Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

Una hakika asingeomba sex?? Em sema hapaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sex muda mwingine ni matokeo ya kupendana kwa malengo. Si kwamba kila mara tunapowafuata wadada lengo ni kukulana nakupita no.
 
Shida inakuja pale ambapo mwanaume anatafuta mwanamke wa kutulia nae, na mwanamke anauzoefu akishaliwa anapotezewa, kwahiyo anakuwahi hata ukimkimbia, tayari amenunua dera kwa hela yako
 
Back
Top Bottom