Unaweza kushinda ndani kama jini nani sijui!, Halafu ukitoka nje dakika mbili tu unatamani tena kurudi ndani.. mbaya mbovu introvert tunaujinga huu.
Naweza nikawa nataka kutoka na wewe umekaa sehemu nayotaka kupita naweza nikasubiri mpaka utoke ndo namimi nipite!, mitabia myengine sijui ya wapi tu!..
Huku mitandaoni tumejazana maana ndo sehemu tunaweza hata kumtishia mtu kumdunda!, ila huku ana kwa ana hata kutukana tu ni kasheshe!.
Ndo viumbe pekee vinakaa mji fulani ila vinajua mitaa michache sana maana kutembeatembea sio pendeleo sana kwao!.
Mzazi mwenye mtoto wa aina hii usimsokote sana mwanao kumlazimisha achanganyikane na watu!, wakati wake ukifika atachanganyika na atachagua wakuchanganyika nao!.
pili mfatilie ila usimfatilie sana mpaka ukaziba uhuru wake ambao ni amani yake!, utamkosesha kujiamini hata akiwa peke yako atakuwa anaona kama unamuangalia 24/7.
Usiruhusu mtu mwengine ambae hazijui hulka za mwanao amsumbue hovyohovyo bila sababu za msingi.
Jua vitu anavyovipenda ukiweza mpatie kadri uwezavyo kwa vipimo vya wastani, usimzidishie.
Introvert wengi wana hulka ya uoga na akikuwa hiyo hulka ikakomaa ndo inamvaa na kumsababishia "anxiety".
Hivyo hakikisha akiwa bado mdogo mpe kazi ambazo zitaongeza ujasiri wake, sanasana hakikisha anakuwa anafanya zile kazi ngumu kiasi na pia uwe unampa maneno ya kumtia moyo ya kwamba anaweza!. jitahidi kumsoma hali zake maana ni mabingwa wa kuficha!, hivi ndo viumbe vinaweza kutunza siri mpaka kufa!.
Mwisho kuwa makini na namna unavyoenenda nae maana anaweza akawa anakushinda hata utafakari!, usimtake ajielezee sana bali kama ni kitu cha kufanya muache afanye!, maana huwa si wazuri sana kwenye kujieleza ila kutenda wapo smart sana!.
Inawezekana na Mimi ni Semi-Intro ngoja nijichungulie make na enjoy zaidi nikiwa peke yangu japo nafasi hiyo naipataga kwa nadra sanaNyongeza..
Kwenye mapenzi hivi viumbe usiwe na haraka navyo, mzazi usimtake mtoto wako mwenye hulka ya introvert akurupukie mapenzi!, tena zaidi zaidi hawa "melancholic!", Ni waoga, madomo zege! unaweza hata ukafikiria hatakuja kutongoza lakini elewa huyu anaweza kufanya kitu na usijue!.
Sasa kwenye mapenzi hawa hawanaga papara maana wana aibu!, huwachukua muda sana hata kuja kupata ujasiri wa kutongoza!.
na najua baadhi ya wazazi huanza kupata mashaka kuwa labda mwanae hayupo sawa ktk namna moja ama nyengine!, ni sawa maana wasiwasi ni akili.
zingatia zaidi kwenye kuimarisha ujasiri wake kuna baadhi ya hulka zikipungua itakuwa ni afadhari sana kwake!.
Introvert wenzangu someni hii..
Muda mwengine jichanganye na watu piga nao stori hata mbili tatu ni tiba na inachangamsha ila tu endelea kuziheshimu hulka zako ila zisiwe sehemu ya kukutesa!.
pili kama mtu hawezi kukuelewa usimlazimishe na usijisumbue kuutumia muda wako kumuelewesha kama haelewi!.
muda mwengine vaa ujasiri kama kitu hujapenda sema usikae kimya tu, maana ukimya unatutesa na kurundika vitu ndo huko kujuwekea ma depression na anxiety za ajabu ajabu!.
