Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Bado sana kuamka kwani hao ambao tunawaona kuwa ni viongozi wetu ndo haohao wanaotuangamiza.
Kwa kuwa nimetingwa tu ila ningetoa mifano ya kweli ambao umedumu kwa mda mrefu ktk maisha yetu.

IMHOEP nikekusoma mda mrefu sana.Kwa upande wa afya wanotuangamiza sie ni wale wataalam wanaoenda ktk semina ulaya juu ya dawa fulan.

Wataalm wetu pindi waendapo ktk zile semina au kwenda kuchunguza aina fulan za dawa haidha kule WHO. wakienda wanakutana na aina fulan ya ahadi kutoka kwa wale watu wa dawa fulan kupitia WHO,hilo linaambatana aina fulan ya km mgao ili kupitisha ile dawa ili itumika ktk nchi zetu za dunia ya tatu.

Ukitaka kujua hilo ni kwamba kuna aina fulani ya dawa haitumiki ktk nchi zilioendelea bali zinatumika ktk nchi duni km huku africa au latin america au baadhi ya nchi za Asia. Zingalia tatizo si bei ya dawa ila ni km nchi ni za KUFANYIWA MAJARIBIO ktk masuala ya dawa.

Kuhusu reseach ya madawa ktt miili yetu ipo mingi sana hakuna atakayebisaha miongoni mwetu.
 
Ukitaka kujua hilo ni kwamba kuna aina fulani ya dawa haitumiki ktk nchi zilioendelea bali zinatumika ktk nchi duni km huku africa au latin america au baadhi ya nchi za Asia. Zingalia tatizo si bei ya dawa ila ni km nchi ni za KUFANYIWA MAJARIBIO ktk masuala ya dawa.
Tumefanywa "guinea pigs" wa Pharmaceuticals companies,very sad,kama wanasiasa na wanataaluma wetu wangejua bigger picture huenda wangekomaa.
 
Tumefanywa "guinea pigs" wa Pharmaceuticals companies,very sad,kama wanasiasa na wanataaluma wetu wangejua bigger picture huenda wangekomaa.

Haya mambo wanayajua sema njia ya kujinasua ndo ngumu . Africa tulikuwa na maisha yetu ya kiafrica tatizo likaja pale ambapo tulianza kumfuata mzungu, tukaacha ya kwetu tukafuata ya kwao sasa imefika kipindi mzungu katuacha sana na hatuwezi kumfikia na at the same tushafika mbali kiasi kwamba kurudi nyuma pia ni ngumu. Basi tumebaki kwenye dillema sasa maisha ya muafrica hayaeleweki.
 
Haya mambo wanayajua sema njia ya kujinasua ndo ngumu . Africa tulikuwa na maisha yetu ya kiafrica tatizo likaja pale ambapo tulianza kumfuata mzungu
Mimi sio muumini wa ubaguzi,kuna wazungu wenye ubinaadamu wapo wengi tu,ila kuna waotaka kuplay god hao ndio tatizo,na wanatulenga sisi waafrika kwanza katika mipango yao ya kupunguza watu duniani. why africans?mbona nchi za Asia hazilengwi sana ,ni wakati wa kujitambua.
 
Survival for the fittest, binafsi huwa sioni kwamba ni ubaguzi badala yake naona wazungu wanajipenda na wanajijari ndo maana wanakumbatia culture zao, wanapigania mataifa yao na wanaiba kwetu wanapeleka kwao(huo ni upendo baina yao), kitu ambacho sisi hatuna.

Bilogically mwanadamu kaumbwa kumpenda ndugu yake(katika hali ya kawaida) sasa sisi kama hatupendani kiasi kwamba tunauza nchi zetu kwao hilo ni tatizo letu siyo lao, wao wana fight for their lives.

Nchi za asia wanazilenga sana pia ingawa siyo kama huku kwetu, mfano magonjwa mengi yako Africa na asia kuanzia AIDS na Malaria ambayo nafikiri ndo inaua kuliko ugonjwa wowote duniani.
 
