1.
2.
Mkuu joka kuu,
Heshima yako bro, unajua zamani nilikuwa ninakuheshimu sana thinking yo are for real, mpaka hapa majuzi nilipokuja kugundua who you are, hapa kwenye forum wengine sisi ni watu wazima ambao tunakuja hapa kwa nia njema na uchungu na taifa letu,
Hayo maswali yako hapo juu, ni nani hasa unayemuuliza hapa JF ambaye amesema kuwa ana tape ya bunge inyomuonyesha Chenge na shughuli yake? Humu kwenye hii topic kuna artcilce ngapi za magazeti yetu bongo ambayo yanasema wazi kuwa yamemuhoji Spika na amethibitisha hayo na yeye Spika ndiye aliyekuwa wa kwanza kusema wazi kuwa kuna Camera moja imenasa yalitokea na kwamba vyote hivi wamepatiwa wana usalama na polisi kwa jili ya uchunguzi ambao tumethibitishiwa na usalama wenyewe na polisi kuwa unaendelea,
sasa wewe unakuja na haya maswali yako ambayo sijui umpelekea nani hasa hapa JF? Mkuu mbona in the real life unaonekana ni mtu mwenye heshima kuiliko mambo unayoyafanya humu forum? Umenga'nga'nia tu kutaka uuuharibu huu mjadala exactly unachotaka nini hasa? Maana huenda una problem hapa tuna watu wa kila aina unaweza kusaidiwa mkuu, kama una maswali ya kutaka tape mpelekee Spika mkuu, hapa tunajaribu kujadili yaliyojiri kwa mapana na marefu na kuna tunaopata elimu kubwa sana bro, please can you understand this once and for all?
Hakuna anyekukataza maswali, lakini yapeleke yanapotakiwa hapa hakuna Spika wala chenge, mkuu mimi sio mtoto mdogo kwamba sijui unayoyafanya hapa ni kwamba unajidanganya sana bro, jaribu kuwa na heshima ili uheshimiwe mkuu!