Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

Habarini,

Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza.

Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado, akaniambia nimkopeshe elf 10 atanirudishia, nikaona huyu nae wale wale, nikamwambia hiyo hela siwezi kumpa, akasema ok, hatukumaliza hata masaa 24 tangu nimechukua namba ya huyo binti.

Baada ya hapo hamna aliemtafta mwenzake.. mahusiano yakawa yameisha, nafikiri yanastahili kuingia Guinness world record kama one of the world's shortest relationships.

Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu 🤔 na sio hapana🤔

Dunia imeharibika.
Mnaokotaga wapi WA hivyo
 
Mapenzi ni mchezo wa kuviziana, yeye kakuwahi, shida ikwapi hapo?

Angechelewa kidogo, ungemuwahi mkadinyane.
 
Habarini,

Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza.

Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado, akaniambia nimkopeshe elf 10 atanirudishia, nikaona huyu nae wale wale, nikamwambia hiyo hela siwezi kumpa, akasema ok, hatukumaliza hata masaa 24 tangu nimechukua namba ya huyo binti.

Baada ya hapo hamna aliemtafta mwenzake.. mahusiano yakawa yameisha, nafikiri yanastahili kuingia Guinness world record kama one of the world's shortest relationships.

Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu 🤔 na sio hapana🤔

Dunia imeharibika.
Umkopeshe bila kumfira???, unamfira kwanza ndo unamkopesha au unamdolishia kabisa pesa hii hapa twende nikakupapase Tako Hilo nikakufutue rinda.
 
Km hutaki kumpa mwanamke hela baki na upwiru wakoo.
Hakuna cha buree hapa, hata hizo sabuni na Vaseline, hampati bure, mnanunua kwa mangi au pharmacy.

Wee jipige la mkono, afu utulie kulinda hela zako.
😂😂😂😂😂😂😂
Sasa si angeweka tu wazi kuwa anauza uchi au nyuchi zake? 🤣🤣🤣
 
Astakhafirullah
Ndo nini, kama jitu Lina tamaa ya pesa acha lifirwe, limetaka lenyewe

Majianamke ya Sasa hivi yanaongoza Kwa kufirwa sababu ya tamaa za pesa

Wameamua wafirwe Kwa maamuzi Yao wenyewe acha wafirwe tuu
 
Hapa ndipo ninaposusaga ngono nasubiri mpenzi jini aje kwenye ndoto nyevu nimpige PUMBU.

NGONO imekuwa kama ni jambo la lazima sana kwa mwanume.. mimi nilipie ngono, nilipie guest, hela ya kula n.k... na bado kwenye utamu wao wanainjoi zaidi, mie nakojoa 2 yeye anazo 6 huko.

Kwenye ngono wanawake wanafaidi kuliko sisi vidume..
Enzi zangu nikikugonga, sina shida nawe, naacha kazi ionge, utanitafutaga ukinihitaji..
Kwamba Maka ulikua marioo wa bei ya jioniiiii?? 😂😂😂😂

Si ndivyo mnavyoaminishana kuwa mwanaume ni lazima afanye ngono, yaani akose vyote ila sio ngono.

Basi ndo hapo wanabakii kuhaha km mleta mada. Lol
😂😂😂😂😂
 
Ulichukua namba ili iweje!?... ni dada yako huyo!?

Kuombwa elf 10 tu unakuja kutangaza humu!... vipi ungeambiwa usaidie bili tu ya hospital anaumwa!?

Alikuwa anakuchekecha, na wewe ukajaa kwenye mfumo!

Ningekuwa ni mimi namtumia 25 na sitaki irudishwe!...

Iko siku anaileta mwenyewe! bila ya wewe kuiomba!.

Grow up young boy!.
Wee ndo mwanaume sasa, 😂😂😂😂😂
 
Wa Bure wapo wengi tu mbona yule mke wa afande wa hapo mitaa ya Nala
Huwa namkula bure na ananipa na hela
Umeshajua ni mke wa mjeda, means ana ulinzi wa uchumi tayari, hapo kwako anafuata mgegedo heavy tyuuu.

Ni tofauti na huyu mleta mada. Lol
 
Alipokuomba umkopeshe elfu 10 ukaona "Huyu nae wale wale"

Swali langu kwako,
Ulimaanisha nini kusema Huyu nae wale wale? Hao wale wale ndio kina nani? Au ndio hua unakutana na wanawake wa hivyo siku zote?

Pengine hata yeye alikudharau kwa kutomkopesha hata elfu 10 tu,

Mkuu starehe gharama,wewe ulitaka akuombe baada ya muda gani ndio uone sawa? Hela ndogo sana hiyo,

Nakushauri achana na wanawake,tafuta hela kwanza.
Kwa kweli. 😂😂😂😂😂😂
 
Wewe ukipata "upwiru" utatoa hela au utabaki nao?
Mie nikipata upwiru nitatafuta alternative ya kuondoa hali hiyo, na kuna namna nyingi, sio Ngono pekee.
If kutakua na ulazima wa ngono, bas nitafanya vyovyote ngono ifanyike.

Ko km ita takiwa kutoa hela, basi nitatoa ili adhma yangu itimie.

Sio kujiliza hapa km hivi, starehe gharama na hakuna cha bure.
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom