Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

Tofauti ya shida yangu na shida yake ni kwamba kwenye shida yangu raha tunapata wote wawili, kwenye shida yake, raha anapata yeye tu Kelsea
Ungekua umempenda kumpa pesa hata wewe ingekupa raha lkn kwa sababu unawaza tu kumvua nguo upite hivi ndio mana roho inakuuma. Muache dada wa watu, unaona changamoto yake tu ila changamoto yako huioni.
 
Hao wanaitwaga demu ize, unaomba namba na unapewa fasta kisha unapigwa mzinga hapohapo, dawa ya wapiga mizinga ni kumwambia njoo geto/gesti. Kama atakuja ni kumpa buku ten au kaki unapiga kimoja atembee zake asiweke kambi. Akinogewa atakuwa anaileta mwenyewe hata bila kumuita na hapo akija unaanza kupunguza kiwango cha kumpa, hata kama ni pisi kali na ana mshedede mkubwa
 
Habarini,

Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza.

Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado, akaniambia nimkopeshe elf 10 atanirudishia, nikaona huyu nae wale wale, nikamwambia hiyo hela siwezi kumpa, akasema ok, hatukumaliza hata masaa 24 tangu nimechukua namba ya huyo binti.

Baada ya hapo hamna aliemtafta mwenzake.. mahusiano yakawa yameisha, nafikiri yanastahili kuingia Guinness world record kama one of the world's shortest relationships.

Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu 🤔 na sio hapana🤔

Dunia imeharibika.

Wewe ndo shida
 
Ulifeli sana si ungemwambia aje aichukue
 
Kwamba Maka ulikua marioo wa bei ya jioniiiii?? 😂😂😂😂

Si ndivyo mnavyoaminishana kuwa mwanaume ni lazima afanye ngono, yaani akose vyote ila sio ngono.

Basi ndo hapo wanabakii kuhaha km mleta mada. Lol
😂😂😂😂😂
Hapana, ukisema marioo unakosea..
Yaani nilikuwa silipi hela yangu hovyo kisa ngono..
Mie unakuja nakubandua, navunga, ukiimis utaileta nitaichapa kukusuuza nafsi.
Ukiwa na shida ninaweza kukusaidia kishikaji, na hapo natizama shida na shida ukileta pigo za kudanga, hata UDUDU wangu huupati tena.

Hizo ni stori tu, na ndio zinafanya wanaume tuwe watumwa wa ngono.. tunatafuta pesa na vingine kwa ajili ya ngono, qmbayo mwanamke ni mstarehekaji mkubwa kulikp tunaolipia
 
Maka wee umeshindikana kwa ubakhili khaaaaah!!!!

Dah!! Kiukweli mie nilikuwa bahili, katu huwezi kuipata hela yangu kwa kunidanga, eti kisa unakata mauno.. na ukianza kuniokba pesa huku unabana pua, ama uombe pesa ndio unipe yote utaambulia patupu.
Mie natoa assist kwenye issue serious, unaumwa hivi, biashara imeyumba etc.. na ambao damu zili match ukiwaambia mie ni bahili wanakushangaa, watakwambia hujamjua...
Mie siwezi toa hela ya kuweka wigi la laki, msuko wa 50k... 😂🤣
Kwenye mipango ndio pesa utaipata na tena sio kwa wote ni mwanamke kwa mwanamke.. sio kila mwanamke. 😂🤣🤣
Sasa nakupa laki 2 kwa kipi haswa, unenifqnyia nini nikupe hiyo pesa 😂, ndio hiyo PAPA WEMBA ?? 😂
 
Nimecheka hadi kuna mtu ananishangaa,
Wee umeshindikana kabisaa, Lol
😂😂😂😂😂😂
 
Ungekua umempenda kumpa pesa hata wewe ingekupa raha lkn kwa sababu unawaza tu kumvua nguo upite hivi ndio mana roho inakuuma. Muache dada wa watu, unaona changamoto yake tu ila changamoto yako huioni.
Sawa unaweza sema mimi sikuwa serious na huyo mdada, lakini je na yeye pia alikua serious na mimi?, kama hakua serious na mimi huoni kama nilikua sahihi nilivomnyima hela? usihukumu upande mmoja tu.

Mind you baada ya hilo tukio, ni zaidi ya wiki imekata, hakuna aliemtafta mwenzake mpaka leo hata kwa "hi" tu na tunaishi jirani Kelsea
 
Nimecheka hadi kuna mtu ananishangaa,
Wee umeshindikana kabisaa, Lol
😂😂😂😂😂😂
😂🤣😂 THUG LIFE, thug love..
Pesa yangu tutatumia pamoja
Pesa yangu nitatoa ninapojiskia na kuona hapa napaswa nitoe, sio kila muda kulia lia..
JESHI HALILEI YATIMA
 
😂😂😂😂😂 Maka wee umezidi ubakhilio mxxxxiiiiiieeeew.
Ko unataka kulomba bureee?? Woiiiiiih
Kwani ninaemlomba ananilipa!?
Kumbuka pale mie ndio ninamlomba, tena usikute hana hata burudani KIFUNGASHIO, utamu wangu nakuwa nimekuja nao toka nyumbani..
Anapigwa mchi jicho linapoteza kiini cheusi na bado nimlipe, aah, we masihara hayo..
Kama anaweza anifanyie manjonjo mie kiini cheusi kipotee kisha nimlipe 😂🤣

KWANINI NIMLIPE? 🤣 🤣
 
Lugha aliyokwambia haukumuelewa na yeye hakutaka maneno mengi ndio maana ikawa hivyo ila ungemuelewa hapa ungekua unasimulia story nyingine kabisa ya kuchukua ubingwa, buku 10 ungempa na mengine yangekua yanaendelea chini ya kapeti pasina shaka hata kuwasiliana mngekua mnaendelea kuwasiliana bila shida yoyote km ungetaka kumuoa basi maelewano yangeanzia hapo mkiwa lodge/hotel ushamkaza vizuri kabisa ila tu wewe haukumuelewa alimaanisha nini alipoingiza masuala ya kuomba buku 10 ungeelewa isingekupa tabu mpaka muda huu, hata angechomoa wewe ungechomeka tena lazima angeuliza tu kwa hio tunaonana saa ngapi unipe hio buku 10? Oya kitu kambani
Chap kwa haraka, kuna wale unatongoza anakuuliza utanipa hela? Hapo kifuatacho ni magoli tu
 
Kwani ninaemlomba ananilipa!?
Kumbuka pale mie ndio ninamlomba, tena usikute hana hata burudani KIFUNGASHIO, utamu wangu nakuwa nimekuja nao toka nyumbani..
Anapigwa mchi jicho linapoteza kiini cheusi na bado nimlipe, aah, we masihara hayo..
Kama anaweza anifanyie manjonjo mie kiini cheusi kipotee kisha nimlipe 😂🤣

KWANINI NIMLIPE? 🤣 🤣
Wee huponi tenaa, ni wa kuachwaa tyuu.
Unanichekesha Maka, hadi sio poa. Lol
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom