Kutoka Dodoma!

Kutoka Dodoma!

Mtanzania,

Kama kweli sisi wengine hatuamini hizo imani za kichawi... sidhani kama tuna haja kweli ya kwenda mahakamani/polisi etc...

Dawa ya hili jambo kwa maoni yangu ilikuwa rahisi sana!!! ni kulipuuza ili nasisi wengine (wananchi, wabunge na serikali) tusionekane ni wapagani kama huyo muhusika....

Lakini hili lilitakiwa kufanyika mara moja... kuchukua content/footage za CCTV cameras za Bunge... na kuwapa vituo vya runinga/television nchini... vitangaze kama ilivyo pia kusema lolote...

Wao waseme tu haya ndio yaliyojiri Bungeni... simple....

Hatuna haja hata ya kumpa adhabu huyu mtuhumiwa,,, hata hatuna haja hata ya kumtaja jina!!! wananchi wenyewe waone... na wananchi wenyewe waamue what to be done...

Simple... we don't need to complicate vitu vya kijinga kiasi hiki... and spend a lot of resources ati kuchunguza,,,, kwa usalama wa taifa una uwezo wa kuchunguza uchawi/sangoma?

UFF! Ndugu yangu wee!! Watu tunao-suggest zichukuliwe hatua sio kama tunahofia uchawi..... we are concerning with the motive behind the whole scenerio, and what will be the next move from this fisadi!!!! Kumbuka akumilikae mchana usiku atakuchome. Kumbuka nia ya huyu fisadi ni kuangamiza! Akiachiwa kesho atachukua ma-henchmen/hitmen wamtekelezee anachotaka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndugu yangu umesema PRC Dodoma, una hakika kama kweli wana uwezo wa kweli kufanya kazi hii? una uhakika kama kweli uchunguzi wao ulikuwa free bila kuwa na influence yoyote. I am sure hata kilichonyunyizwa inawezekana hawakijui. Huenda hata hawakuwa na lab technician hata mmoja!

Kwa kuongezea...iwe sumu or not..iwe juju or not...the fact remains kuwa whatever the substance,.. he had ulterior motive... hata kama ni kuinstil fear tu.... bado ni sooo!!
 
Samahani kwa kutoka kidogo, now more dataz kutoka Dodoma ni kwamba:-

...5. Toka kikako kianza asubuhi kumekuwa na kurushiana mawe na vijembe huku ikiwa inaonekana wazi kuwa sasa kuna makundi mawili makuwa ya wabunge, moja ni lile linalotaka mabadiliko na kuwakomboa wananchi na kusafisha ufisadi, na kuna kundi la pili ambalo ukweli ni kwamba lina nguvu kubwa sana hasa za ki-financial ambalo nalo linaonekana kuwa limepania sana kusimamia agenda moja tu, nayo ni kutaka wapewe nafasi ya kutuibia wananchi as they wish bila kubughudhiwa na wananchi wala sheria, na kundi hili linaonekana kuwa very serious na nia yao, na cha ajabu zaidi ya yote ni ile dalili zote kuonyesha kuwa Mkapa naye yuko nao kwa jinsi alivyokuwa akitabasabu sana watu wa kundi hili lenye nia mbaya na taifa wanapopewa nafasi ya kuongea!...

asante mkuu kwa dataz hizi.

hilo kundi lilikuwa hatari zaidi wakati halijajitokeza wazi kiasi hiki lakini sasa nadhani kwa sasa wanajulikana na ugumu wa kufuatilia nyendo na mikakati yao umepungua.

jambo muhimu la kuzingatia ni kwamba mpambano huu ni mgumu na unahitaji umakini wa hali ya juu yaani ni ile "one mistake one goal" kwa hiyo hakuna kulala.

mola ibariki tanzania
 
Naona sasa nilipue:

...Kuna mtu nimezungumza naye ninamuamini asilimia 100, na akisoma JF atanijua ni mimi lakini sasa naamua kumwaga mchele mazungumzo yetu na yeye kuhusu tukio hilo.

