Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

Usibezwe mkuu. Wanawake wengi hapo Dar ndio wanavyoishi hivyo. Yaani wanaume wote (simps) walioomba namba amewatengenezea group la SMS au WhatsApp. Anaandaa SMS moja tu kuomba kiasi kidogo 5000 au 10k kisha ana forward kwa wote.

Let's say mpo 50. Kwako inaweza kuwa hela ndogo ila fikiri wanaotuma 25k, 20k wengine hadi 50k kum-impress mwanamke ambaye hana bikra hata moja. Yeye anaingiza 1M.
 
Habarini,

Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza.

Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado, akaniambia nimkopeshe elf 10 atanirudishia, nikaona huyu nae wale wale, nikamwambia hiyo hela siwezi kumpa, akasema ok, hatukumaliza hata masaa 24 tangu nimechukua namba ya huyo binti.

Baada ya hapo hamna aliemtafta mwenzake.. mahusiano yakawa yameisha, nafikiri yanastahili kuingia Guinness world record kama one of the world's shortest relationships.

Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu 🤔 na sio hapana🤔

Dunia imeharibika.
si bora wewe kuna demu kitaa nilimwongezea tsh 10,000 ya kodi nikapotezea,nikashangaa ananiambia nikamchue aje ghetto nikamwambia sawa baadae namcheck kapotea hewani siku nyingine nimemuita akaniambia nimnunulie umeme kwao umeisha na hana hela nikanunua na hajaja ,siku nyingine kaleta pigo izo izo za kununuliwa umeme ndo aje nikaona demu chenga nikampotezea ,nikaja kugundua ndo pigo zake kwa wanaume ana script yake iyo iyo,nikajisemea moyoni ndo maana uwa wanajeruhiwa tunawatetea kumbe issue uwa nikuchanganya wanaume na kula hela za wanaume.
 
Wewe siku ya kwanza tu unaombwa 100k unatoa??

Ukija kuzeeka masikini utamlaumu mtu kweli?

Msione sifa kutoa pesa hovyo kwa wanawake, that's not investing, ni ufujaji wa pesa.
Alionwa 10k mkuu, tena binti alivyo mstaarabu aliomba akopeshwe
 
Wewe siku ya kwanza tu unaombwa 100k unatoa??

Ukija kuzeeka masikini utamlaumu mtu kweli?

Msione sifa kutoa pesa hovyo kwa wanawake, that's not investing, ni ufujaji wa pesa.
watu wengi hatujielewi tu ila demu kuomba na kumpa kizembe uwa mademu wanatudharau sana na kutuona maboya tusio na akili,na unaweza kuta anaenda kupewa boy mwenzako na pia ni matumizi mabaya ya pesa
 
Usibezwe mkuu. Wanawake wengi hapo Dar ndio wanavyoishi hivyo. Yaani wanaume wote (simps) walioomba namba amewatengenezea group la SMS au WhatsApp. Anaandaa SMS moja tu kuomba kiasi kidogo 5000 au 10k kisha ana forward kwa wote.

Let's say mpo 50. Kwako inaweza kuwa hela ndogo ila fikiri wanaotuma 25k, 20k wengine hadi 50k kum-impress mwanamke ambaye haba bikra hata moja. Yeye anaingiza 1M.
bulk sms au sio? upo sahihi wana script zao kabisa ilinikuta iyo
 
Km hutaki kumpa mwanamke hela baki na upwiru wakoo.
Hakuna cha buree hapa, hata hizo sabuni na Vaseline, hampati bure, mnanunua kwa mangi au pharmacy.

Wee jipige la mkono, afu utulie kulinda hela zako.
😂😂😂😂😂😂😂

Wewe ukipata "upwiru" utatoa hela au utabaki nao?
 
watu wengi hatujielewi tu ila demu kuomba na kumpa kizembe uwa mademu wanatudharau sana na kutuona maboya tusio na akili,na unaweza kuta anaenda kupewa boy mwenzako na pia ni matumizi mabaya ya pesa
Tuzidi kuwafundisha hawa vijana, wanadhani kutoa pesa kizembe ni sifa. After all, sio kwa hawawanawake wa kizazi hiki, mnapangwa hata kumi na msijuane.
 
Usibezwe mkuu. Wanawake wengi hapo Dar ndio wanavyoishi hivyo. Yaani wanaume wote (simps) walioomba namba amewatengenezea group la SMS au WhatsApp. Anaandaa SMS moja tu kuomba kiasi kidogo 5000 au 10k kisha ana forward kwa wote.

Let's say mpo 50. Kwako inaweza kuwa hela ndogo ila fikiri wanaotuma 25k, 20k wengine hadi 50k kum-impress mwanamke ambaye haba bikra hata moja. Yeye anaingiza 1M.
Duh kwa juu inaweza onekana ni ujanja, ila kiuhalisia sio vizuri, sababu wanaume wengine wanamtumia hela mdada kwa upendo, sio sababu ya show off, au kwamba wanayo ya ziada sana, kumbe mtu kwake ni mradi aliojiwekea, anawatumia tu hao wanaume.

