AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,179
- 22,557
Ni kweli aisee hii ni damu damu kabisa huna haja ya vipimo kuanzia pua hadi masikio na midomo ni yeye kabisa
Ni kweli aisee hii ni damu damu kabisa huna haja ya vipimo kuanzia pua hadi masikio na midomo ni yeye kabisa
Kwa maisha ya jela yalivyo,ni bora angejaribu kukimbia ili apigwe Risasi afe mara moja....maana hatotoka leo Wala kesho...na ushaidi kama umenyooka anaenda kufia huko, labda baada ya miaka arobaini ndio atakuja kutoka shetani huyo .Tazama picha za Jose wa Kitaa na Jose huyo huyo ndani ya vizimba vya mahakama Iringa .
Ndoto za kusaka utajiri zitaishia jela kwa kijana Joseph aliyemkatakata mtoto wake na kusagasaga mifupa yake na kuiweka kwenye tenki la maji machafu.
Picha za Jose hazina hatia kabisa, anaonekana alikuwa mpambanaji na bodaboda yake.
Lakini alikua anakaa na nani kwenye makundi? Nani alikua anamshauri? Ni dhahiri alikaa na mtu mwenye mafanikio akamwambia alimtoa kafara mwanae.
Kuna msemo unasema 'nionyeshe rafiki yako nikwambie wewe ni nani".
Proverbs 13:20
[20]He that walketh with wise men shall be wise: but a companion of fools shall be destroyed.
Enenda pamoja na wenye hekima, nawe utakuwa na hekima; Bali rafiki wa wapumbavu ataumia.
IndeedImani potofu zinamaliza watu sana.. Tuwe na hekima katika utafutaji sio kila unachoona unaenda kukifanya matokeo yake unaingia gharama mara mbili!
Mbona hata Mkuu wa Mkoa wa Njombe kwenye podcasts zake nyingi anayaongelea? Sema Mtaka anaongea juujuu lakini haingii ndani kuwa ni kwa sababu ya masharti ya utajiri waliyopewa na wataalamu.Tunaomba ufungulie uzi uelezee kwa kina kirefu mkuu itakua vizuri zaidi
Karibu mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa uje uwaone. Kuandika hapa haitatoshaHivi watu wa aina hii wapo kweli, au ni story tuu
Fungulia uzi utiririke mkuu huoni kwamba km unatunyima kufahamu jambo fulani hivi, why usianzishe uzi ukasimulia vizuri mwanzo mwishoMbona hata Mkuu wa Mkoa wa Njombe kwenye podcasts zake nyungi anayaongelea? Sema Mtaka anaongea juujuu lakini haingii ndani kuwa ni kwa sababu ya masharti ya utajiri waliyopewa na wataalamu.
Mm nikiambiwa nikutoe ww kafara Ili nifanikiwe, ah hata sikuangalii mara mbili, napita na roho yako fresh tuuImani potofu zinamaliza watu sana.. Tuwe na hekima katika utafutaji sio kila unachoona unaenda kukifanya matokeo yake unaingia gharama mara mbili!
Shindwa! Pepo mchafu😂Mm nikiambiwa nikutoe ww kafara Ili nifanikiwe, ah hata sikuangalii mara mbili, napita na roho yako fresh tuu
Huyo mwanamke wake Ajaribu kunywa mafuta ya kondoo inasafisha sana kizazi, naona wamasai wengi wanafanya hivoWorkmate yupo kwenye ndoa mwaka wa 14 anahaha kila kona kupata mtoto, jamaa hadi unaona kabisa kuna wakati anaumia, "jumba kubwa tupo wawili tu"! huku kuna kijana anasagasaga mifupa ya mtoto.
Na kesi hizo za kuua,kubaka watoto jela atapata/ataishi kwa wakati mgumu sana huyo mlamba lips ukimuona kwenye picha kakaa kitamaatamaa tuWengine tunalilia tupate japo katoto ka kufutia machozi yeye ana muangamizi. Amestahili,aozeage jela tu.
AiseHuyo mwanamke wake Ajaribu kunywa mafuta ya kondoo inasafisha sana kikazi, naomba wamasai wengi wanafanya hivo
Angewini kwa kutoa uhai wa mwanae? Are you nuts?Kupanga ni kuchagua kama angewin angepata machawa wajinga wajinga