Kuwa makini na hizo kampani zako huko mtaani!

Kuwa makini na hizo kampani zako huko mtaani!

Intention to kill alikuwa nayo yeye actus reus bado inamuangukia yeye jamaa hata kama mens rea ni mkewe bado atakuwa suspect no 2! Hiyo ni malice aforethought!!
Kwa hio tumekubariana kwamba alichochewa hakuamua mwenyewe maana yake hakukusudia kuua ila kuna kitu nyuma yake kilichompelekea yeye kufanya mauaji bila kukusudia?
 
Asingeweza ku-win kwa sababu huwezi kuwa tajiri kwa kuua mtoto wako. Hizi ni imani za kijinga kabisa na najua watanzania wengi wanaamini kwenye huu upumbavu. Ukiaona mtu anayeamini eg chuma ulete, hiyo ni nursery tosha ya kufikia kuamini kwenye ujinga kama huu.
Karibu Mbeya, Iringa na Njombe uone matajiri wa namna hiyo. Usibishe bila utafiti, sisi tunaishi nao na mauzauza tunayaona
 
Je unamkumbuka mmiliki wa Fresh ya Shamba Shaban Chawe? Yuko wapi? Wako wapi hawa matajiri wa 1990s-2005 na mabasi yao akina Safina, Matema Beach, Widambe?

Nimekutajia wachache waliokuwa na mabasi mengi sawa na Aboud bus
mimi sio mkazi wa huko mkuu na hao watu siwajui, ila kama chuma zilikua zipo barabarani nzima na abiria wapo hao watu waulizwe tu walishindwa vipi biashara, uchawi kwenye gari ya mzungu, mjapan, mchina haupigi kazi
 
l
Tazama picha za Jose wa Kitaa na Jose huyo huyo ndani ya vizimba vya mahakama Iringa .

Ndoto za kusaka utajiri zitaishia jela kwa kijana Joseph aliyemkatakata mtoto wake na kusagasaga mifupa yake na kuiweka kwenye tenki la maji machafu.

Picha za Jose hazina hatia kabisa, anaonekana alikuwa mpambanaji na bodaboda yake.

Lakini alikua anakaa na nani kwenye makundi? Nani alikua anamshauri? Ni dhahiri alikaa na mtu mwenye mafanikio akamwambia alimtoa kafara mwanae.

Kuna msemo unasema 'nionyeshe rafiki yako nikwambie wewe ni nani".


Proverbs 13:20
[20]He that walketh with wise men shall be wise: but a companion of fools shall be destroyed.
Enenda pamoja na wenye hekima, nawe utakuwa na hekima; Bali rafiki wa wapumbavu ataumia.
Vingine wala sio makundi ya mtaani bali ushawishi wa online. Hata Chief Godlove naye kuna wakati anagusia matambiko kwenye ishu zake. Heshima inayotolewa kwa wenye fedha na jamii inasababisha watu kutafuta fedha hizo kwa njia yoyote.
 
Mahakama iliamuru apimwe vinasaba na mabaki yaliyopatikana DNA result ikaonyesha ni wake 99%

Sa mpaka anamtoa kafaaa Anajua ni damu yake kabisa

Hivi tulipofika watu tunathamini pesa kuliko utu namna hii?
Mwanao kipenzi?
Mbona kuua imekuwa jambo rahisi sana tuendako?
Wakati pekee ambapo DNA Tanzania inasema ukweli ni kama huu.

Jamaa akafungwe tu.

Mali za haraka ni issue
 
Waganga wa kienyeji wamepotosha na kuharibia wengi sana
Wengine ni watu waliofanikiwa kwa njia za kificho na hawawezi kusema ukweli na kubaki kudanganya
hata hao waganga wanashawishi na kudanganya tu.mwisho wa siku maamuzi ni yako.kwa akili zako utaamua
Mganga anakwambia ukiitoa damu yako labda mwanao au mzazi wako utajiri ni uhakika na kashawasaidia wengi nawe unashawishika

Lakini ukikaa ukajiuliza huyo mganga ye hautaki utajri?
Hataki wanae wasome shule nzuri?
Wavae vizuri?
Hataki kuishi pazuri?
Mbona ye huyo mwanae hamtoi aachane na huo uganga akafanye mishe za maana huko nje kama tajiri?

Hapo ndipo akili yako itapokujibu kuwa yule ni muongo.ama njia nnayoiendea sio sahihi ni ya muda tu.
 
Back
Top Bottom