VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 8,145
- 12,745
Wewe kumbe tukiwekwa Mawakili wa pande mbili tofauti nakutoa knockout, umeelewa logic and reasoning yangu kwenye hilo suala, nimekwambia ameshinikizwa kuua hakukusudia kuua umenielewa au hujanielewa? Sasa mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya hivyo kuna kitu nyuma kilichomsukuma yeye kufanya mauaji ila sio kwa makusudi, mpaka hapo tumeelewana? Kitu kimoja wapo ni mama wa huyo mtoto unajua walizungumza nini kabla ya jamaa kuchukua hayo maamuzi ya kumkatakata vipande huyo mtoto?Unatafuta exception au? Atawajibika kama kawaida hata kama wataongeza hao crime suspects wengine na adhabu zao hazitofanana..