Hawawezi jua hilo,hapa tuandikapo kuwa musuada upo una hang kwa kisubir timing tu ipo siku itapitishwa tu. Ni nani miongon mwetu aliwahi kusikia kitu MAPUTO PROTOCAL ABORTION?

Utalia ukisoma ulaghahi uliopo pale ni wakiangamizi sana ni kuangamiza kizazi chetu kijacho.

Ajenda hii ipo tu hata hapa kwetu mwanzo uliletwa tukaupinga wakt ukiandaliwa kupelekwa bungeni.

Kosa la agenda km hizi ni nchi fulani kuzipokea na kuzileta mezani,yaan ile kupokea tu ni tayari ile roho ya uharibifu ni lazima siku moja itende kazi hata km ni miaka mingapi.
 
KEY POINTS

The Maputo Protocol is being marketed as a method to combat female genital mutilation (FGM), but out of 23 pages, it mentions FGM in only one sentence.

Large sections of the Protocol are devoted to the central desires of its drafters: Wholesale radical feminist transformation of African society and the destruction of traditional cultures.The traditional family of breadwinning father and homemaking mother is to be replaced with a genderless utopia.

Essential to the implementation of this new society is the elimination of all differences between men and women, insofar as that is possible.Abortion-on-demand is necessary to achieve this goal, and the Maputo Protocol aims to impose abortion-on-demand on the entire continent.

The Protocol calls for abortion for rape, incest, and to save the life of the mother, and wants abortion allowed for the physical or mental health of the mother.The mental health exception is interpreted in the United States and other Western countries as allowing abortion-on-demand de facto because an abortionist can always claim a woman would have suffered distress if he had not performed the abortion.

Catholic leaders including the Pope, African cardinals, and African bishops have denounced the pro-abortion provisions of the Maputo Protocol.

The Maputo Protocol is a part of the decades-long campaign by Western elites to reduce the number of black Africans.Yet United Nations figures show that Africa is not overpopulated and cannot be for decades to come, if ever.
 
DANGERS

Of course, all decent, educated people oppose FGM and want to see its eradication. This laudable goal of the Maputo Protocol is being used to distract attention from the other, more central goals of the treaty. Notice that the Protocol offers no new ideas on how to combat FGM, or any reason why national governments should not do it themselves without the African Union.

Death for the Unborn: The Maputo Protocol Demands Total Abortion Legalization. Article 14, “Health and Reproductive Rights,” calls for the legalization of what would be in effect abortion-on-demand in Africa. As typically interpreted by international jurists and Western courts, the language of the Maputo Protocol would legalize any abortion for any woman at any point in pregnancy, even in the ninth month. All effective restrictions on abortion would be abolished by the Protocol. It also demands the governments promote other policies that Catholics and others believe to be immoral. Here is Article 14 in its entirety:

States Parties shall ensure that the right to health of women, including sexual and reproductive health is respected and promoted. This includes:
a) the right to control their fertility;
b) the right to decide whether to have children, the number of children and the spacing of children;
c) the right to choose any method of contraception;
d) the right to self-protection and to be protected against sexually transmitted infections, including HIV/AIDS;
e) the right to be informed on one’s health status and on the health status of one’s partner, particularly if affected with sexually transmitted infections, including HIV/AIDS, in accordance with internationally recognised standards and best practices;
f) the right to have family planning education.

States Parties shall take all appropriate measures to:
a) provide adequate, affordable and accessible health services, including information, education and communication programmes to women especially those in rural areas;
b) establish and strengthen existing pre-natal, delivery and post-natal health and nutritional services for women during pregnancy and while they are breast-feeding;
c) protect the reproductive rights of women by authorising medical abortion in cases of sexual assault, rape, incest, and where the continued pregnancy endangers the mental and physical health of the mother or the life of the mother or the foetus.

