Kuwa introvert ni tabu sana!

Kuwa introvert ni tabu sana!

Kuna watu ni wasenge kinoma, yaani mtoto mtulivu anatafsiriwa mkosefu. Sipendi watoto wenye fujo kinoma, naweza mlamba hata kofi mama ake ang’ake
Mimi huyu mtoto wangu ni well behaved sio mtundu kabisaa..

Matoto mengine Mara kapanda juu ya meza Mara kapasua. Mara kavunja kioo Cha gari la watu...
Hapana kwa kweli...
 
Mimi sijui kama ni introvert

Ila sio mzungumzajii naweza kaa hata miezi kadhaa kumzoea mtu

Nikikuzoea tutakuwa na bond matata

Ni mzungumzajii tukiwa tushazoeana,,

Hata kama tumezoeana ni ngumu kujua changamoto zangu, au maisha nje ya ninachokiishi tukiwa pamoja

Napenda utulivu sana, sio mtu wa kelele hata bufa na miziki yangu ni muziki wa sauti ya chini,


Nipo kundi la mkimya, au Ila msiniweke introvert huko
😆 Introvert hata ukimkanyaga kwenye daladala hata hakwambii kitu...ananyamazaa kimya mpaka utoe mguu..
 
Mie bado sijijui km ni introvert au ndo nn, maana nina tabia za introvert, ila nikipata wasaa wa kuchangamana na watu wangu wa karibu, basi nachachuka kuliko wao.

Na wao huwa hawaelewi nini hiki, 😂😂😂😂
 
Ujinga tu, mental health mmeanza kuitafutia majina mazuri mazuri?! Ati introvert?! Nendeni Mirembe mkatibiwe
Kweli kabisa wagonjwa wa matatizo ya akili Hawa hawana lolote, halafu wanaya entertain, sijui napenda kukaa peke yangu, sijui mkimya, , badala ya kuwahi Mirembe, kama kuna mmoja anasema zamani alikua introvert ila sasa hivi sijui vikaenda vikarudi, Kelele tupu.
 
Sio wote Mimi naweza kukaa kimya pia nikiamua naongea kiasi.
Nilikuwa introvert mzee, naishukuru pombe imenitoa huko. Hiyo hali ni kama uchizi, unawezajikuta psycho kimasikhara, introvert ni kama ufala na udomozege. Kitu pekee positive introvert chakujivunia ni akili(ubunifu)

Mbali na hapo ni hali mbaya sana kuwa anti social. Kuna mstari mwembamba sana wa kuwa introvert na tabia za ajabu ajabu kama kujiua(kuwa kwenye nafasi kubwa ya kupata sonona),kuua,umasikini(introvert na self confidence ni sawa na left and right)...

Mi naishukuru lifestyle ya kiafrika angalau kwa kiasi kikubwa inaepusha hiyo hali, ila huko mbeleni hawa wakina junior nawaonea huruma sana.
 
Kujificha ndani naweza sana na ninafanya sana ,kujikausha kwa watu bila kuongea kitu ni tabia zangu ila mimi nazungumza sana na kila mtu .

Tukikutana wewe ni rafiki yangu either umetaka au haujataka labda uwe bubu ndiyo nitakusumbua kidogo kwa alama za kibubu .

Ila sijielewi niko wapi maana kushinda ndani nafanyaga hasa nikiwa na mizigo yqngu ya kutosha ni mwendo wa kuitumia pekee yangu kwa raha zangu
 
Kuna Mwanangu yuko form 2 ana tabia hizo,akirudi shule ni ndani,kuna baadhi ya majirani uwa wanamuona mtaani akiwa anaenda au kurudi shule lakini hawajui kama ni Mwanangu coz dogo hajulikani anakaa wapi,pale home ni ndani tu,kuna kipindi alidai anataka kunifundisha forex maana nilimpa kipc changu kibovu kibovu na home kuna wifi ya voda ya mchongo,ila sasa upande wa shuleni si mzuri sana,mtaani hana rafiki coz sijawahi kumuona kucheza na wenzake,kuna kipindi nilimfuatilia shuleni kwao nikagundua kule pia hana marafiki,wakati wa kutoka kuelekea stendi uwa namuona yuko peke yake,ajichanganyi na wenzie
Hapo kwenye kutokua vizuri darasan na wakati ku socialise hawezi ndipo kitakapomrambia. Mkomalie kitaaluma mbona Intro wengi vipanga tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom