Shukrani Mkuu FMES kwa datazz na yaliyojiri huko Dodoma. Swali....hivi ni kwanini tunawaachia kikundi cha maharamia wachache...RA, AC, EL, YM na wengineo wasio na mapenzi ya dhati na nchi yetu...kuendelea kufanya 'madudu' ya ajabu na nchi yetu tukufu....kama viongozi na serikali yao....hawatawadhibiti...then sitashangaa...'wenyenchi' wakichukua sheria mkononi!
Mkuu Heshima mbele, according to the dataz kuna mengi yaliyojiri na yanayoendelea kujiri:-
1. Wahusika wote wa Richimonduli wameitwa tena kwenda kujibu maswali kwa Taukukuru, ikiwa ni part ya uchunguzi wa kamati ya Pinda, kabla ya kurudi kwa bunge on ile miezi mitatu.
2. The dataz ni kwamba Hosea kutemwa, lakini AG kubaki, behind the scene kuna ambao kamati inataka wafikishwe mahakamani, lakini el na kundi lake wanamwaga hela sana ili hayo yasifanyike, lakini muamuzi ni Pinda, ambaye wabunge wameshamuonya kuwa asipokuja na majibu sahihi huenda na yeye akaondolewa kwa muswaaada maalum.
3. el alionywa mapema sana na tinga2 kuwa hili soo la Richimonduli halitaisha hivi hivi, akaambiwa aunde kamati yake itakayosema ukweli wazi na ahusishe wabunge, lakini mkulu akagoma na kwenda kwa muuungwana kumshitaki kuwa ndiye anayeleta choko choko za hiii ishu, el alipotoka tu muungwana akambonyeza mukulu kila kitu el alichosema, ndipo moto ulipoanzia lakini according to the dataz the whole thing ya Richimonduli comes down to mtoto wa el anayeitwa Federick na Msomali anayeitwa Gire, nasikia kamati haielewi cha kufanya na huyu mtoto ambaye sio kiongozi wa taifa!
4. According to the dataz ni kwamba muungwana aliambiwa mapema kuwa hii deal ni bomu, lakini akawakabidhi uwt ambako ag wa sasa na mstaafu wa idara, ambao wote ni wa huko idara, ndio waloukuwa wakimchezea muungwana na kumpa info za uongo, sasa deal likaja kubumburuka kwa vile Mwakyembe naye ni idara pia, na hasa kushindwa kwa Richimonduli ku-deliver!
Sasa hivi kuna juhudi kubwa sana za kujaribu kui-divert ishu ya EPA na Kiwira, lakini wabunge wetu wanajaribu kuwa makini sana ili wasipoteze focus!
Wakuu tunaendelea kuzifuatilia, zikipatikana tutahabarishana kama kawa, JF mbele alyways one step ahead!
Ahsante Wakuu Ngoja Nirudi Kwenye Post ya kuzi-monitor huko Dodoma!