Huyo jamaa alikuwapo Dodoma kwa dharura Jumanne wiki hii na kurejea Dar Alhamisi Asubuhi, nikahisi safari yake ina uhusiano na tukio husika nikambana anieleze kilichotokea huko Dodoma na maelezo yake leo hii yalikua kama ifuatavyo:

"Nilikutana na Katibu wa Bunge, Tom Kashilila usiku wa Jumatano, muda mfupi baada ya kukutana na Kaimu Mkuu wa Usalama wa Bunge, aitwaye Magati. Magati alishituka kuona kwamba hakuwa amejulishwa na wakubwa zake kuhusu kitendo cha Chenge kudaiwa kuingia ndani ya Ukumbi wa Bunge. Akiwa Mkuu wa USalama, alipaswa kujua kila kitu. Alichanganyikiwa na kuingia kazini usiku huo. Kwa upande wake, Katibu wa Bunge alisema wanafanya uchunguzi wa kina kuhusiana na suala hilo kwani kwa uzoefu wake wa kimataifa, upo uwezekano wa kuwapo vitu hatari. Aliahidi kutoa taarifa kadiri zitakavyopatikana. Baadaye usiku wa manane akanitumia sms kusema kwamba wametoka kukagua kamera za usalama wameshindwa kuona kitu na kwamba siku itakayofuata wataendelea na kuzipitia tena. Baadaye akaja na maelezo kwamba wameshindwa kuthibitisha lolote kwa kuwa kamera zao zilikua zimezimwa. Alipoulizwa kama wamewahoji Chenge na Sagasii akasema hatuwezi kuwahoji kwa kuwa hakuna ushahidi. Ajabu mashahidi muhimu/wahusika unakataa kuwahoji wakati wao ndio wanatakiwa kuanza kuhojiwa. Baadaye Katibu akaongea na mwandishi wa habari akamwambia kwamba wao kamera zao zinakuwa wazi 24hrs lakini wamekagua hawakupata ushahidi wowote. Sagasii anaulizwa na waandishi anasema hajui lolote kwa kuwa hajaarifiwa wala kuulizwa na yeyote. Watu wa STAR TV wanashangaa wao walikuwapo juu wakati huo wakiandaa vifaa vyao kwa ajili ya Jumanne Oktoba 10 lakini hadi leo hawajaulizwa na yeyote. Huku kuna taarifa polisi na usalama wanafanyia kazi mara wamemhoji Chenge, sasa which is which?" MWISHO WA KUNUKUU NA ATANISAMEHE ALIYETAMKA MANENO HAYA MAANA NAONA NI MUHIMU WATU WAJUE NINI KINACHOENDELEA. Naamini akisoma atajua ni mimi kama hatosoma ataulizwa na wahusika ambao amezungumza ama kufanya nao kazi. ATANISAMEHE KWA MASLAHI YA TAIFA

kazi kweli kweli.....
 
Samahani kwa kutoka kidogo, now more dataz kutoka Dodoma ni kwamba:-

1. Katika kile kilicho onekana kuwashitua wajumbe wote wa mkutano huo wa siri, Rostam alianza hotuba yake kwa kumfagilia sana Mkapa, kuwa alifanya kazi nzuri na nzito sana kwa taifa hili na aliliacha taifa hili likiwa na utajiri mwingi na mapesa mengi sana katika akiba zake, na kwamba wale wote wanaomshambulia ni wajinga na wasiokuwa na elimu ya kutosha kuhusu hili taifa.

2. Kwa kawaida Rostam anapotoa hotuba za siasa kama hii huanza na kumsifia rais wa sasa, lakini on this one it was not the case, na alipomaliza hotuba yake, wajumbe wote walionekana kuwa na mshangao mkubwa, na Rostam aliiishia kupigiwa makofi na wajumbe kama sita akiwemo Almeir, na Makamba.

3. Muda wote huu rais yaani Mwenyekiti wa CCM, alikuwa akimuangalia huyu mkulu kwa dharau na tabasamu la mamba, na mara baada ya kumalizika kwa hotuba hiyo ya Rostam, rais aliamua kuingilia na kutoa comment ndogo ya kejeli kuwa ".....Rostam you are very intelligent man ndio maana hata ukapewa nafasi ya kuzungumza kwanza....".