Nafikiri kwenye ulimwengu wa kiroho kwa hiyo tabia, huyo mdada anahesabiwa dhambi ambayo asipoitubu, inatakiwa ilipiwe aidha kwenye ulimwengu huu, au ulimwengu ujao Elvis Legacy
 
si bora wewe kuna demu kitaa nilimwongezea tsh 10,000 ya kodi nikapotezea,nikashangaa ananiambia nikamchue aje ghetto nikamwambia sawa baadae namcheck kapotea hewani siku nyingine nimemuita akaniambia nimnunulie umeme kwao umeisha na hana hela nikanunua na hajaja ,siku nyingine kaleta pigo izo izo za kununuliwa umeme ndo aje nikaona demu chenga nikampotezea ,nikaja kugundua ndo pigo zake kwa wanaume ana script yake iyo iyo,nikajisemea moyoni ndo maana uwa wanajeruhiwa tunawatetea kumbe issue uwa nikuchanganya wanaume na kula hela za wanaume.
🤣🤣🤣
 
Mkuu unataka kuoa unaombwa 10 unalula chocho, utaweza kujitoa ukweni kweli mkuu
Sasa mtu ana lengo la kuoa, mwanamke aliyemlenga kumbe ni kicheche, yanini aingie gharama zisizokuwa na faida?

Halafu uelewe wanawake wengine kama hamtaki mwanaume, hutumia mbinu za vizinga ili kumkatisha tamaa mwanaume, siyo kwamba ukimpatia ataridhika na atatulia, hapana.

Wife material hata vocha haombi, shida zake na dhiki zake ataziexpose mkiwa katika mhusiano rasmi.

Siyo unaonesha sura tu kwa msichana eti keshaanza... 'kakanaomba'ela'...sijui 'naomba vocha'.. elewa kuwa huyo hajatulia, ni mdangaji kawaida kabisa.
 
ilitukuta mimi na rafiki yangu tulipangwa kwa script moja wote na demu mmoja,sema jamaa sikumsanua
Ngoja nikupe assignment moja ndogo tu, kikubwa tumuombe Mungu uzima , chunguza huyo binti kama ana mahusiano ya maana, au kwa miaka inayokuja chunguza kama atakuja kuwa kwenye mahusiano ya maana k v uchumba unaoelekea ndoa, au aolewe na mwanaume wa maana..

Kwa uzoefu wangu mdogo mabinti wa hivyo wengi wanakua single mda mrefu, au wanaishia kuwa single mothers.. RoadLofa
 
Km hutaki kumpa mwanamke hela baki na upwiru wakoo.
Hakuna cha buree hapa, hata hizo sabuni na Vaseline, hampati bure, mnanunua kwa mangi au pharmacy.

Wee jipige la mkono, afu utulie kulinda hela zako.
😂😂😂😂😂😂😂
Lakini yeye alikua hataki kutoa upwiru ndo mana kaamua kumpotezea
 
Km hutaki kumpa mwanamke hela baki na upwiru wakoo.
Hakuna cha buree hapa, hata hizo sabuni na Vaseline, hampati bure, mnanunua kwa mangi au pharmacy.

Wee jipige la mkono, afu utulie kulinda hela zako.
😂😂😂😂😂😂😂
Ila coca jamani😂
 
Kwani unadhani wanaombaje mkuu?

Msione sifa kuwapa wanawake pesa kizembe, sms kama hiyo wanatumiwa wenzako kama kumi hivi.

Kuwa na nidhamu na pesa, zitakuja nyakati ambazo ungetamani kila senti imewekezwa.
Sawa mkuu kwa kunifundisha nidhamu pesa. Sasa hawatalamba kitu😎
 
Balqior kuna kitu hujui kuhusu hawa wanawake wa Siku hizi especially the Gen Zs.

Hawa naskia siku hizi Wana mbinu Yao ya kumkataa mwanaume ambaye hawapo interested naye in a " subtly gentle manner".
Na mbinu yenyewe ni kukuomba hela.

Huyo mwanamke kuna uwezekano hakuwa anaihitaji Sana hiyo hela ila lengo lake kubwa ni kupima reaction yako and unfortunately you fell into her trap and the rest is history😂

Na kama ungempa hiyo hela usingeleta huu Uzi.
 
Habarini,

Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza.

Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado, akaniambia nimkopeshe elf 10 atanirudishia, nikaona huyu nae wale wale, nikamwambia hiyo hela siwezi kumpa, akasema ok, hatukumaliza hata masaa 24 tangu nimechukua namba ya huyo binti.

Baada ya hapo hamna aliemtafta mwenzake.. mahusiano yakawa yameisha, nafikiri yanastahili kuingia Guinness world record kama one of the world's shortest relationships.

Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu 🤔 na sio hapana🤔

Dunia imeharibika.
Kwa hiyo ulikosa mbuni za kukataa kumpa elfu 10 au na wewe haukuwa nayo ?
 
Sasa mtu ana lengo la kuoa, mwanamke aliyemlenga kumbe ni kicheche, yanini aingie gharama zisizokuwa na faida?

Halafu uelewe wanawake wengine kama hamtaki mwanaume, hutumia mbinu za vizinga ili kumkatisha tamaa mwanaume, siyo kwamba ukimpatia ataridhika na atatulia, hapana.

Wife material hata vocha haombi, shida zake na dhiki zake ataziexpose mkiwa katika mhusiano rasmi.

Siyo unaonesha sura tu kwa msichana eti keshaanza... 'kakanaomba'ela'...sijui 'naomba vocha'.. elewa kuwa huyo hajatulia, ni mdangaji kawaida kabisa.
Wakuu mmekuwa wakali kisa 10k kazi wanayo
 
Back
Top Bottom