ila Andromeda tunaiona sio ya sasa tunaiona katika muda uliopita.miaka 2.5 milioni iliyopita
 
We are not alone ,sio kwa mambo haya ya kuogofya namna hii.Hivi hizi Sayari na Vyote vilivyomo kwenye Galaxy haviwezi kugongana kwa sababu yeyote ile ?

Nimejaribu ku'imagine kama ikitokea ni nini kitatukuta Viumbe dhaifu kama sie ,nimeshindwa kwa kweli.Wacha niishi muda wangu ukikata itakuwa heri kwangu.
Wasiwasi huu ndio unaowapata Wanasayansi waliobobea.
Kila siku wanawaza kuwa ikitokea hitilafu yoyote katika haya maumbo makubwa ya kwenye ulimwengu huu nani ataweza kuizuia ?
Mfano Jua likiisha nguvu yake na kupoteza Nuru yake nani atalikarabati lirudi katika hali yake ya kawaida ?
Sayari zikipoteza mwelekeo na kugongana nani atazuia maafa yanayotarajiwa ?
Nakadhalika na kadhalika mambo hayo ni ya kutisha sana.
Ndio maana unawaona Wanasansi wengi hasa Wazungu ambao ni wanatafiti sana hali ya mambo ya ulimwengu huu, wanaishia kwenda Kanisani kumwomba Mingu ili hali utulie hivyo hivyo kama ilivyo.
Isingekuwa hii hali ya utisho wa Ulimwengu, usingemwona Mwanasayansi hata mmoja Kanisani akiomba fadhila toka kwa Mungu.
Jua likiisogelea maili chache tu Dunia yetu itaungua na kuwa jivu.
Jua likisogea mbali na Dunia viumbe wote watakufa na baridi.
Jua likipoteza uasili wa Nuru yake mimea yote itakufa na haitaota mingine na kuharibu uhai wa viumbe wote.
Hivyo vimbunga vya El Nino na La Nina tu vinawazidi nguvu.

Tuzidi kumwomba Mungu hali iendelee kuwa kama ilivyo sasa.
 
Nielekeze cha kufanya ili niweze kuiona sayar itoayo mwanga asubuh au jioni. Ni sayar gani na je inakuwaje ionekane asubuh na jion tu?
Ok. Nilikusahau kulisemea nisamehe. Ile sayar uionayo asubuhi ni jupiter kule musoma/rorya tunaoita (RATEGO), pia jion ni hiyohiyo jupiter kule musoma/rorya (OLUORO-BUDHO). Ila si kwa mwaka mzima utaziona ktk zikiwa ktk muonekano sawa bali nazo zina-move kwa majira ya mwaka. Kuna wakt zinonekana vizur san na kuna wakt fulan inaonekana kwa mda mrefu haswa wakt wa jua kuzama,na kuna wakt sayar hyo huwa sambamba na jua na usiione vizur. Ila unaweza kuona venus na mars magharibi mara baada ya jua kuzama.




Pp
P
 
images.jpg

Moja ya mwezi wa Saturn ukiwa umegongwa,kwa sababu mwezi huu hauna Atmosphere ina maana makovu hayapotei yanabaki kama ushahidi wa muumba.kugonganisha ni sehemu ya uumbaji.
 
swala hili limejitokeza kwa wachangiaji wengi natarajia wanaweza kulisoma hapa

jua halizami wala haliendi chini ya dunia,linazunguka juu ya uso wa dunia, mzunguko mmoja unachukua masaa 24,ki ilivyo hasa kila kitu kipo kama tunavyokiona na tunavyokihisi, hatuhisi dunia kuzunguka hivyo ndio ilivyo haizunguki,jua lipo juu ya utosi hivyo ndio ilivyo jua haliko 93 mil miles,lipo juu ya utosi.

ngoja nitoe mfano mmoja hapa wa kuchemsha bongo,wengi wetu tunaweza tusifahamu lakini tujaribu

umbali wa jua kutoka duniani ni 93mil miles
mwangaza wa jua kufika duniani unachukua 8 mitutes, kwa hio umbali wa jua ni 8 light minute
tuchukulie kama jua lina umbali wa mara mbili zaidi 93x2=186mil mile, hapa tutaliona jua nusu ya lilivyokuwa kabla,ambapo umbali wake utakuwa 8x2=16 light minutes away
tukifanya umbali wa mara tano ya hio hesabu jua hatutaliona kabisa 93x5=465 mil miles away, sawa sawa na 8x5=40 light minutes away

swali linakuja hapa
katika nyota zote zilizo angani ambazo tunaziona,iliyo karibu sana ni 4.2 light years away

ikiwa tungeshindwa kuliona jua kwa umbali wa 40 lights minutes away, tunaziona vipi vyota zilizo na umbali wa 4.2 light years away
Mkuu hivi upepo na baridi huwa vinatokea upande gani hapa duniani na kama utaniongezea kiangazi na masika inatokeaje please
 
Kuna baadhi ya wanasayansi wana mawazo kama yako....hii mambo iko very complicated aisee
siyo kwamba vinashindikana lazima uwe na uelewa kuhusiana na "forces" mambo mengine ni ya ajabu mno hebu jaribu kuwaza kama mvua inaweza kujishikiza angani na kwa nini mawingu hayaanguki chini?
 