4. Wabunge wa CCM, waliokuwa wamepigwa na mshangao mkubwa wa haya yote, wakaomba mkutano uahirishwe hadi leo asubuhi kwa sababu walitaka kupewa nafasi ya kutafakari kwanza yaliyojiri, na leo asubuhi sana kikako kimeanza tena, lakini thia time kwa kishindo kikubwa cha Mbunge Ole Sendeka, kuanza kuongea kwanza, ndio maana tunasema Mungu amrudishe haraka sana kwenye hiki kikao Shujaa Mwakyembe!

5. Toka kikako kianza asubuhi kumekuwa na kurushiana mawe na vijembe huku ikiwa inaonekana wazi kuwa sasa kuna makundi mawili makuwa ya wabunge, moja ni lile linalotaka mabadiliko na kuwakomboa wananchi na kusafisha ufisadi, na kuna kundi la pili ambalo ukweli ni kwamba lina nguvu kubwa sana hasa za ki-financial ambalo nalo linaonekana kuwa limepania sana kusimamia agenda moja tu, nayo ni kutaka wapewe nafasi ya kutuibia wananchi as they wish bila kubughudhiwa na wananchi wala sheria, na kundi hili linaonekana kuwa very serious na nia yao, na cha ajabu zaidi ya yote ni ile dalili zote kuonyesha kuwa Mkapa naye yuko nao kwa jinsi alivyokuwa akitabasabu sana watu wa kundi hili lenye nia mbaya na taifa wanapopewa nafasi ya kuongea!

Wakuuu ahsanteni sana, so far tumeweza ku-monitor dataz mpaka kufikia hapa, sasa wajumbe wako break na hakuna uhakika kama watarudi tena kwenye kikako, lakini mengi zaidi tutaendelea kuhabarishana as soon as tukiyapata, lakini dataz mpya zaidi itakuwa ni kesho!

JF mbele always, one step ahead, straight ahead .....na kumkoma nyani mchana! Oooh I Love it!

Ahsante Wakuu!

Asante kwa data hizi.Nimejiuliza why Rostam anaongea ndani ya vikao vya CCM lakini Bungeni ama hayupo ama anakaa kimya .Kejeli ya JK inaweza ikawa na maana nyingine positive kwao sisi tukadhani ni kejeli lazima kusoma vyema alama za nyakati .

Nime futa safari yangu mbali na sasa natudi Tanzania baada ya kusoma habari hii naona kama Taifa liko njia panda .
 
je inawezekana mambo ya kuambiwa kideo kilichochukuliwa
kiko hafifu na wahusika hawaonekani vyema ni sehemu ya
mpambano mkubwa zaidi? labda ndio maana mzee six anasita
kutaja jina kwa kuuelewa huo mpambano yaani ni kutaka
kumuingiza mkenge mzee six akurupuke na kutaja jina la
vijisenti kisha kideo kionyeshe ni mtu mwingine na hapo lile
ajenda la kumng'oa mzee six linatimia kiulaini kabisa.

ni mawazo tuu.
 
Samahani kwa kutoka kidogo, now more dataz kutoka Dodoma ni kwamba:-

1. Katika kile kilicho onekana kuwashitua wajumbe wote wa mkutano huo wa siri, Rostam alianza hotuba yake kwa kumfagilia sana Mkapa, kuwa alifanya kazi nzuri na nzito sana kwa taifa hili na aliliacha taifa hili likiwa na utajiri mwingi na mapesa mengi sana katika akiba zake, na kwamba wale wote wanaomshambulia ni wajinga na wasiokuwa na elimu ya kutosha kuhusu hili taifa.

2. Kwa kawaida Rostam anapotoa hotuba za siasa kama hii huanza na kumsifia rais wa sasa, lakini on this one it was not the case, na alipomaliza hotuba yake, wajumbe wote walionekana kuwa na mshangao mkubwa, na Rostam aliiishia kupigiwa makofi na wajumbe kama sita akiwemo Almeir, na Makamba.

3. Muda wote huu rais yaani Mwenyekiti wa CCM, alikuwa akimuangalia huyu mkulu kwa dharau na tabasamu la mamba, na mara baada ya kumalizika kwa hotuba hiyo ya Rostam, rais aliamua kuingilia na kutoa comment ndogo ya kejeli kuwa ".....Rostam you are very intelligent man ndio maana hata ukapewa nafasi ya kuzungumza kwanza....".

