sayari uhalisi wake hasa zilivyo siujui ila ukizitazama kwa telescope sayari ni lights zilizo angani kama ilivyo mwezi,jua na nyota ila zinapishana umbali,sizes na nguvu ya mwangaza, na hazipo kama ilivyo dunia kuwa na ardhi ni kama lights tu, na nikisema kupisha umbali sio mamilioni ya kilommeters inawezekana zipo kama umbali wa km 2000-5000 tu,au pengine chini ya hapo, binadamu macho yetu hayana uwezo wa kuona umbali wa hata km 100,000,na nyota iliyo karibu ni kwa maelezo ya science ni 4.2 light years ni kama 40 trillion km, sisi tuna uwezo gani wa kuziona nyota zilizo na masafa hayo kwa macho yetu? tena hizo ndio za karibu,nyota nyengine ziko mbali zaidi na tunaziona kwa macho yetu kila usiku.
na wana-science wetu ni kama sisi sote tunasoma vitabuni tu na huo usmati wetu ni wa vitabu tu,hata kwenye huu uzi wapo wana-science wa vitabuni hahaha, wasome humu utawaona wanavyoshusha nondo za copy and paste huku macho na akili wamezifunga, kwa mfumo wetu wa kielimu dunia nzima hatuwezi kutathmini chochote ikiwa usmati wetu ni ku-copy and paste tu,hata kama tunadanganywa hatuwezi kujua,kila kitu kishawekwa kipo kwenye vitabu,na ukitaka uonekane smart lazima uwe umevihifadhi vitabu kwa moyo,
haya mambo kama yana ukweli wanafunzi wote wangekuwa wanafanya practical ku-test na kujionea wenyewe mashuleni,wangekwenda field kupima mpindo wa dunia katika maeneo ya mito na bahari ambayo ndio yatakuwa level, fomula za kupima mpindo wa dunia zipo(Pythagoras a/2 = 3963/2 + 1/2 = 15705370) kwa lugha nyepesi ni kila mile square kuna mpindo wa kima cha 8 inches, lakini tunasomeshwa vitabuni tu tena mpaka ufikie elimu ya juu sana na kwa specific courses na sio kila mwanafunzi wa science, ndio mana husikii kabisa wanafunzi kuzitaja hizi fomula au wanafanya practical hizi,
pia wanafunzi wangetakiwa kutengeneza mazingira yaliyo na vaccum kama space ili kutest na kuonesha dongo kuelea hewani na maji kuganda nje ya dongo kama dunia ilivyo,tests aina hii hazijawahipo kufanywa popote duniani,kinachofanya ni kucopy and paste maandiko tu bas,kisha mwanafunzi akiwa na uwezo wa kuhifadhi vitabu akilini anagraduate na kupewa shahada na anaitwa scientist.