Mkuu hivi upepo na baridi huwa vinatokea upande gani hapa duniani na kama utaniongezea kiangazi na masika inatokeaje please
upepo hauna upande maalum ila upepo hutokea baada ya mgandamizo wa kani kutokea sehemu moja hadi nyingine
 
elimu ya science ya ulimwengu ni elimu ya kusadikika haina ukweli wowote wala haiingii akilini kama tutakuwa na uwezo wa kufikiri,binadamu hatuwezi kuishi kwenye dunia yenye shepu ya chungwa,na kama ingekuwa kweli tungekuwa tunaweza kuishi kwenye milima mikubwa kwa kuganda pembezoni mwa milima bila ya kuanguka.

dunia haiwezi kuwa duara na maji kuganda nje ya dongo la dunia na kisha iwe inaruka angani kwa speed na masafa tunayoambiwa hii haiwezekani kabisa,katika uhalisi wa maji hayawezi kupinda kufata umbo la nje la kitu chochote,maji popote yalipo ni lazima yawe level hio ndio sifa kuu ya maji,na ndio mana tunatumia lever za maji kujengea majumba ili kupata usawa wa nyumba

jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa na umbali wake kutoka ardhini ni sawa sawa kama tunavyoviona,pia kama utaangalia jua na mwezi utakuta vipo ndani ya wingu la blue havipo umbali wanaosema,pia mwezi hauna ardhi ya watu kwenda kutua,tukiwa hapa tunauona kuwa mwezi ni kitu kinapitisha mwangaza(transparent),utazame mwezi mchana utaliona wingu la buluu kwenye mwezi na usiku utaona wingu jeusi kupitia kwenye mwezi.

tumefundishwa gravity ndio inayotuzuia tusipeperushwe na speed ya dunia hiki ni kichekesho kikubwa,kwanini gravity haiwezi kuzuia mabofu na mifuko ya plastic na ni vyepesi sana, kwa ufupi hakuna gravity ni vitu vizito vinabaki ardhini na vyepesi vinakwenda angani

hatuwezi kufahamu kila kitu lakini upo uwezekano kuwa ukubwa wa dunia ndio hauna mwisho(infinity) wala sio duara na haizunguki wala kuruka,uhalisi ni kama tunavyoona kila siku dunia ipo tuli imetulia.
Sasa wewe unabishana na wakati huna uhakika na hoja zako wenzako wanaweza wakaprove wanavyo visema. Wengine wametia mguu kabisa mwezini [emoji23]
 
Huu mwezi wa Mars unaweza kupasuka na kuingukia Mars yenyewe.kugongana kupasuka ni sehemu ya uumbaji Phobos pichani umeanza kukreki na hatimae kuwa vipande viwili.
phobos-color-e1447194996995.jpg
 
Ebu wanasayansi watueezee zaidi tupate ufahamu , au mkuu ongeza nyama kwenye huu uzi.
 
Hizi Galaxy ni baadhi tu ya galaxy zinazogongana thanx to hubble telescope
View attachment 623349
Kweli hubble tescope ni zaid sana,na tukio la picha hizo za galaxies unazona ziligunduliwa na hubble telescope,mwanzon eneo hilo lilioneka halina kitu,yaan lipo wazi kabisa lakini baada ya kuchunguzwa kwa makin ndipo camera ya hubble telescope ikatuma picha hizo
 
Kweli hubble tescope ni zaid sana,na tukio la picha hizo za galaxies unazona ziligunduliwa na hubble telescope,mwanzon eneo hilo lilioneka halina kitu,yaan lipo wazi kabisa lakini baada ya kuchunguzwa kwa makin ndipo camera ya hubble telescope ikatuma picha hizo
Hawakutegemea hilo eneo la Ursa major wangeona mabilioni ya galaxy zilizoumbwa kwa ustadi na mungu.
 
Ukweli mchungu ni kwamba mwanaadamu hawezi kusafiri nje ya solar system,kuna sababu imewekwa kwamba miili yetu isivumilie intersteller voyages haiwezekani, dunia yetu mother earth ikizunguka jua mara sabini ni mwili unakuwa na miaka sabini,kusafiri mamilioni ya maili ni vigumu, na mazingira ya nje ya dunia ni hostile tumeumbwa ili tukae hapa,tuilinde sayari yetu,tusikate miti hovyo tusiharibu mazingira,hapa ndio nyumbani hakuna sehemu nyingine ya kukimbilia hata kama ipo ni mbaali sana hatuwezi kufika.
 
Back
Top Bottom