4. Wabunge wa CCM, waliokuwa wamepigwa na mshangao mkubwa wa haya yote, wakaomba mkutano uahirishwe hadi leo asubuhi kwa sababu walitaka kupewa nafasi ya kutafakari kwanza yaliyojiri, na leo asubuhi sana kikako kimeanza tena, lakini thia time kwa kishindo kikubwa cha Mbunge Ole Sendeka, kuanza kuongea kwanza, ndio maana tunasema Mungu amrudishe haraka sana kwenye hiki kikao Shujaa Mwakyembe!

5. Toka kikako kianza asubuhi kumekuwa na kurushiana mawe na vijembe huku ikiwa inaonekana wazi kuwa sasa kuna makundi mawili makuwa ya wabunge, moja ni lile linalotaka mabadiliko na kuwakomboa wananchi na kusafisha ufisadi, na kuna kundi la pili ambalo ukweli ni kwamba lina nguvu kubwa sana hasa za ki-financial ambalo nalo linaonekana kuwa limepania sana kusimamia agenda moja tu, nayo ni kutaka wapewe nafasi ya kutuibia wananchi as they wish bila kubughudhiwa na wananchi wala sheria, na kundi hili linaonekana kuwa very serious na nia yao, na cha ajabu zaidi ya yote ni ile dalili zote kuonyesha kuwa Mkapa naye yuko nao kwa jinsi alivyokuwa akitabasabu sana watu wa kundi hili lenye nia mbaya na taifa wanapopewa nafasi ya kuongea!

Wakuuu ahsanteni sana, so far tumeweza ku-monitor dataz mpaka kufikia hapa, sasa wajumbe wako break na hakuna uhakika kama watarudi tena kwenye kikako, lakini mengi zaidi tutaendelea kuhabarishana as soon as tukiyapata, lakini dataz mpya zaidi itakuwa ni kesho!

JF mbele always, one step ahead, straight ahead .....na kumkoma nyani mchana! Oooh I Love it!

Ahsante Wakuu!

Mkuu FMES,

Asante sana kwa data, ila mimi siwaamini CCM, watajifanya wanagombana lakini lao moja tu. Dawa ya kukomesha ufisadi Tanzania ni kuwang'oa CCM kwanza, wakae nje, waone wenzao wanavyofanya changes za kweli kweli.

Hawa CCM baadhi yao nawajua kwa karibu mno na hata hao tunaoweza kuwaita kwamba ni watetezi wa wananchi, ukiwakaribia kwa karibu unagundua wameoza tu, labda wanasema kwasababu hawakukatiwa kiti.

Mimi naombea Tanzania tufanye mabadiliko ya nguvu ya kuing'oa CCM madarakani ili kuachana na huu ujinga wote.

Wengine tunaombea waruhusu wagombea huru maana kuna kundi kubwa la watu ambalo halioni nafasi ndani ya CCM na pia hata huko upinzani.
 
Lunyungu,
Nime futa safari yangu mbali na sasa natudi Tanzania baada ya kusoma habari hii naona kama Taifa liko njia panda

Maneno haya kweli au ndio ktk kamba!..
 
this can olny happen in TZ, mtu mjinga mjinga anasumbua taifa anachekewa, mtu anasema amesahau kitu halafu anaenda mpaka pale mbele kwenye kiti cha spika, hapo ndo alipoacha vitu vyake.... hii tayari haijakaa sana na ni sbb tosha ya kubanwa lkn analindwa lindwa tuu.. hii nchi si muda mrefu italipuka vibaya sana kama hatua za kuliokoa taifa hazita chukuliwa

FMES mwaga vitu kijana
 
..............mimi Kejeli Ya Kikwete Kwa Rostam Naichukulia Kama Kichekesho......in Reality Uchafu Wote Aliofanya Rostam Epa ..kikwete Alikuwa Na Taarifa Nao...sasa Tatizo Kubwa Linakuja Wanapogeukana Leo....jk Knows Where The Money Came From....

..kuhusu Kuwa Uchumi Na Reserve Wakati Wa Mkapa Ulikuwa Juu..hilo Halina Ubishi....ukiacha Hili Suala La Ufisadi..mkapa Perfomance Was Brilliant!!!

..hadi Dakika Hii Zaidi Ya Mkingamo Isiyokuwa Na Uamuzi ..jk Hajafanya Lolote La Maendeleo La Kukumbukwa..hilo Alijue Na Ajitahidi!!!....pia Udhibiti Wa Kikwete Kwa Dola Ni Mdogo Kwa Viwango Vya Kawaida!!!
 
mkuu mkjj ulipomuhoji muheshimiwa aliposingiziwa kunywa sumu alijibu kuwa anatoka ahera anaelekea duniani

huenda kweli alitoka kuzimu huko alipewa unabii wa ushirikina na sasa yuko bungeni kutangaza unabii wake
 
Samahani kwa kutoka kidogo, now more dataz kutoka Dodoma ni kwamba:-

1. Katika kile kilicho onekana kuwashitua wajumbe wote wa mkutano huo wa siri, Rostam alianza hotuba yake kwa kumfagilia sana Mkapa, kuwa alifanya kazi nzuri na nzito sana kwa taifa hili na aliliacha taifa hili likiwa na utajiri mwingi na mapesa mengi sana katika akiba zake, na kwamba wale wote wanaomshambulia ni wajinga na wasiokuwa na elimu ya kutosha kuhusu hili taifa.

2. Kwa kawaida Rostam anapotoa hotuba za siasa kama hii huanza na kumsifia rais wa sasa, lakini on this one it was not the case, na alipomaliza hotuba yake, wajumbe wote walionekana kuwa na mshangao mkubwa, na Rostam aliiishia kupigiwa makofi na wajumbe kama sita akiwemo Almeir, na Makamba.

3. Muda wote huu rais yaani Mwenyekiti wa CCM, alikuwa akimuangalia huyu mkulu kwa dharau na tabasamu la mamba, na mara baada ya kumalizika kwa hotuba hiyo ya Rostam, rais aliamua kuingilia na kutoa comment ndogo ya kejeli kuwa ".....Rostam you are very intelligent man ndio maana hata ukapewa nafasi ya kuzungumza kwanza....".

4. Wabunge wa CCM, waliokuwa wamepigwa na mshangao mkubwa wa haya yote, wakaomba mkutano uahirishwe hadi leo asubuhi kwa sababu walitaka kupewa nafasi ya kutafakari kwanza yaliyojiri, na leo asubuhi sana kikako kimeanza tena, lakini thia time kwa kishindo kikubwa cha Mbunge Ole Sendeka, kuanza kuongea kwanza, ndio maana tunasema Mungu amrudishe haraka sana kwenye hiki kikao Shujaa Mwakyembe!

5. Toka kikako kianza asubuhi kumekuwa na kurushiana mawe na vijembe huku ikiwa inaonekana wazi kuwa sasa kuna makundi mawili makuwa ya wabunge, moja ni lile linalotaka mabadiliko na kuwakomboa wananchi na kusafisha ufisadi, na kuna kundi la pili ambalo ukweli ni kwamba lina nguvu kubwa sana hasa za ki-financial ambalo nalo linaonekana kuwa limepania sana kusimamia agenda moja tu, nayo ni kutaka wapewe nafasi ya kutuibia wananchi as they wish bila kubughudhiwa na wananchi wala sheria, na kundi hili linaonekana kuwa very serious na nia yao, na cha ajabu zaidi ya yote ni ile dalili zote kuonyesha kuwa Mkapa naye yuko nao kwa jinsi alivyokuwa akitabasabu sana watu wa kundi hili lenye nia mbaya na taifa wanapopewa nafasi ya kuongea!

Wakuuu ahsanteni sana, so far tumeweza ku-monitor dataz mpaka kufikia hapa, sasa wajumbe wako break na hakuna uhakika kama watarudi tena kwenye kikako, lakini mengi zaidi tutaendelea kuhabarishana as soon as tukiyapata, lakini dataz mpya zaidi itakuwa ni kesho!

JF mbele always, one step ahead, straight ahead .....na kumkoma nyani mchana! Oooh I Love it!

Ahsante Wakuu!

Asante Mkuu wa dataz, endelea. lakini ebu tupashe angalau kiduchu, Sendeka alilonga nini kiasi cha kuamsha mjadala mzito?
 
Na sie wenye imani za kiafrika tutaweza kuukemea uchawi kwa jina gani?
Naona mwenzangu wewe mwenye dini ya kizungu umemtumia mnazareti......

Sijui lakini unaweza kutumia jina lolote ilimradi unaamini litaweza kuleta ushindi. Mimi nimeamua kutumia jina kubwa kama hilo sijui wewe utatumia lipi mkuu. Cha muhimu ni ushindi mkuu.
 
hivi jamani bado tu amjakubali kuwa serika yetu imekwenda likizo.yaani imeshindwa hata hesabu ndogo ya mbili kujumlisha mbil ni nne.
 
..kuhusu Kuwa Uchumi Na Reserve Wakati Wa Mkapa Ulikuwa Juu..hilo Halina Ubishi....ukiacha Hili Suala La Ufisadi..mkapa Perfomance Was Brilliant!!!

Mmmmmmhhhhh!!!! Labda sielewi maana ya neno brilliant! kule kwetu kijijini sikuona maendeleo yoyote ya wananchi tofauti na mwaka 1995, kwa tathmini yangu ya haraka haraka, watu wanazidi kuwa maskini kuliko walivyokuwa 1995.

Mkapa ameuza mashirika yote hayo ya umma, ni obvious alikuwa na pesa nyingi za kutumia kuliko viongozi waliotangulia. Pia kwa kuuza mashirika ambalo lilikuwa jambo jema hata kama
ubinafishaji ulikuwa na kasoro kibao, tayari alikuwa amepunguza matumizi ya serikali kwenye kusaidia hayo mashirika ambayo yalikuwa yanaingiza hasara.

Sawa alijitahidi kwenye uchumi lakini sio kwa kiwango hicho cha kusema performance yake ilikuwa brilliant.
 
Asante sana kwa data, ila mimi siwaamini CCM, watajifanya wanagombana lakini lao moja tu. Dawa ya kukomesha ufisadi Tanzania ni kuwang'oa CCM kwanza, wakae nje, waone wenzao wanavyofanya changes za kweli kweli.

Mkuu Mtanzania,

1. Ninakusikia sana, katika huu mkutano ninaongea na wabunge wote wa pande mbili kwa nyakati tofauti, never before nhimewahi kuwa moved emotional kama safari hii, I mean what is this Mwakyembe's thing? Mkuu si unakumbuka juzi tu nilisema kuwa wa-Tanzania huwa hatujifunzi kabisa, ya Balali hayajaisha here we are about to commit another big mistake,

2. I do not care what, Chenge to me is a thug na wenziwe wote, ni wahuni tena ni vibaka wasiokuwa na class kabisa kama bin-adam wengine wote, mkuu kwenye hili sakata la Richomonduli kina Mwakyembe walishawishiwa kupewa hela nyingi sana, lakini wakagoma kabisaa kwa hiyo na ushahidi upo wazi, kwa hiyo angalia tena hiyo statement yako, kuna wabunge wengi waliopewa millions of shilllngs ili waikatae ripoti ya Mwakyembe pale bungeni ushahidi upo mkuu maana haya yalikuwa aykifanya wazi wazi!

3. Taifa letu linakuwaje na viongozi wapuuzi kama Chenge? Tunakuwaje na viongozi wajinga wajinga kama Lowassa? Jana usiku for about six hours nilikuwa na mkutano wa siri na mmoja wa watuhumiwa wa mkataba Richimonduli, I mean kuna wakati machozi yalikuwa yananitoka jinsi alivyokuwa akinielezea aliyoyaona kwa macho yake mwenyewe na sio kuhadithiwa na mtu au kusoma ripoti yoyote, huyu ni mmoja wa walioona the whole thing, I mean it a shame huyu alenda Europe kukagua hizo machine, alienda Malasyia na Kolimba, lakini walipotaka kwenda Houston kukagua ofisi na machine za Richimond kama sheria za serikali na jamhuri yetu inavyosema, na kutaka Msabaha kwa makusudi mazima ya ufisadi akawakataza kwenda huko huku akiwashambulia kuwa wanapenda sana safari ili wale hela za wananchi huku hakuna cha maana wanachokifanya, akitamba kwamba yeye anaijua sana Richmond ni kampuni safi hawahitaji kwenda huko, sasa najiuliza kwa nini hakuwazuia kwenda ile miji mingine? Na kwa nini aliwazuia kwenda Houston ambako ndio makao makuu ya Richmond? Na ilikuwaje Hosea akawasafisha kundi zima la Richimonduli!

