snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
kapatia kama 8 hivi, anatujua huyuWewe kweli ni Mzoefu sifa nyingi ulizoorodhesha wanazo
kapatia kama 8 hivi, anatujua huyuWewe kweli ni Mzoefu sifa nyingi ulizoorodhesha wanazo
Kumekuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuchah!Nawapenda watu wa hivi, wakitaka kukaa ndani nakaa nao tunajifungia hadi raha wenyewe, comment yangu isiguswe nina kazi za kufanya sitaki makwazo
anakandamiziiiiiiiaaa!shekhe! mbona waichapa sana hujafunzwa staha wewe...🤣
Mh! hawa hawapo hivyo introvert wana huruma sana na ndio maana hawafai kuwa viongozi!, kwasababu watakuwa wanahurumia kila mtu kitu ambacho uongozi hautakiwi kuwa hivyo!..ndio tunaongoza kuwa na makampuni na kunyonya vibarua tupate faida kubwa coz waongeaji sana na wajanja mdomoni akilizao matope
Unaweza kushinda ndani kama jini nani sijui!, Halafu ukitoka nje dakika mbili tu unatamani tena kurudi ndani.. mbaya mbovu introvert tunaujinga huu.
Naweza nikawa nataka kutoka na wewe umekaa sehemu nayotaka kupita naweza nikasubiri mpaka utoke ndo namimi nipite!, mitabia myengine sijui ya wapi tu!..
Huku mitandaoni tumejazana maana ndo sehemu tunaweza hata kumtishia mtu kumdunda!, ila huku ana kwa ana hata kutukana tu ni kasheshe!.
Ndo viumbe pekee vinakaa mji fulani ila vinajua mitaa michache sana maana kutembeatembea sio pendeleo sana kwao!.
Mzazi mwenye mtoto wa aina hii usimsokote sana mwanao kumlazimisha achanganyikane na watu!, wakati wake ukifika atachanganyika na atachagua wakuchanganyika nao!.
Pili mfatilie ila usimfatilie sana mpaka ukaziba uhuru wake ambao ni amani yake!, utamkosesha kujiamini hata akiwa peke yako atakuwa anaona kama unamuangalia 24/7.
Usiruhusu mtu mwengine ambae hazijui hulka za mwanao amsumbue hovyohovyo bila sababu za msingi.
Jua vitu anavyovipenda ukiweza mpatie kadri uwezavyo kwa vipimo vya wastani, usimzidishie.
Introvert wengi wana hulka ya uoga na akikuwa hiyo hulka ikakomaa ndo inamvaa na kumsababishia "anxiety".
Hivyo hakikisha akiwa bado mdogo mpe kazi ambazo zitaongeza ujasiri wake, sanasana hakikisha anakuwa anafanya zile kazi ngumu kiasi na pia uwe unampa maneno ya kumtia moyo ya kwamba anaweza!. jitahidi kumsoma hali zake maana ni mabingwa wa kuficha!, hivi ndo viumbe vinaweza kutunza siri mpaka kufa!.
Mwisho kuwa makini na namna unavyoenenda nae maana anaweza akawa anakushinda hata utafakari!, usimtake ajielezee sana bali kama ni kitu cha kufanya muache afanye!, maana huwa si wazuri sana kwenye kujieleza ila kutenda wapo smart sana!.
Waambie wasipige nyeto kuna midoli nauza kutoka Amerika yaani ni wewe tu ukitaka kumwaga wakati wowoteee, midoli laini, acheni kuumiza hizo mashine zenu zitachoka mapemaintroverts wanapiga sana nyeto
Na makucha yakeeeKumekuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuchah!
Tufunze forex sasaKuna Mwanangu yuko form 2 ana tabia hizo,akirudi shule ni ndani,kuna baadhi ya majirani uwa wanamuona mtaani akiwa anaenda au kurudi shule lakini hawajui kama ni Mwanangu coz dogo hajulikani anakaa wapi,pale home ni ndani tu,kuna kipindi alidai anataka kunifundisha forex maana nilimpa kipc changu kibovu kibovu na home kuna wifi ya voda ya mchongo,ila sasa upande wa shuleni si mzuri sana,mtaani hana rafiki coz sijawahi kumuona kucheza na wenzake,kuna kipindi nilimfuatilia shuleni kwao nikagundua kule pia hana marafiki,wakati wa kutoka kuelekea stendi uwa namuona yuko peke yake,ajichanganyi na wenzie
Based on positivity solutions👍KUANZIA 3 ni sawa kabisa, kwenye uoga sio kweli. Most of us tuko so calucating! So mara nyingi hii huchukuliwa ni uaoga, wakati we unafikiria kupambana sisi tunawaza hivi nisipopambana si yatakuwa yameisha na sitapayuka sauti na sitaleta watu wengi waje, kwani nikimuachia itakuwaje?
,💯 percentKUANZIA 3 ni sawa kabisa, kwenye uoga sio kweli. Most of us tuko so calucating! So mara nyingi hii huchukuliwa ni uaoga, wakati we unafikiria kupambana sisi tunawaza hivi nisipopambana si yatakuwa yameisha na sitapayuka sauti na sitaleta watu wengi waje, kwani nikimuachia itakuwaje?
Sh ngap hio midoli kwa faida yaoWaambie wasipige nyeto kuna midoli nauza kutoka Amerika yaani ni wewe tu ukitaka kumwaga wakati wowoteee, midoli laini, acheni kuumiza hizo mashine zenu zitachoka mapema
Laki na nusuSh ngap hio midoli kwa faida yao
BalaaLaki na nusu
Sipendi baada muanze kutusumbua mnamwaga bakika moja, mtumie midoliBalaa
Nani kakuumiza Bro.
Don't bleed on people!!
Go face her/him