The Maputo Protocol, formulated with help from the International Planned Parenthood Federation, explicitly calls for all methods of contraception, including abortifacient ones such as the Pill, to be provided by governments. It not only calls for allowing the killing of unborn children conceived through rape and incest, but for the mental health of the mother. In the United States and elsewhere, this loophole has been used to justify any abortion at any time because an abortionist can claim that a woman would have been depressed or anxious if he had refused her an abortion. Make no mistake: The Maputo Protocol means abortion on demand for an entire continent. This is the first time an entire continent will have enshrined a right to abortion
 
elimu ya science ya ulimwengu ni elimu ya kusadikika haina ukweli wowote wala haiingii akilini kama tutakuwa na uwezo wa kufikiri,binadamu hatuwezi kuishi kwenye dunia yenye shepu ya chungwa,na kama ingekuwa kweli tungekuwa tunaweza kuishi kwenye milima mikubwa kwa kuganda pembezoni mwa milima bila ya kuanguka.

dunia haiwezi kuwa duara na maji kuganda nje ya dongo la dunia na kisha iwe inaruka angani kwa speed na masafa tunayoambiwa hii haiwezekani kabisa,katika uhalisi wa maji hayawezi kupinda kufata umbo la nje la kitu chochote,maji popote yalipo ni lazima yawe level hio ndio sifa kuu ya maji,na ndio mana tunatumia lever za maji kujengea majumba ili kupata usawa wa nyumba

jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa na umbali wake kutoka ardhini ni sawa sawa kama tunavyoviona,pia kama utaangalia jua na mwezi utakuta vipo ndani ya wingu la blue havipo umbali wanaosema,pia mwezi hauna ardhi ya watu kwenda kutua,tukiwa hapa tunauona kuwa mwezi ni kitu kinapitisha mwangaza(transparent),utazame mwezi mchana utaliona wingu la buluu kwenye mwezi na usiku utaona wingu jeusi kupitia kwenye mwezi.

tumefundishwa gravity ndio inayotuzuia tusipeperushwe na speed ya dunia hiki ni kichekesho kikubwa,kwanini gravity haiwezi kuzuia mabofu na mifuko ya plastic na ni vyepesi sana, kwa ufupi hakuna gravity ni vitu vizito vinabaki ardhini na vyepesi vinakwenda angani

hatuwezi kufahamu kila kitu lakini upo uwezekano kuwa ukubwa wa dunia ndio hauna mwisho(infinity) wala sio duara na haizunguki wala kuruka,uhalisi ni kama tunavyoona kila siku dunia ipo tuli imetulia.
The fifty likes on this post makes me sick, really sick! It hurts to know the extent of our societies dumbassery!
Eti hata jua liko umbali sawa na mwezi kutoka duniani?!!................argh, naomba nikutukane mkuu! (Naona kinyaa hata kukuita mkuu)
 
Kama si fiction hii elimu ya anga basi itakuwa ni elimu ambayo binadamu tumefundishwa na viumbe either vya kiroho ama viumbe toka galaxy zingine. Na si kwa maendeleo yetu ya teknolojia tiliyoifikia mpaka sasa.
What makes you think so?
 
The fifty likes on this post makes me sick, really sick! It hurts to know the extent of our societies dumbassery!
Eti hata jua liko umbali sawa na mwezi kutoka duniani?!!................argh, naomba nikutukane mkuu! (Naona kinyaa hata kukuita mkuu)

haina haja ya kutukana mkuu,unaweza ukaeleweka bila ya kupandisha jazba,hata mimi nlikuwa kama wewe nlikuwa naamini kila kitu kwa sababu ndivyo tulivyofundishwa,lakini saivi nimekuwa mtu mzima napata kutumia akili zangu na kujiuliza maswali mengi sana.

nilikua najua kuwa science ni chombo chenye kudili mambo ya ukweli na sio imani kama zilivyo dini, lakini kila nikiitazama elimu ya ulimwengu nashindwa kuuona ukweli,ni imani tupu,kila kitu kinasadikiwa na kukisiwa kisha vinafundishwa kama ni ukweli.

-natafuta proof ya mzunguko wa dunia hakuna
-proof ya umbali wa jua hakuna
-picha za dunia hakuna iliyo ya ukweli
-proof ya gravity hakuna mpaka sasa ni theory(inasadikika) na hii gravity ndio kiini cha kuwa sisi tunaishi nje ya chungwa na hakuna proof ya gravity
-proof ya satelites angani hakuna sisi tunaona picha tu
-ndege zinazoruka angani hatujawahipo kuziona ndege zinazunguka chungwa zikiruka, ndege zote zinaruka na cruising speed ya usawa
-maji hatujawahipo kuona mifano na tests zilowahi kufanywa maji kuganda nje ya dongo la dunia
-tumeoneshwa picha za core,mantle na crust za dunia,hatujui wamejuaje manake hakuna mtu aliewahi kuchimba akaona ni imani tu.
-natazama upindo wa dunia uluifanya ionekana kama chungwa hakuna popote wala hakuna mtu aliewahi kuona,na sote ndio tunaishi hapa duniani iweje tusione upindo.
-hakuna mtu yeyote aliyewahi kuhisi motion ya dunia,eti kisha tunaambiwa hatuhisi kwa sababu ni contant mbona earth quake ikitikea kila mtu anaihisi,kama sisi hatuwezi kudetect motion tusingeweza kudetect earth quake pia.

mambo ni mengi sana na kama utafatilia kila kitu ni imani tu hamna proof ya jambo lolote,kwa hio usitukane fungua akili kidogo tu na jiulize wewe ni nani,wapi unaishi? usitukane mkuu
 
You surely need primary physics lessons!
-Kwako wewe usiku na mchana ni matokeo ya nini?
-Kama hakuna proof ya umbali wa jua (nahisi wewe ni mzembe wa kusoma na kufuatilia science) umejuaje kama umbali wa jua kutoka dunia na mwezi kutoka dunia ni sawa?
-Unamaanisha nini kusema kwamba picha za dunia hakuna iliyo kweli? Unaelewa kwamba kuna watu wanaishi kwwenye internationa space station na kuna live streaming ambazo hata wewe unaweza kufungua sasa hivi na kushuhudia picha ya dunia yako?
-Katika zama hizi ambazo gravitational waves zinakuwa observed ndani ya maabara wewe unayebishia hata uwepo wa gravity unaweza ukatuambia kwa nini ukirusha jiwe juu linarudi chini?
-Unamaanisha nini kwamba hakuna proof ya sattelites? Proof gani unayoitaka wewe?
-Ulishawahi kusafiri kwa meli bahari kuu?

It look like uko against Science in general, una namna mbadala ya kuusoma ulimwengu? Tufahamishe tafadhali
 
Tumefanywa "guinea pigs" wa Pharmaceuticals companies,very sad,kama wanasiasa na wanataaluma wetu wangejua bigger picture huenda wangekomaa.
Wanasiasa wa kiafrika ni walevi wa madaraka kushibisha matumbo yaoo ni ngumu kuelewa nini kinaendelea
 
Haya mambo wanayajua sema njia ya kujinasua ndo ngumu . Africa tulikuwa na maisha yetu ya kiafrica tatizo likaja pale ambapo tulianza kumfuata mzungu, tukaacha ya kwetu tukafuata ya kwao sasa imefika kipindi mzungu katuacha sana na hatuwezi kumfikia na at the same tushafika mbali kiasi kwamba kurudi nyuma pia ni ngumu. Basi tumebaki kwenye dillema sasa maisha ya muafrica hayaeleweki.
Ni wakati muafaka sisi tunao lifahamu tatizo kuanzisha kampeni na mikakati kusaidia serikali yetu kuujua ukweli kabla hatuja chelewa
 
Back
Top Bottom