Wakuu tunahitaji kuwa macho sana na taifa letu, na hasa kujua nani yuko na sisi wananchi na nani yuko uapnde wa pili, katika kuongea tu na hawa viongozi binafsi ninaweza kutenganisha nani yupo na sisi na nani hayupo pia, tufike mahali tumuombe Mungu atusaidei tulipite hili janga la taifa letu kuhujumiwa na hawa viongozi wachache ambao mimi ninasema kuwa ni sawa na wanyama, yes I said it this guys are pure animals, unfit licha tu ya kutuongoza bali hata kuruhusiwa kusihi na binadamu wengine,

dawa ni kuwakamata na kuwalazimisha wao na familia zao walipie risasi za kuwatwanga mbele ya public, tena ikiwezekana pale Sanamu Monument, yes piga risasi tu, kwa sababu look what they are doing to us now? tumeacha kuongelea a strong an big agenda za taifa kama EPA na Kiwira, lakini sasa tunaongelea uchawi na ujinga wa a Harvad man Chenge, yaani the Harvads, kina Obama wanakaribia kuwa marais wa kwanza weusi huko USA, hili lijinga ndoo kwanza linaenda ku-promote uchawi nationally!

Halafu kumbuka kuwa akiwa Mwanasheria mkuu ameshiriki kwenye kuwafunga wananchi wangapi wasiokuwa na makosa kisheria, ingekuwa nchi za majuu sasa hivi kungekuwa na kesi kibao na lawsuits against serikali yetu kwa sababu ya Chenge, kwamba hana intelligent judgement au uwezo wa kutosha kufikiri kama binadam kamili, kwa hiyo wote alioshiriki kuwafunga kisheria wanahitaki kuachiwa, na mikataba yote iliyosainiwa china yake akiwa Mwanasheria mkuu itenguliwe mara moja!

Binafsi, sioni siasa ya chama hapa, ninachooona ni taifa kwanza hapa kuna wabunge am,bao wamepania na wako intact, kuna CCM na wa upinzani pia wanashirikiana ingawa kwa siri, kuweka agenda za wananchi kwa manufaa ya taifa, na ninawaombea Mungu awabariki na wafanikiwe!
 
lakini ebu tupashe angalau kiduchu, Sendeka alilonga nini kiasi cha kuamsha mjadala mzito?

According to the dataz ni kwamba ilifikia mahali wajumbe walitaka kushikana mashati, by kesho Mungu akijalia nitakuwa na exactly nini hasa Mbunge Sendeka alichosema.

Lakini pia aligusia kitendo cha mtoto wa Lowassa, ambaye sio kiongozi wa taifa letu in any capacity, alivyohusishwa na mkataba wa Richimonduli na kufikia kufaidika na hela zetu walipa kodi ambazo sasa amefungua kampuni moja ya Card za Simu, ambayo inampatia hela nyingi sana as a profit, biashara ambayo wananchi wengi walijaribu sana kuiomba kibali serikali wakakataliwa lakini huyu kijana akapewa bila matatizo, biashara ambayo hata mtoto wa Mengi ambaye ni marehemu sasa aliwahi kuiomba serikali akakataliwa.

Kama nilivyoahidi kuwa tunaendelea ku-monitor yanayojiri Dodoma, kwa karibu sana na tutaendelea tu kuhabarishana hapa kwenye uwanja mtukufu wa JF!
 
Mtanzania,
hapo ndipo napokoma na Wadanganyika... ati brilliant!... wakati taifa limedidimia zaidi ktk miundombinu wakati wa Mkapa. Wewe umeona wapi mji kama Dar pekee ambao hesabu ya wakazi wake walizidi kwa asilimi 100 lakini nguvu ya umeme ni ile ile nguvu ya maji ni ileiule toka 1978, elimu chini, kilimo chini, Afya na meningine kibao. Haya hizo fedha walizokusanya ni kutoka kwa walipa kodi wananchi wasiokuwa na kitu wakiibiwa ktk kodi za asilimia 40 hadi 60, mwenkeshaji toka nje zero! Fedha tunazojivunia zilikuwa mikopo ambayo leo tunakuja fahamu zilitumika vibaya,,, huu uchumi wanaozungumzia ni upi? haswa kwa mzalendo mlalahoi kama mimi.
jamani jamani tuwe wakweli na kutomwenea mtu aibu kwani sidhani kama kuna mtu hapa anaweza kutoa maelezo ya maendeleo hayo zaidi ya Takwimu, takwimu ambazo leo kwa Kiktwete wanasema zimetengenezwa!.. iweje Kikwete atengeneze takwimu lakini sio wakati wa Mkapa..besides kwa nini serikali ilikataa kabisa uchunguzi wa BoT (EPA) usiende nyuma ya mwaka 2005 ikiwa kweli tulitaka kuufahamu ukweli.

Hata hivyo hoja hii haihusiani na mada hii lakini wakuu tusijaribu kabisa kuunda timu hapa.. Huyo RA alikuwa bwana fedha wa chama CCM chini ya Mkapa unaweza kuelewa kilitembea kitu gani ikiwa wahalifu wote ni wajukuu wa Mkapa. Hayakuanza jana haya jamani!
 
********Kwanza, Naamini hili suala linajadiliwa KINAFIKI. Naomba niishie hapo bila kufafanua lakini ujumbe umefika.

*********Pili nakumbuka wakati habari za yule mtoto (kijana) aliyekamatwa eti akinyonya damu ya kichwa cha mtu, nilikutana na mtu mmoja muhimu katika jamii, akaniambia maneno yafuatayo, "Waandishi wa Tanzania na Watanzania ni wepesi kuvurugwa mawazo. Hawashangai kuona polisi na vyombo vya habari vimekua vikishabikia hili suala la ushirikina? Hawajui kwamba nchi imegubikwa na wimbi la UFISADI ...

...wahusika wanaona hilo ni tishio na sasa badala ya kujadili mambo ya maana wanawatengeneze ajenda za kijinga ili musahau UFISADI japo kwa muda wapate kujipanga" kauli ya mzee huyo sasa naiona tena humu JF, mahali ambapo sasa mada nyingine zote muhimu zimepotea na mada hii inapata wachangiaji wengi tena kwa mwelekeo wa UCHAWI zaidi.

Mkuu Mtanzania, hakuna anayejua kwa hakika njia aliyotumia Chenge. Ndio maana uchunguzi lazima ufanyike kwanza. Wale waliokuwapo ukumbi wa Bunge (wa Star TV) hadi sasa hawajaitwa wala kuulizwa, Chenge na Sagasii wanaotajwa kuingia ndani hawajaulizwa na ofisi ya Bunge hadi sasa. Kuna contradiction statement kutoka ofisi ya Bunge....

Dah! kila wiki na skendeli jipya...

Richmond, EPA, Kiwira, Kifo cha Bro Ditto, Rama mla vichwa, Chenge na vijisenti, Kifo cha Balali, Mwakyembe augua ghafla, Uchawi Bungeni...what next?

...kama hii ni spin, nawavulia kofia spin doctors wa Tanzania, hali ikiendelea hivi hivi, wallahi wonder-wheel halitakalika tena hili!

...Hivi hata hao wabunge wanakumbuka wataongelea nini kweli, au kila mtu 'roho mkononi!'?

mwe!

mpaka Kizunguzungu wallah![/COLOR]

...Told you so!,

SPIN DOCTORS wapo kazini, nyie mmekazana na dhana za uchawi!

...mbele mwangaza nyuma kivuli, ni hiari yako kufikiri hicho kivuli ni cha umbile lako au ni jini-mapembe linakufuata!

...By the time mnakuja gundua ni spinning tu ya habari, tayari taifa na kikao cha bunge kishapotezwa mwelekeo, ...tuhuma za Richmond, EPA, Kiwira, kujilimbikizia vijisenti, zitakuwa hazina nguvu tena, yale yale kama miaka yote...

Oh my God, Only in Tanzania!
 
Back
Top Bottom