Najua tuna dark side!, huko sitoi siri ya kambi...😎
Pia jaribuni vitu vya hatari katika hali ya usalama sio unakakaa ki boya haswa kwasisi wakiume!. muda mwengine mtu akileta za kuleta nawe mletee, hiyo inaleta heshima kwa baadhi ya wale wanaokuona mpole na kuitumia hiyo nafasi kama advantage!.
Acha kuendekeza ngonoPia kwao mwanamke lazima akojoe
Kulala bila kulatraumas kama zipi mkuu? just examples
🤣🤣🤣🤣🤣nakataaOf course mara nyingi hua vilaza!
Mwisho wa kulerax na simu ni 2 minutes ukizidisha nakukatia pia sipendi mzunguko....nenda Moja kwa Moja kwenye madaHuyu ni mm asilimia 100 na tuna akili balaa mno halaf we overthink na mara nying tunavoviwaza muda mrefu huwa vya kweli sana...hata kuongea sana na simu hatupend unaweza kupiga simu nikaiangalia nisipokee na txt nisijib nikajib afta wiki moja 🤣🤣
Mimi nilikua na uwezo wa kua mpole mpaka walimu walinisamehe kua Mimi si stahili kupewa adhabu..Mimi nilikuwa nikitoka home naulizwa na watu umerudi lini
Me, myself and
Me, myself and I
Kuna ambao wana-like kila bandiko hapa JF, ninadhani hao nao ni miongoni mwao.,,,kazi kweli kweli.Huku mitandaoni tumejazana maana ndo sehemu tunaweza hata kumtishia mtu kumdunda!, ila huku ana kwa ana hata kutukana tu ni kasheshe!.
Manyqnyaso kutoka kwa watu wa karibu kama ndugu, uonevu kutoka lwa watoto wenzake. Vipigo heavy akikosea kitu kidogo n.ktraumas kama zipi mkuu? just examples
Mimi ni brainy tangia zamani sababu Mimi na utulivu na mawazo yangu tangia school yalikua Yana be accepted.Introvert ?
sidhani Kama ungeweza kuandika hata p'graph 2
Kama ww ulivyo kilaza unakataa nini
Umejuaje aisee🔥🔥😅😅Pia kwao mwanamke lazima akojoe
JF kila mtu ni IntrovertUnaweza kushinda ndani kama jini nani sijui!, Halafu ukitoka nje dakika mbili tu unatamani tena kurudi ndani.. mbaya mbovu introvert tunaujinga huu.
Naweza nikawa nataka kutoka na wewe umekaa sehemu nayotaka kupita naweza nikasubiri mpaka utoke ndo namimi nipite!, mitabia myengine sijui ya wapi tu!..
Huku mitandaoni tumejazana maana ndo sehemu tunaweza hata kumtishia mtu kumdunda!, ila huku ana kwa ana hata kutukana tu ni kasheshe!.
Ndo viumbe pekee vinakaa mji fulani ila vinajua mitaa michache sana maana kutembeatembea sio pendeleo sana kwao!.
Mzazi mwenye mtoto wa aina hii usimsokote sana mwanao kumlazimisha achanganyikane na watu!, wakati wake ukifika atachanganyika na atachagua wakuchanganyika nao!.
pili mfatilie ila usimfatilie sana mpaka ukaziba uhuru wake ambao ni amani yake!, utamkosesha kujiamini hata akiwa peke yako atakuwa anaona kama unamuangalia 24/7.
Usiruhusu mtu mwengine ambae hazijui hulka za mwanao amsumbue hovyohovyo bila sababu za msingi.
Jua vitu anavyovipenda ukiweza mpatie kadri uwezavyo kwa vipimo vya wastani, usimzidishie.
Introvert wengi wana hulka ya uoga na akikuwa hiyo hulka ikakomaa ndo inamvaa na kumsababishia "anxiety".
