Kuwa introvert ni tabu sana!

Kuwa introvert ni tabu sana!

Mnajipa labels za kijinga na kuona sifa. Kila mtu siku hizi ni introvert. Mna upumbavu endelevu.

Binadamu yeyote anaweza badilika tokana na mazingira.
Anaweza kuwa mpole au mchangamfu.
Kuwa katili au na huruma.
Kuwa boring au mcheshi.
Etc etc.

Hizi ni traits na binadamu yeyote yule wa kawaida has nothing to do with those stupid labels ili kujiona special. Mna upumbavu endelevu nyie vitoto.
mkuu unaumia watu kuwa introvert..?
 
Huyu ni mm asilimia 100 na tuna akili balaa mno halaf we overthink na mara nying tunavoviwaza muda mrefu huwa vya kweli sana...hata kuongea sana na simu hatupend unaweza kupiga simu nikaiangalia nisipokee na txt nisijib nikajib afta wiki moja 🤣🤣
Nilikuwa natafuta hii comment basi nimeipata 😂

WhatsApp yangu Ina text ambazo sijajibu za mwezi wa kwanza, nyingine za mwaka Jana.

Yaaani naweza kuona simu ila sipokei wala text sijibu ... Tena nikijua ni wale watu walalamishi ndo kabisaaa.

Na Kuna watu Huwa tunanyamaza, tunapenda ukimya kuliko mabishano.

Na tukipenda Sasa 😂 ... Tunapenda haswa

Kwako mwalimu kashasha
 
Mnajipa labels za kijinga na kuona sifa. Kila mtu siku hizi ni introvert. Mna upumbavu endelevu.

Binadamu yeyote anaweza badilika tokana na mazingira.
Anaweza kuwa mpole au mchangamfu.
Kuwa katili au na huruma.
Kuwa boring au mcheshi.
Etc etc.

Hizi ni traits na binadamu yeyote yule wa kawaida has nothing to do with those stupid labels ili kujiona special. Mna upumbavu endelevu nyie vitoto.
Nani kakuumiza Bro.

Don't bleed on people!!
Go face her/him
 
Introvert????? Needing the internet to stay alone does not mean you are introvert . It means ur hooked and dopamine addicted

Watu mnachanganya being introverted with alot of solvable issues like low selfesteem and social anxiety

An introvert can live without the need to communicate virtually they usually have other hobbies watanzania hatuwez labda watu wa vijijin huko
 
Ni introvert na ndio maana unachachuka mbele ya unaowajua!, huwezi kufanya hivyo kwa ambao hujawazoea!.
umaweza kucharuka mpk akija ambae hajakuzoea anamvuta rafiki yako pembeni anamuuliza "Mh! huyu ndo fulani..?"🤣
Nimeshindwa kuvumilia maana ni kama koteee unanisema mimi😂😂😂😂hii situation uliyoisema hapa ilinitokea mimi kuna siku niko mtaa fulani mbali kidogo na nyumbani na rafiki yangu yaani tulikuwa tunapiga story basi nacheka namsimulia mfano kwa vitendo akapita mpangaji wa nyumbani akanikuta katikati ya ule mfano akasimama akaniambia ni wewe huyu kweli,mpaka akaenda kuwasimulia wenzake home sababu waliwahi muuliza mama yangu hivi mwanao anaongea kweli.Comments nyingine nimeambiwa na ndugu zangu wa karibu kaabisaaa

Tatizo mwanangu wewe ni msiri sana(mom)

Ataolewa na nani wakati kutwa anashinda ndani ataonwa na nani sasa😂😂(Aunt)

Ukitaka Queen akusindikize safari ya wiki moja mbele hakikisha umemwambia mwezi mmoja nyuma(Friend)

Hapo kwenye kutunza siri ndio usiseme mimi jamani kitu ulichiniambia cha siri simwambii mtu yoyote unless nisikie na kupata ushahidi unaninafikia kwa watu limit ya kutunza ndio itaishia hapo.Kwenye videos za kumbukumbu za matukio yangu muhimu sipendi hata kuziangalia sababu naonekana kabisa sipo comfortable kurekodiwa videos naona kama attention inakuja kwangu nawaza kwenye send off na harusi sijui itakuaje🙌🏼
My first heartbreak niliipata chuo mwezi mzima moyo unaniuma nalia mpaka homa ila hata marafiki zangu tuliokaa hostel moja hamna aliyejua mpaka namaliza walijua bado nipo na yule mwanaume
Nimalize na kusema huu uzi umenigusa vya kutosha
 
Kuna Mwanangu yuko form 2 ana tabia hizo,akirudi shule ni ndani,kuna baadhi ya majirani uwa wanamuona mtaani akiwa anaenda au kurudi shule lakini hawajui kama ni Mwanangu coz dogo hajulikani anakaa wapi,pale home ni ndani tu,kuna kipindi alidai anataka kunifundisha forex maana nilimpa kipc changu kibovu kibovu na home kuna wifi ya voda ya mchongo,ila sasa upande wa shuleni si mzuri sana,mtaani hana rafiki coz sijawahi kumuona kucheza na wenzake,kuna kipindi nilimfuatilia shuleni kwao nikagundua kule pia hana marafiki,wakati wa kutoka kuelekea stendi uwa namuona yuko peke yake,ajichanganyi na wenzie
Mwanao ni introvert pro max
 
Kuna jamaa humu anajiita extrovert id yake...
Enewei....sifa za introvert n hz hapa chini
1. N waoga
2. N wapole sana
3. Ni wasiri sana
4. Wana aibu mbele za watu
5. Domo zege [Nice guys]
6. Wanapenda chats kuliko calls
7. Wanapenda long distance comm. Kuliko live comm.
8. Wakishazoeana na mtu wanakuwa waongeaji hatari
9. Hawapendi shali, wanapenda amani
10. Dini na malezi/makuzi zmechangia sana wao kuwa hvo. Darasani wako vvzr sana. N wabunifu.
Source: from my own experience!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom