Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
3,302
Reaction score
10,307
Habarini,

Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza.

Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado, akaniambia nimkopeshe elf 10 atanirudishia, nikaona huyu nae wale wale, nikamwambia hiyo hela siwezi kumpa, akasema ok, hatukumaliza hata masaa 24 tangu nimechukua namba ya huyo binti.

Baada ya hapo hamna aliemtafta mwenzake.. mahusiano yakawa yameisha, nafikiri yanastahili kuingia Guinness world record kama one of the world's shortest relationships.

Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu 🤔 na sio hapana🤔

Dunia imeharibika.
 
Huyo ni walewale tumalizane leo leo ungemuelekezea guest au Lodge au hotel moja iliyokaribu ukamalizane nae sio mpaka uoe huyo amekupa jibu mapema kua yeye sio wa kuolewa yeye ni wa kupiga na kupita hivi piga mkatie buku 10 pita hivi ndicho alichokua anakwambia sema lugha yake haukumuelewa
 
Km hutaki kumpa mwanamke hela baki na upwiru wakoo.
Hakuna cha buree hapa, hata hizo sabuni na Vaseline, hampati bure, mnanunua kwa mangi au pharmacy.

Wee jipige la mkono, afu utulie kulinda hela zako.
😂😂😂😂😂😂😂
 
Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu 🤔 na sio hapana🤔
Hahaha hukumuelewa vizuri siku nyingine ujifunze ukichukua namba ya manzi ukaombwa hela baada ya muda mfupi elekezea lodge au hotel jua huyo sio wa kuoa bali wa kupiga na kupita hivi, wake up bro why are you still sleeping this morning?
 
Kwa hiyo nilikua nauziwa potassium kijanja 😁, sasa mbaya ni ile umemuona manzi unataka mahusiano nae serious ya long term, daah haya VERBOSE
 
Habarini,

Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza.

Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado, akaniambia nimkopeshe elf 10 atanirudishia, nikaona huyu nae wale wale, nikamwambia hiyo hela siwezi kumpa, akasema ok, hatukumaliza hata masaa 24 tangu nimechukua namba ya huyo binti.

Baada ya hapo hamna aliemtafta mwenzake.. mahusiano yakawa yameisha, nafikiri yanastahili kuingia Guinness world record kama one of the world's shortest relationships.

Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu 🤔 na sio hapana🤔

Dunia imeharibika.
kwahiyo mtu asiwe na shida? je kama alikuona wew ndo malaika ulotumwa kumlipia hela ya kikoba🥴,,,
Red black
 
Kwa hiyo nilikua nauziwa potassium kijanja 😁, sasa mbaya ni ile umemuona manzi unataka mahusiano nae serious ya long term, daah haya VERBOSE
Lugha aliyokwambia haukumuelewa na yeye hakutaka maneno mengi ndio maana ikawa hivyo ila ungemuelewa hapa ungekua unasimulia story nyingine kabisa ya kuchukua ubingwa, buku 10 ungempa na mengine yangekua yanaendelea chini ya kapeti pasina shaka hata kuwasiliana mngekua mnaendelea kuwasiliana bila shida yoyote km ungetaka kumuoa basi maelewano yangeanzia hapo mkiwa lodge/hotel ushamkaza vizuri kabisa ila tu wewe haukumuelewa alimaanisha nini alipoingiza masuala ya kuomba buku 10 ungeelewa isingekupa tabu mpaka muda huu, hata angechomoa wewe ungechomeka tena lazima angeuliza tu kwa hio tunaonana saa ngapi unipe hio buku 10? Oya kitu kambani
 
Basi inabidi nitoke huku kijijini niliko niende mjini 🙌🏾 VERBOSE
 
Km hutaki kumpa mwanamke hela baki na upwiru wakoo.
Hakuna cha buree hapa, hata hizo sabuni na Vaseline, hampati bure, mnanunua kwa mangi au pharmacy.

Wee jipige la mkono, afu utulie kulinda hela zako.
😂😂😂😂😂😂😂
Bora hata mimi Sina mpango wa kuoa najipigiaga nyeto tu na mara moja moja natafunaga Binti wa mwenye nyumba kisiri Siri
Ni mwanafunzi hivyo huwa simpi hela kubwa zaidi ya buku mbili mbili za kula ice cream shuleni
 
Back
Top Bottom