Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

Bora hata mimi Sina mpango wa kuoa najipigiaga nyeto tu na mara moja moja natafunaga Binti wa mwenye nyumba kisiri Siri
Ni mwanafunzi hivyo huwa simpi hela kubwa zaidi ya buku mbili mbili za kula ice cream shuleni
Umeona sasa kumbe humkuli buree unampa hela za ice cream, ubuyu na ulwaju huko shule.

Em waambie hawa wenzio, hakuna cha buree.
 
Sijaona tatizo,kaomba mkopo!kama ungekua nayo ungempa coz hats msela angeweza!!

Swala la ndoa ni Mungu anapanga kuzeeka pamoja ama kuishia njiani coz sio kila mwanamke kaumbwa kuzeeka na mwanamme Kuna wengine walimhitaji mwanamme Kwa ajili ya kutatuliwa changamoto Fulani kama makazi,watoto na uchumi wa kudumu na baada ya hapo akaona uhusiano uishie hapo coz hauna jipya tena!!

Hii sisi mme lazima tujue SI kila unaemuoa lazima uzeeke na yeye,wengine walikuhitaji umtatuoie changamoto Fulani zikiisha aendelee na maisha take ya uhuru binafsi!!
Ndio maana wanawake wengi hawakuitaka ndoa Tena baada ya mambo kukaa sawa,kina mama wengi wanamiliki mijengo waliyojenga na waume zao ambao hawapo Tena machoni pao!!

Tuelewe!!
 
Kibongo bongo tunavyoishi kimfumo dume, ukimtongoza mwanamke lazima akutwishe matatizo yake. Wanafundishwa kwamba mwanaume ni kiongozi.

Nisingekuwa masikini hivyo vielfu kumi kumi ningekuwa navigawa tu kulingana na dharura. Wala haviumizi.
 
Buku 10 10 zikifika 1000 ushatembeza million na haujachachua hayo ni matumizi mabaya ya pesa
 
Habarini,

Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza.

Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado, akaniambia nimkopeshe elf 10 atanirudishia, nikaona huyu nae wale wale, nikamwambia hiyo hela siwezi kumpa, akasema ok, hatukumaliza hata masaa 24 tangu nimechukua namba ya huyo binti.

Baada ya hapo hamna aliemtafta mwenzake.. mahusiano yakawa yameisha, nafikiri yanastahili kuingia Guinness world record kama one of the world's shortest relationships.

Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu 🤔 na sio hapana🤔

Dunia imeharibika.
Wenyewe wanasemaga kuwa na uhusiano na mwanaume hakupiki pesa basi hakuna faida yoyote kwao bora msijuane tena kuliko awe na wewe hata kama rafiki hafu humsaidii pesa anaona uhusiano wenu hauna maana yoyote ndo maana wanaukataa. Wengi Wanakuja kwa gia ya kukopa pesa sasa jichanganye kumkopesha, harudishi Ng'o na unaweza kulipwa kwa kupewa kipochi manyoya ili deni liishe na umpe zaidi pesa yeye maana uhusiano utaanzia hapo na kinachofata ni mizinga kwa gia ya kumuhudumia mpenzi wako.😁😁😁😁Umeuikimbia mtego
 
Habarini,

Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza.

Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado, akaniambia nimkopeshe elf 10 atanirudishia, nikaona huyu nae wale wale, nikamwambia hiyo hela siwezi kumpa, akasema ok, hatukumaliza hata masaa 24 tangu nimechukua namba ya huyo binti.

Baada ya hapo hamna aliemtafta mwenzake.. mahusiano yakawa yameisha, nafikiri yanastahili kuingia Guinness world record kama one of the world's shortest relationships.

Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu 🤔 na sio hapana🤔

Dunia imeharibika.
Ulichukua namba ili iweje!?... ni dada yako huyo!?

Kuombwa elf 10 tu unakuja kutangaza humu!... vipi ungeambiwa usaidie bili tu ya hospital anaumwa!?

Alikuwa anakuchekecha, na wewe ukajaa kwenye mfumo!

Ningekuwa ni mimi namtumia 25 na sitaki irudishwe!...

Iko siku anaileta mwenyewe! bila ya wewe kuiomba!.

Grow up young boy!.
 
Yeye alishajua lengo lako ndiomana akakuwahi, hakuna muoaji akaona bora mmalizane mapema bila kuanza mikopo isiyo na marejesho 😹😹😹

Sema nini B mtumie msg mwambie Lamomy anasema kikao kijao wanakupa uenyekiti bila kupingwa…!!
 
Ndani ya masaa 24 tu mkuu, kajuaje kua mimi sio muoaji, hata hatujafahamiana vizuri😂😂, aah we lamomy..

Kiukweli sio kwamba mimi ni mchoyo au sikua na hela, ila tu kuna namna unaona hapa mbona kama napigwa..ni kama zile meseji za ile hela tuma kwenye namba hii, mtu unaona hapa napigwa 😂🙌🏾 Lamomy
 
Habarini,

Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza.

Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado, akaniambia nimkopeshe elf 10 atanirudishia, nikaona huyu nae wale wale, nikamwambia hiyo hela siwezi kumpa, akasema ok, hatukumaliza hata masaa 24 tangu nimechukua namba ya huyo binti.

Baada ya hapo hamna aliemtafta mwenzake.. mahusiano yakawa yameisha, nafikiri yanastahili kuingia Guinness world record kama one of the world's shortest relationships.

Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu 🤔 na sio hapana🤔

Dunia imeharibika.
Kama una lengo la kheri kupata mke toka moyoni mwako na ukakumbana na mitihani hiyo mapema, elewa kuwa Mungu yupo upande wako.

Huyo binti ulimtamani kutokana na sura na umbile lake lakini kichwani hana maadili hafai.

Dhamiria yako ni kutafuta mke, basi hakikisha unapopata msichana mkaongea naye vizuri na mtakapokubaliana kuingia naye kwenye uchumba, basi mfuatilie vizuri kuona kama ana tabia za kufaa na maadili mema.

Mwanamke mwenye sura nzuri anafaa sana kitandani, lakini mwanamke mwenye akili na haiba njema anafaa sana kuishi naye na kutengeneza maisha, chukua angalizo hilo.
 
Mkuu unataka kuoa unaombwa 10 unalula chocho, utaweza kujitoa ukweni kweli mkuu
 
Back
Top Bottom