Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

Mkuu unataka kuoa unaombwa 10 unalula chocho, utaweza kujitoa ukweni kweli mkuu
Hahaha umenichekesha sana🤣🤣 si bora mimi nimekimbia kizinga cha elf 10, umenikumbusha kuna page moja ya maswala ya ndoa kule fb, kwenye comments wadada wengi walikua wanalalamika wanasema wanaume wengi wakiombwa vocha tu wanakimbia 🤣🤣🤣mbavu zangu🤣🤣🤣 Mussa Nzugilwa VERBOSE Sakasaka Mao Vincenzo Jr
 
Mimi wakiniambiaga hivyo namwambia basi mimi nakupa 50 kabisa njoo unipe jokeri.
 
Wa Bure wapo wengi tu mbona yule mke wa afande wa hapo mitaa ya Nala
Huwa namkula bure na ananipa na hela
Umeona sasa kumbe humkuli buree unampa hela za ice cream, ubuyu na ulwaju huko shule.

Em waambie hawa wenzio, hakuna cha buree.
 
Comment za wadau hapo juu ni Kama wanamlaumuniwa kugoma kutoa hiyo elfu 10 lakini hamuoni tatizo alilonalo huyo mwanadada .. hiyo ni red flag ambayo inapuuzwa sana na wengi wetu.. haiwezekani mwanamke umwombe namba tu muanze kuwasiliana halafu Ghafla ndani ya masaa 24 akuombe Hela? Hujiulizi kabla ya kukuomba namba ni vizinga vingapi amevipiga kwa wanaume?...
Huyo mwanamke ni Whore . Full stop.
 
Ndani ya masaa 24 tu mkuu, kajuaje kua mimi sio muoaji, hata hatujafahamiana vizuri😂😂, aah we lamomy..

Kiukweli sio kwamba mimi ni mchoyo au sikua na hela, ila tu kuna namna unaona hapa mbona kama napigwa..ni kama zile meseji za ile hela tuma kwenye namba hii, mtu unaona hapa napigwa 😂🙌🏾 Lamomy
Wewe hapa JF tunakufahamu michezo yako. Ila huyo bidada kiboko kakujua kwa muda mchache lengo lako..!!

Kinachokuuma hapo kakuwahi 😹😹😹
Wewe ulitaka kumla mwenzio kimasihara kakushtukia. Mmekutana wote matapeli 🤣😹
 
Unanilaumu kwa hiyo michezo yangu 😁ni kwavile tu nimeamua kuweka wazi dark fantasy zangu humu jf, ndo maana unaniona mtu wa ajabu na hovyo, ila watu wengi tu wana hamu za hovyo na mawazo ya hovyo sema wanaamua kukaa kimya na kujivika vazi la heshima mbele ya jamii, ila kiuhalisia mawazo yao yameoza Lamomy
 
Inauma sana kukutana na mjanja mwenzio 😹😹😹
 
Alipokuomba umkopeshe elfu 10 ukaona "Huyu nae wale wale"

Swali langu kwako,
Ulimaanisha nini kusema Huyu nae wale wale? Hao wale wale ndio kina nani? Au ndio hua unakutana na wanawake wa hivyo siku zote?

Pengine hata yeye alikudharau kwa kutomkopesha hata elfu 10 tu,

Mkuu starehe gharama,wewe ulitaka akuombe baada ya muda gani ndio uone sawa? Hela ndogo sana hiyo,

Nakushauri achana na wanawake,tafuta hela kwanza.
 
Mkuu unataka kuoa unaombwa 10 unalula chocho, utaweza kujitoa ukweni kweli mkuu
Wewe siku ya kwanza tu unaombwa 100k unatoa??

Ukija kuzeeka masikini utamlaumu mtu kweli?

Msione sifa kutoa pesa hovyo kwa wanawake, that's not investing, ni ufujaji wa pesa.
 
Back
Top Bottom