Kuwa introvert ni tabu sana!

Kuwa introvert ni tabu sana!

mkuu unaumia watu kuwa introvert..?

Hizo ni sifa za binadamu yeyote yule. Kujipa stupid labels hakufanyi mtu uwe special. Introvertism na zogiac signs zimefanya muwe na upumbavu endelevu mkikua mtaacha.
 
Hizo ni sifa za binadamu yeyote yule. Kujipa stupid labels hakufanyi mtu uwe special. Introvertism na zogiac signs zimefanya muwe na upumbavu endelevu mkikua mtaacha.
Hapa hakuna anaejisifia!, sijui kwanini zimekushika hasira za bure huu uzi unazungumzia introvert na tabia zao na namna zinavyokera/kumkera na vipi vya kupunguza na wazazi waishi vipi na watoto wao wenye hizo tabia!.
ndio ni tabia za kibinadamu hatuzungumzii ng'ombe hapa!.
 
Hapa hakuna anaejisifia!, sijui kwanini zimekushika hasira za bure huu uzi unazungumzia introvert na tabia zao na namna zinavyokera/kumkera na vipi vya kupunguza na wazazi waishi vipi na watoto wao wenye hizo tabia!.
ndio ni tabia za kibinadamu hatuzungumzii ng'ombe hapa!.

You must be living under a rock ngoja nikusanue.

Hii trend ya kila mtu kujiona special kwa kujiita introvert ipo worldwide hasa kwa vitoto sio wewe tu.

Sifa ya the so called introvert ni sifa za binadamu yeyote yula hakuna uspecial wowote ule. Lini mara ya mwisho umesikia mtu akijisifia yeye ni extrovert? Show me one I will show you kuku anayetoa maziwa.

Binadamu anabadilika tokana na muda, mazingira na mood. Hakuna uspecial wowote ule zaidi ya upumbavu endelevu.

Needing alone time doesn’t make you an introvert. It makes you a human. Jisomee zaidi:

 
Sisi wengine muda haujatubadilisha,mazingira hayajatubadilisha wala hizo mood hazijatubadilisha toa hiyo label ya introvert bado sifa hizo zitabaki pale pale na kuwaita watu stupid hakukufanyi wewe kuwa genius unaweza kutoa mchango without calling people names
 
Kila mtu anajiona special kwa kujipa stupid labels, wote mkiwa so called introverts hakuna uspecial tena 😂
Unaona sasa tatizo lako.

Yani mtu kujieleza tabia yake we unaona anajiona special.

Huoni kuwa wewe ndiye unalazimisha tujitafsiri unavyotaka?

And for the record, kati ya wanaojieleza haiba zao na wewe unayewaambia hawako hivyo nafkr mpk sasa unaweza kupata jibu nani ni stupid.
 
Unaona sasa tatizo lako.

Yani mtu kujieleza tabia yake we unaona anajiona special.

Huoni kuwa wewe ndiye unalazimisha tujitafsiri unavyotaka?

And for the record, kati ya wanaojieleza haiba zao na wewe unayewaambia hawako hivyo nafkr mpk sasa unaweza kupata jibu nani ni stupid.

Show me one so called "extrovert" dunia ya Leo nikuonyeshe kuku anayetoa maziwa?

Waliowapa hizo stupid labels wanashangaa siku hizi kila mtu ni introvert hakuna hata mmoja ni extrovert.

 
Unaweza kushinda ndani kama jini nani sijui!, Halafu ukitoka nje dakika mbili tu unatamani tena kurudi ndani.. mbaya mbovu introvert tunaujinga huu.

Naweza nikawa nataka kutoka na wewe umekaa sehemu nayotaka kupita naweza nikasubiri mpaka utoke ndo namimi nipite!, mitabia myengine sijui ya wapi tu!..

Huku mitandaoni tumejazana maana ndo sehemu tunaweza hata kumtishia mtu kumdunda!, ila huku ana kwa ana hata kutukana tu ni kasheshe!.

Ndo viumbe pekee vinakaa mji fulani ila vinajua mitaa michache sana maana kutembeatembea sio pendeleo sana kwao!.

Mzazi mwenye mtoto wa aina hii usimsokote sana mwanao kumlazimisha achanganyikane na watu!, wakati wake ukifika atachanganyika na atachagua wakuchanganyika nao!.

Pili mfatilie ila usimfatilie sana mpaka ukaziba uhuru wake ambao ni amani yake!, utamkosesha kujiamini hata akiwa peke yako atakuwa anaona kama unamuangalia 24/7.
Usiruhusu mtu mwengine ambae hazijui hulka za mwanao amsumbue hovyohovyo bila sababu za msingi.

Jua vitu anavyovipenda ukiweza mpatie kadri uwezavyo kwa vipimo vya wastani, usimzidishie.
Introvert wengi wana hulka ya uoga na akikuwa hiyo hulka ikakomaa ndo inamvaa na kumsababishia "anxiety".

Hivyo hakikisha akiwa bado mdogo mpe kazi ambazo zitaongeza ujasiri wake, sanasana hakikisha anakuwa anafanya zile kazi ngumu kiasi na pia uwe unampa maneno ya kumtia moyo ya kwamba anaweza!. jitahidi kumsoma hali zake maana ni mabingwa wa kuficha!, hivi ndo viumbe vinaweza kutunza siri mpaka kufa!.

Mwisho kuwa makini na namna unavyoenenda nae maana anaweza akawa anakushinda hata utafakari!, usimtake ajielezee sana bali kama ni kitu cha kufanya muache afanye!, maana huwa si wazuri sana kwenye kujieleza ila kutenda wapo smart sana!.
Uko sahihi mkuu! Kunawakati tunapata taabu sana!
 
Sometimes nadhani ni childhood traumas kuliko introversion. Mental disorders (not illnes). Sababu wengi utakuta wana social anxiety, accompanied with low self-esteem(kudhani kila mtu ni bora zaidi yake na watamjudge negatively) na panic attacks if severe. Muoga wa judgment na valuation from society hivyo kujificha, in contrast wengine wanatafuta approval. Na hata ukiangalia records za familia na malezi yao utagundua ni very unorthodox. Wazazi wasiojali na walevi hasa baba, narcissistic parents, single parents, divorces, nk.

That's why always nasema, kama mtu anajiona hawezi kuwa mzazi bora kwa mtoto basi asizae kabisa na ikiwezekana atoe kizazi. Hakuna laana kubwa kwa mtoto kama mzazi asiyejitambua.
 
Nyongeza..
Kwenye mapenzi hivi viumbe usiwe na haraka navyo, mzazi usimtake mtoto wako mwenye hulka ya introvert akurupukie mapenzi!, tena zaidi zaidi hawa "melancholic!", Ni waoga, madomo zege! unaweza hata ukafikiria hatakuja kutongoza lakini elewa huyu anaweza kufanya kitu na usijue!.
Sasa kwenye mapenzi hawa hawanaga papara maana wana aibu!, huwachukua muda sana hata kuja kupata ujasiri wa kutongoza!.
na najua baadhi ya wazazi huanza kupata mashaka kuwa labda mwanae hayupo sawa ktk namna moja ama nyengine!, ni sawa maana wasiwasi ni akili.
zingatia zaidi kwenye kuimarisha ujasiri wake kuna baadhi ya hulka zikipungua itakuwa ni afadhari sana kwake!.

Introvert wenzangu someni hii..
Muda mwengine jichanganye na watu piga nao stori hata mbili tatu ni tiba na inachangamsha ila tu endelea kuziheshimu hulka zako ila zisiwe sehemu ya kukutesa!.

pili kama mtu hawezi kukuelewa usimlazimishe na usijisumbue kuutumia muda wako kumuelewesha kama haelewi!.
muda mwengine vaa ujasiri kama kitu hujapenda sema usikae kimya tu, maana ukimya unatutesa na kurundika vitu ndo huko kujuwekea ma depression na anxiety za ajabu ajabu!.
Najua tuna dark side!, huko sitoi siri ya kambi...😎
Pia jaribuni vitu vya hatari katika hali ya usalama sio unakakaa ki boya haswa kwasisi wakiume!. muda mwengine mtu akileta za kuleta nawe mletee, hiyo inaleta heshima kwa baadhi ya wale wanaokuona mpole na kuitumia hiyo nafasi kama advantage!.
Hyo darkside ni Nyeto tu bila shaka😁
 
Hujui kwamba Introverts mtandaoni ndio wanajimwaga essay kama zote 😂😂 maana kwenye maisha ya uhalisia hawaongei na watu kwa sababu ya aibu na kujitenga
Aibu kwenye space or place inabaki pale pale Mana Haina Tofauti na Hofu ( Kujitisha mwenyewe ).

Mkuu Hawa Ma-Agrovet bhana.
Mkuu unaharibu sasa.
Wachunguze tu utajua walikua mazingira ya kupigwa biti na wazazi wao. ..( Uoga )
 
Aibu kwenye space or place inabaki pale pale Mana Haina Tofauti na Hofu ( Kujitisha mwenyewe ).

Mkuu Hawa Ma-Agrovet bhana.
Mkuu unaharibu sasa.
Wachunguze tu utajua walikua mazingira ya kupigwa biti na wazazi wao. ..( Uoga )
Yani ipo hivi ukiwa tu na tabia hizo za kupenda kujitenga na watu, unafeel uncomfortable ukiwa na watu wewe ni INTROVERT
Haijalishi sababu ni ninj. Kwa mfano hao wanaopigwa beat na wazazi wao wakiwa wadogo wanaweza kuja kuwa Introverts ukubwani na ikafika hatua hakuna wa kumfokea tena ila bado anakuwa mgumu kuconnect na watu
Wazazi inapaswa wawe makini nankulea watoto wao. Introverts wanapenda kukaa peke yao na huwa na tabia nyingine, overthinking etcetra ila kuna muda kuwa peke yao hubadilika na kuwa hali ya upweke, lakini hiyo hali ya upweke kuna muda inatoka wanaendelea tena na kuwa Introverts
Mara nyingi hata level zao za furaha sio kubwa ukifananisha na Extrovert
Kama mtu ameshakua na ni Introvert acha aishi anavyopenda, ila akianza kuwa introvert utotoni unaweza kumbadilisha awe extrovert
Mara nyingi naona kama kuwa Extrovert ni bora zaidi mara nyingi kwa sababu Extroverts maisha yao huwa na high level of happiness always
 
Wazazi inapaswa wawe makini nankulea watoto wao. Introverts wanapenda kukaa peke yao na huwa na tabia nyingine, overthinking etcetra ila kuna muda kuwa peke yao hubadilika na kuwa hali ya upweke, lakini hiyo hali ya upweke kuna muda inatoka wanaendelea tena na kuwa Introverts
Mara nyingi hata level zao za furaha sio kubwa ukifananisha na Extrovert
Kama asili yako nchi kavu utainjoi nchi kavu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom