Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

Usipooa utaolewa tu, no more no less.
NIMEJISIMIKA RASMI UUNGU. KWAANZIA LEO MIMI NI MUNGU WENU LAZIMA MNIABUDU. HAYA INAMISHENI MIBICHWA YENU CHINI NA VIJAMBIO VYENU JUU NA MSEME KWA PAMOJA LOOSE NUT AKBAR!

KENGE NYIE

adriz
 
Habarini,

Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza.

Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado, akaniambia nimkopeshe elf 10 atanirudishia, nikaona huyu nae wale wale, nikamwambia hiyo hela siwezi kumpa, akasema ok, hatukumaliza hata masaa 24 tangu nimechukua namba ya huyo binti.

Baada ya hapo hamna aliemtafta mwenzake.. mahusiano yakawa yameisha, nafikiri yanastahili kuingia Guinness world record kama one of the world's shortest relationships.

Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu 🤔 na sio hapana🤔

Dunia imeharibika.
Tatizo hukuweka bajeti Yake baada ya kuchukuwa namba Yake.
 
Akimpata wa kumjali atatulia huo mzinga ulikuwa na tafsiri mbili
1. Kukukataa kiaina
2. Kukupima upendo na kujali
Wengine ni wababaishaji hakuna cha kukupima Wala Nini ni matapeli wanaangalia wale wajinga ndio upigwa
 
Habarini,

Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza.

Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado, akaniambia nimkopeshe elf 10 atanirudishia, nikaona huyu nae wale wale, nikamwambia hiyo hela siwezi kumpa, akasema ok, hatukumaliza hata masaa 24 tangu nimechukua namba ya huyo binti.

Baada ya hapo hamna aliemtafta mwenzake.. mahusiano yakawa yameisha, nafikiri yanastahili kuingia Guinness world record kama one of the world's shortest relationships.

Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu 🤔 na sio hapana🤔

Dunia imeharibika.
Mbona Kuna roho inaniambia wewe ulimtumia hela huyo binti?
 
Na unakuta message moja ya kuomba 5000 au 10000 kawatumia wanaume hata 6 wewe unaweza kuona umeombwa kidogo kumbe mwenzako ana mahesabu marefu hivi viumbe ni hatari na ndio maana huwa sitangulizi pesa kwa mwanamke Kwanza na nikiona anapigo hizo mwanzoni kabisa nasepa
Wana mikeka yao kuanzia kodi hadi vocha
 
10K kwa kijana mpambanaji na hivi nchi imefunguka sio pesa ya kuvunja mahusiano kijana wangu
Hiyo hela unakuta imetumwa message kwa wanaume 7 wewe unaweza kuona ni ndogo kumbe mwanamke akakuzidi akili ukiwa huthamini hela hata kama ni ndogo mwanamke atakuona mjinga stanza na hiyo na ataanza kupanda taratibu ukija kustuka kumbe unaibiwa
 
Back
Top Bottom