Kuwa introvert ni tabu sana!

Kuwa introvert ni tabu sana!

Introvert tabu sana hivi nimekuja kupata mchumba mwaka huu
 
Naona baadhi yenu mna tatizo la social anxiety lakini mnajiita introvert!
 
Naona baadhi yenu mna tatizo la social anxiety lakini mnajiita introvert!
Iwe ni social anxiety, au autism, antisocial au whatever
Wakimya wote waachwe waishi maisha yao, bila kulazimishwa kusocialize na watu. Sio lazima kusocialize, naongea hivi kwa sababu nimeona watu wakisemwa vibaya sana kwa ukimya wao na kutojichanganya na watu

Apparently being quiet and not bothering anyone, bothers people
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom