kampani

Nimesh Kampani (born 30 September 1946) is an Indian investment banker. He is the chairman of the JM Financial group of companies. His personal wealth was valued at US$ 9.54 billion in 2009 making him the 101th richest in India, at that time. The Kampani family's combined direct and indirect equity ownership of JM Financial Ltd is between 60% and 65%. Livemint called him along with Hemendra Kothari and Uday Kotak the "Three K's" of India's leaders in investment banking.In 2014, the court named him as the mediator in the inheritance dispute between Shardul and Cyril Shroff over the law firm Amarchand Mangaldas, which at the time was India's largest.

View More On Wikipedia.org
  1. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kampani Leo, nani yupo tutokee viwanja

    Niko bored, Nani yupo tayari tutoke,awe mwanamke mwenzangu au mwanaume ni sawa,hata tukiwa sita au kikundi ni sawa pesa ya bili chini ya laki mbili ninayo. Nahitaji sura mpya,Mawazo mapya na nijifunze vitu vipya ,nitatokea kinyerezi,kuelekea Mawasiliano Ubungo,hapo tutapanga tukutane...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nawaheshimu sana watu wasiotumia vilevi, Imagine mtu ana stress zake au hana kampani lakini hatumii kilevi chochote

    Mfano, pombe imekuwa sehemu ya tamaduni nyingi duniani kwa muda mrefu na ilikuwepo kwa sababu zake mbalimbali. Sehemu za kukutana na kunywa pombe mara nyingi huwa maeneo ya watu kujumuika, kupunguza mawazo, na kupata kampani. Hata kama huna marafiki wa karibu, ni vigumu kujisikia mpweke ukiwa...
  3. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na hizo kampani zako huko mtaani!

    Tazama picha za Jose wa Kitaa na Jose huyo huyo ndani ya vizimba vya mahakama Iringa . Ndoto za kusaka utajiri zitaishia jela kwa kijana Joseph aliyemkatakata mtoto wake na kusagasaga mifupa yake na kuiweka kwenye tenki la maji machafu. Picha za Jose hazina hatia kabisa, anaonekana alikuwa...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kampani ya wikiendi

    Leo nimechoka choka tu, sijui kwa sababu tunaianza wkend? Nashawishika niende maeneo ya muziki muziki huku moja baridi moja moto, angalau siku ipite. Natafuta kampani ya mrembo mkali kuliko wote humu, anaye zurura zurura humu angalau tukasikilize makelele ya walevi pamoja na kuosha osha macho...
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anapokuambia twende tukaoge wote si kwamba anataka kampani bafuni ila anaijua faida hii ya kuoga pamoja

    KAKA ANGU mwanamke anapokuambia twende tukaoge wote si kwamba anataka kampani bafuni ila anajua Faida ya kuoga pamoja kunafanya ajiamini ajihisi kupendwa na mkaogeshane kwasababu kuogeshwa kuna raha sana unaposafishwa kwa mikono yake , MWANAMKE mnaweza kufika naye bafuni yeye akatoa...
  6. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania I'm bored nipeni kampani

    Seriously waungwana tupeane kampani kama umeboreka Kama mie
  7. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Wanawake mlio single muda huu naomba kampani

    Wanawake wote mliosingo nawaomba mje mnipe kampani. Nawakaribisha sana, njooni na maneno matamu yaliyoshiba mahaba.
  8. sam315

    JamiiForums Tanzania Mature lady karibu kampani iko hapa

    Hello wa JF Mimi ni mkaka nina miaka 33, nina elimu ya chuo nimemaliza 2011, nimejiajiri nipo Dar. Lengo la kuja hapa ni kuweka bayana kuwa nahitaji niwe na mahusiano na mwanamke aliyepevuka (kifupi aliyenizidi umri). Naamini wapo wanawake ambao wanahitaji mtu wa kuwasikiliza, kuwabembeleza...
  9. sungura23

    JamiiForums Tanzania Upweke umenishinda jamani... mdada karibu kwenye maisha yangu

    Habarini wana JF? Hatimaye nimenyoosha mikono, upweke unanikondesha hivyo nimeamua kufunguka. Nahitaji kampani ya kike, sina ubaguzi sana ila yafuatayo yazingatiwe: 1. Uwe mchangamfu. Yaani uwe mdada ambaye unaweza kuwa huru kunitania, kunichokoza, uwe na stori za hapa na pale yaani kifupi...
Back
Top Bottom