Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

Kwenye kabumbu hiyo ni ile faulo ndani ya box kipa anakaa mbele ya ukuta wa mabeki wake harafu mzee umepaisha nje ndio maana wadau wanashangaa ilikua swala la kujiongeza tu hapo..
 
Kwani pia aliambiwa kuwa anagawa buree?
😂😂😂😂😂 wanaume bhana,
Hapana. Mimi ninachosema aweke wazi kuwa anauza uchi. Hao wengine huwa hawaombi pesa ila Wanaume wanajiongeza na wanawapa kwasababu ni wajibu wao sheikh....sijui waelewa?
 
Mie nikipata upwiru nitatafuta alternative ya kuondoa hali hiyo, na kuna namna nyingi, sio Ngono pekee.
If kutakua na ulazima wa ngono, bas nitafanya vyovyote ngono ifanyike.

Ko km ita takiwa kutoa hela, basi nitatoa ili adhma yangu itimie.

Sio kujiliza hapa km hivi, starehe gharama na hakuna cha bure.
😂😂😂😂😂😂
Wanawake wanapenda kiumbe provider kama wewe. Wanaume vilizi wa JF wanapaswa kuiga nyayo zako
 
Hapana. Mimi ninachosema aweke wazi kuwa anauza uchi. Hao wengine huwa hawaombi pesa ila Wanaume wanajiongeza na wanawapa kwasababu ni wajibu wao sheikh....sijui waelewa?
Labda wee ndo huelewi, mbona huyu kashindwa kujiongeza sasa hadi kafikia hatua ya kuombwa??
 
Wewe na yeye mpo kapu moja, ni kwamba tu alikuwahi kukueleza shida yake kabla ya wewe kueleza shida yako.
 
Wewe na yeye mpo kapu moja, ni kwamba tu alikuwahi kukueleza shida yake kabla ya wewe kueleza shida yako.
Tofauti ya shida yangu na shida yake ni kwamba kwenye shida yangu raha tunapata wote wawili, kwenye shida yake, raha anapata yeye tu Kelsea
 
Tofauti ya shida yangu na shida yake ni kwamba kwenye shida yangu raha tunapata wote wawili, kwenye shida yake, raha anapata yeye tu Kelsea
Kumbe ni tapeli, ukakutana na konki zaidi yako.
Unabaki kutoa mlio, 😂😂😂😂😂😂
 
Ulichukua namba ili iweje!?... ni dada yako huyo!?

Kuombwa elf 10 tu unakuja kutangaza humu!... vipi ungeambiwa usaidie bili tu ya hospital anaumwa!?

Alikuwa anakuchekecha, na wewe ukajaa kwenye mfumo!

Ningekuwa ni mimi namtumia 25 na sitaki irudishwe!...

Iko siku anaileta mwenyewe! bila ya wewe kuiomba!.

Grow up young boy!.
Wew ndio young boy, na kwa akili hizi wanawake watafaidika sana kwenye hela zako.
.
Kumbuka mtoa mada amesema shida yake ilikuwa ni mahusiano na sio ngono. Kuna todauti kati ya mahusiano na ngono.
.
Wake up young boy
 
Back
Top Bottom