Tazama picha za Jose wa Kitaa na Jose huyo huyo ndani ya vizimba vya mahakama Iringa .
Ndoto za kusaka utajiri zitaishia jela kwa kijana Joseph aliyemkatakata mtoto wake na kusagasaga mifupa yake na kuiweka kwenye tenki la maji machafu.
Picha za Jose hazina hatia kabisa, anaonekana alikuwa mpambanaji na bodaboda yake.
Lakini alikua anakaa na nani kwenye makundi? Nani alikua anamshauri? Ni dhahiri alikaa na mtu mwenye mafanikio akamwambia alimtoa kafara mwanae.
Kuna msemo unasema 'nionyeshe rafiki yako nikwambie wewe ni nani".
Proverbs 13:20
[20]He that walketh with wise men shall be wise: but a companion of fools shall be destroyed.
Enenda pamoja na wenye hekima, nawe utakuwa na hekima; Bali rafiki wa wapumbavu ataumia.