Hivyo hakikisha akiwa bado mdogo mpe kazi ambazo zitaongeza ujasiri wake, sanasana hakikisha anakuwa anafanya zile kazi ngumu kiasi na pia uwe unampa maneno ya kumtia moyo ya kwamba anaweza!. jitahidi kumsoma hali zake maana ni mabingwa wa kuficha!, hivi ndo viumbe vinaweza kutunza siri mpaka kufa!.
Mwisho kuwa makini na namna unavyoenenda nae maana anaweza akawa anakushinda hata utafakari!, usimtake ajielezee sana bali kama ni kitu cha kufanya muache afanye!, maana huwa si wazuri sana kwenye kujieleza ila kutenda wapo smart sana!.
Kama ww ulivyo kilaza unakataa nin
tupo hapa ni kweli mitandaoni tumechangamka ila mtaani ni kama hatupo,mm nilishangaa kuna watu mtaani huwa tunaonana na mda mwingine kuna kijiwe tunakutanaga na kuongea kwa zaidi ya mwaka ila siku walipoambiwa mimi natokea familia fulani pale mtaani walikataa,kwanza kila siku nikija hapo kijiweni sitokei hiyo njia ya nyumbani natokea upande mwingine kwahiyo wakajua nakaa nyumba za huo upande naotokeaga zaidi ya mwaka tangu tujuane,wakati hapo kijiweni na nyumbani kwetu unapita nyumba 3 tuUnaweza kushinda ndani kama jini nani sijui!, Halafu ukitoka nje dakika mbili tu unatamani tena kurudi ndani.. mbaya mbovu introvert tunaujinga huu.
Naweza nikawa nataka kutoka na wewe umekaa sehemu nayotaka kupita naweza nikasubiri mpaka utoke ndo namimi nipite!, mitabia myengine sijui ya wapi tu!..
Huku mitandaoni tumejazana maana ndo sehemu tunaweza hata kumtishia mtu kumdunda!, ila huku ana kwa ana hata kutukana tu ni kasheshe!.
Ndo viumbe pekee vinakaa mji fulani ila vinajua mitaa michache sana maana kutembeatembea sio pendeleo sana kwao!.
Mzazi mwenye mtoto wa aina hii usimsokote sana mwanao kumlazimisha achanganyikane na watu!, wakati wake ukifika atachanganyika na atachagua wakuchanganyika nao!.
pili mfatilie ila usimfatilie sana mpaka ukaziba uhuru wake ambao ni amani yake!, utamkosesha kujiamini hata akiwa peke yako atakuwa anaona kama unamuangalia 24/7.
Usiruhusu mtu mwengine ambae hazijui hulka za mwanao amsumbue hovyohovyo bila sababu za msingi.
Jua vitu anavyovipenda ukiweza mpatie kadri uwezavyo kwa vipimo vya wastani, usimzidishie.
Introvert wengi wana hulka ya uoga na akikuwa hiyo hulka ikakomaa ndo inamvaa na kumsababishia "anxiety".
Hivyo hakikisha akiwa bado mdogo mpe kazi ambazo zitaongeza ujasiri wake, sanasana hakikisha anakuwa anafanya zile kazi ngumu kiasi na pia uwe unampa maneno ya kumtia moyo ya kwamba anaweza!. jitahidi kumsoma hali zake maana ni mabingwa wa kuficha!, hivi ndo viumbe vinaweza kutunza siri mpaka kufa!.
Mwisho kuwa makini na namna unavyoenenda nae maana anaweza akawa anakushinda hata utafakari!, usimtake ajielezee sana bali kama ni kitu cha kufanya muache afanye!, maana huwa si wazuri sana kwenye kujieleza ila kutenda wapo smart sana!.
Ndicho nilichomaanisha.Introvert wengi huwa wanazungumza Sana wenyewe kuliko unavyo dhania