Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

images.jpg

Hizo ni baadhi tu ya nyota katika galaxy yetu kati mabilioni ya nyota
 
Average man can't prove most things he chooses to speak off.
 
Hapa duniani tumewekewa electromagetic field ambayo inatukinga na mambo kama haya kutoka katika kwenye jua na nje ya solar system,ndio tunapata aurorae borialis simply "nothern lights".
 
Tunaziona nyota nyakati za usiku zilizo mbali for 4.2 billion light years lakini tunashindwa kuona object zilizo km 20 kwenye ground level hii ni kwasababu gani
 
elimu ya science ya ulimwengu ni elimu ya kusadikika haina ukweli wowote wala haiingii akilini kama tutakuwa na uwezo wa kufikiri,binadamu hatuwezi kuishi kwenye dunia yenye shepu ya chungwa,na kama ingekuwa kweli tungekuwa tunaweza kuishi kwenye milima mikubwa kwa kuganda pembezoni mwa milima bila ya kuanguka.

dunia haiwezi kuwa duara na maji kuganda nje ya dongo la dunia na kisha iwe inaruka angani kwa speed na masafa tunayoambiwa hii haiwezekani kabisa,katika uhalisi wa maji hayawezi kupinda kufata umbo la nje la kitu chochote,maji popote yalipo ni lazima yawe level hio ndio sifa kuu ya maji,na ndio mana tunatumia lever za maji kujengea majumba ili kupata usawa wa nyumba

jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa na umbali wake kutoka ardhini ni sawa sawa kama tunavyoviona,pia kama utaangalia jua na mwezi utakuta vipo ndani ya wingu la blue havipo umbali wanaosema,pia mwezi hauna ardhi ya watu kwenda kutua,tukiwa hapa tunauona kuwa mwezi ni kitu kinapitisha mwangaza(transparent),utazame mwezi mchana utaliona wingu la buluu kwenye mwezi na usiku utaona wingu jeusi kupitia kwenye mwezi.

tumefundishwa gravity ndio inayotuzuia tusipeperushwe na speed ya dunia hiki ni kichekesho kikubwa,kwanini gravity haiwezi kuzuia mabofu na mifuko ya plastic na ni vyepesi sana, kwa ufupi hakuna gravity ni vitu vizito vinabaki ardhini na vyepesi vinakwenda angani

hatuwezi kufahamu kila kitu lakini upo uwezekano kuwa ukubwa wa dunia ndio hauna mwisho(infinity) wala sio duara na haizunguki wala kuruka,uhalisi ni kama tunavyoona kila siku dunia ipo tuli imetulia.

Kuonyesha una likes 19 inanisikitisha sana, maana umeandika upuuzi tu, wajinga wenzako wakaunga mkono, na inaonyesha ulisoma ukaishia form 2 alafu ukakimbia sayansi ukaenda masomo mepesi. Kila ulichopinga kinaelezeka, sitotaka kudiscuss hili maana ni 2017 hakuna mtu mwenye muda wa kubishana kama dunia ni duara, hilo lilijulikana miaka zaidi ya 500 iliyopita kama bado unabisha hadi leo basi ishi ufe kivyako ila ujinga wako usijaribu kuwapa watu wengine, ukiwa na watoto peleka shule wasome wakupite akili, usiwabane wawe kama wewe maana tutakua tunaongeza wajinga duniani.

Samahani kama utahisi lugha niliyotumia ni kali lakini ni ukweli. We hata ukiwekwa kwenye rocket ukarushwa kutoka nje ya dunia ujionee mwenyewe utarudi kusema labda walikupa madawa ya kulevya wakudanganye. Cha kushangaza unaamini JF ipo, hujui internet inafata principle hizi hizi tunazotumia kujua kua dunia ni duara. Nadhani tatizo ni ego tu.
 
Kila sayari katika solar system ina magnetic field,saturn aurora au nothern lights
saturn_aurora_uv.jpg
 
Tusaidiane ukubwa wa Jua ulipimwa na nini, mpaka Dunia yetu iingie Mara Million 1?
Watu mliokimbia somo la physics na geography form1-4 Sasa munaanza kuonekana. Kuelewa masuala ya Galax na vimbwanga vyake ni kozi ya miaka minne secondary school, hamtaweza kuelewa kwa mistari michache mnayoandikiwa hapa. Zenjbara, ivunya na wenzio, rudini darasani, elimu haina mwisho.
 
Back
Top Bottom