Kuwa makini na hizo kampani zako huko mtaani!

Kuwa makini na hizo kampani zako huko mtaani!

Peer pressure lakini huyu anaonekana alishabalehe huyo mtoto aliambiwa sio wa kwake? Maana wanawake hawaishiwi kuropoka ovyo mara mtoto huyu kwanza wewe sio baba yake, eeh yamekua hayo?
HATA kama sio mwanae kafara isinge kubalika mana aliambiwa atoe mwanae wa kuzaaa meja, kama ingekua simpo tu angeshika HATA mtoto mtaani, ila HUYU sio hasira ni kafara ni kama yule jamaa wa bukoba aliekula NJAMA kumuondoa mwanae albino zeruzeru
 
Muonekano wake hizo rasi cha KWANZA anapiga bangi, nguo aliyo vaa inaonesha ni msela sizani kama anakosa tattoo, mpaka hapo jamaa alidhamiria kabisa huo muonekano ni sumu KWAKE huyo ni msela, bodaboda wengi wana dili za HATARI UKIONA bodaboda ana utu kidogo nikumuomba mungu wengi vibaka waliojoficha kwenye ubodaboda
 
Back
Top Bottom